tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli tumekosa Wahariri wakutuonesha ata mapungufu ya wazi katika IGA ya Tanzania na DP World?

    Moja ya kitu cha wazi ni pale wataalamu wakina PHD Johari wanasema si bandari zote ila ni Bandari ya Dar es Salaam pekee! Hivi ni kweli waandishi wa habari wote Tanzania hawajasoma Headline ya IGA? hawakuelewa? walishindwa ata kuona ufafanuzi wanautoa upande wa Serikali una warakini? Tumepewa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Elimu Tanzania: Hatua za Uwajibikaji na Utawala Bora Kuongoza Mabadiliko!

    Sekta ya elimu ni moja ya nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na Tanzania haijatengwa katika hilo. Kuleta mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora katika sekta hii ni hatua muhimu katika kuboresha elimu na kuimarisha ustawi wa jamii nzima. Kufanikisha mabadiliko haya kunahitaji...
  3. X

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe - Uzeni Mazao wa Utaratibu, Njaa Bado Ipo Tanzania

    MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AWAASA WANANCHI KUUZA MAZAO YA CHAKULA KWA UTARATIBU, NJAA BADO IPO Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe leo tarehe 22 Julai, 2023 amezungumza na wananchi wa Kijiji cha Iyendwe Kata ya Kapele na kuwasisitiza kuuza mazao ya...
  5. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio

    Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii, kimazingira na kiusalama. Umeme pia unachangia kupunguza umaskini, kuongeza elimu, kuboresha afya...
  6. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania

    Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile: Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania A Letter to President Samia Suluhu Hassan: Five reasons explaining why Tanzania has been sold to the Dubai

    POLITICAL INTELLIGENCE MEMORANDUM FROM; Mama Amon Desk TO; Samia Suluhu Hassan, The President of Tanzania RE: Five reasons explaining why the Republic of Tanzania has been sold to the Dubai Monarchy WORD COUNT: 1300 Words DATE: 22 July 2023 Dear President Samia , The President of Tanzania...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

    Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa. Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii. Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu Malaya wa Tanzania sehemu za Bata

    Hello JF, Katika hali inayoshangaza, Arusha Malaya wengi sehemu nzuri nzuri elfu30 unapata Malaya wa kulala nae, Dodoma ndio usiseme, Morogoro ni wimbo wa Taifa tulivu, Chalinze ni sogea twende, Iringa bure kabisa, Songea utapewa hata wiki, DSM utaitwa bebi siku zote, Tanga utaletewa chakula...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Badilika Tanzania

    Tanzania nchi ya amani, taifa lenye watu wapendwa amani, ukarimu, taifa lililoundwa na Mungu Kwa mapenzi yake, uoto wa asili, wanyama wa mwituni na wafugwao, misitu mikubwa ya asili, mito isiyokauka, madini na Kila chenye thamani machoni pa Mungu na mwanadamu, mbona wajiharibu mwenyewe? Taifa...
  11. Yuki

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta mbalimbali nchini Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii katika nchi yoyote, ikiwemo Tanzania. Sekta zote nchini zinahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinatumika kwa ufanisi, uwazi na...
  12. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Uoga wa Watanzania ndio chanzo cha amani Tanzania

    Hello JF members, Kwa muda mchache nilioishi hapa Tanzania nimebaini tabia ya Watanzania tofauti na wengine. Uzoefu huu umenifanya nibaini Watanzania 99% ni waoga na wenye mioyo safi na hii ndio sababu kwanini Tanzania Ina amani 👉Tazama ishu ya bandari, mtanzania yupo tayari kusifia tu...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Ujerumani ina watu milioni 82 ilhali baiskeli zipo mil. 81, Tanzania baiskeli ni alama ya umaskini

    Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi...
  14. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  18. raakha

    JamiiForums Tanzania Ya Djibouti kama ya Tanzania

    Serikali ya nchi ya Djibout imevunja Mkataba wa uendeshaji wa Bandari ya Doraleh nchini Djibouti kati ya Serikali hiyo na Kampuni ya DP World ya Falme za Kiarabu (UAE), Na kuishtaki kampuni hiyo. Serikali ya Djibout imechukua maamuzi hayo magumu baada ya kugundua vipengele vya Mkataba huo...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
Back
Top Bottom