tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GoJeVa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania tajiri iliyokumbatia wakwasi wachache mafukara wengi

    TANZANIA TAJIRI, ILIYOKUMBATIA WAKWASI WACHACHE MAFUKARA WENGI. Utangulizi: Makala hii itazungumzia mchango wa viongozi wetu juu ya kulinda rasilimali na utajiri uliomo ndani ya nchi yetu ya Tanzania. Makala hii imeandikwa kwa lengo kubwa la kukumbusha viongozi wetu juu ya wajibu wao kwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania GAS Mtwara vs Bandari Tanzania

    Miaka michache kabla ya utawala wa JK kufikia tamati kuliibuka swala la GAS Mtwara, kwa maneno ya Wapinzani mkataba wa Gas Mtwara ukapata pingamizi kubwa zaidi ya pingamizi zinazoonekana leo, hata kufikia wakati Jeshi likaingizwa kazini ndio mkandarasi aweze laza mabomba ya gas. Mabomba hayo leo...
  3. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea

    Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea. Katiba+Bendera=Mzalendo 🇹🇿
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuna mgao wa maji unaendelea kimyakimya maeneo ya Tegeta?

    Jamani hakuna mtu ambae haelewi umuhimu wa maji kwenye shughuli mbalimbali za kila siku. Sasa maji yanavyokosekana siku nzima bila taarifa yoyote wala tahadhari watu wajiandae mnataka watu tuishije? DAWASA shida ni nini mpaka wakazi wa Tegeta maeneo ya Kibo, maeneo kuzunguka Hospitali ya...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linazungumza na Wanahabari, leo Julai 27, 2023

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    "Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga. "Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na Sheria nzuri kwenye Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha tusahau uwekezaji wa maana nchini

    Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika biashara, hususani katika upande wa miundombinu. Kushindwa kuhakikisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

    DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited

    Job Advertisement: General Manager at Rendo Tanzania Limited Company Overview: Rendo Tanzania Limited is a newly established and dynamic distribution company specializing in the distribution of a wide range of soft drink brands. We are committed to providing high-quality products and...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Adui wa Tanzania ni Uvivu hasa kwa wanaume wanaoishia kujikita kwenye Rushwa na Kubeti

    Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi na hapo ndipo wanaporidhia Mkataba wa Umaskini na Shetani Nimemsikia Mtaka akiyataja makabila...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Airtel ndiyo mtandao wa ovyo zaidi Tanzania

    Jina langu Ni la Kimasai. Nilipiga simu customer service Airtel akapokea maza Mwenye lafudhi ya kichaga, nikaeleza shida yangu. Akaniambia nitaje namba ya simu, nikamuambia sijaishika maana lain bado mpya. Nikamuuliza wewe si unaona hapo lakini? Akaniuliza wewe ni Masai wa wapi hujui hata...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: Huwezi Kutenganisha Maendeleo ya Tanzania na CCM

    Kuna jambo ambalo yamkini watanzania wengi hawaelewi au wanapaswa kueleweshwa zaidi kuhusu maendeleo ya Tanzania na CCM, ikumbukwe tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania siku zote hatuwezi iacha CCM kamwe kwa maana Chama Cha Mapinduzu (CCM) kama Chama tawala ndicho kinachopanga nini kitafanyika...
  14. benzemah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  15. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania

    Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka Wachaga Wakinga Wapemba Waha Wanyantuzu/Wasukuma My Take Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu. --- MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii...
  18. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania,

    Nimekuwekea list ya matajiri wakubwa 10 bora katika soko la hisa Tanzania. Matajiri wenye hisa nyingi kwenye makampuni makubwa Tanzania. Watanzania wenye asili ya hapa kwetu wapo wanne tu Hans Macha Ernest Massawe Arnold B.S Kilewo Harold Temu...
  19. SALIZAH

    JamiiForums Tanzania SoC03 Babu nimechoka kukariri nataka kuuelewa Muungano

    Shikamoo Babu. Babu nimesoma katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 ibara ya 2A inasema "Zanzibar ni miongoni mwa nchi mbili zinazounda jamhuri ya muungano wa Tanzania". Kweli naiona Zanzibar ipo kama nchi maana ina Rais wake, katiba na bendera yake. Nchi ya pili ambayo ni sehemu ya muungano hapa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Matokeo ya mkataba wa milele kati ya Essau na Yakobo kwa vizazi vyao vyote!

    MATOKEO YA MKATABA WA MILELE KATI YA ESSAU NA YAKOBO KWA VIZAZI VYAO VYOTE! Madhara ya mkataba kati ya Essau na Yakobo yalikuja kuonekana baadaye baada ya Essau kupoteza kabisa haki zake zote za kiutawala, kiuongozi, kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa. Chanzo cha mkataba ule ilikuwa ni tamaa ya...
Back
Top Bottom