tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbona sisikii shamra shamra za Women's World Cup mtaani kwangu na Tanzania nzima kwa ujumla?

    Kulikoni hakuna ushabiki wowote kenye hili dimba la wanawake, sababu? Naangalia hapa wasichana wanachea mpira safi kabisa, nadhani vitimu vyetu vya Taifa wanaweza kuvifunga magoli mengi tu hasa vya Africa.
  2. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wapishi bora Tanzania

    Tanzania ina wapishi wengi wazuri, lakini wachache tu wameweza kufikia kiwango cha juu cha ubora na umaarufu. Hapa kuna wapishi watatu bora nchini Tanzania: David Mwamtoa David Mwamtoa ni mpishi aliyeshinda tuzo nyingi, na amefanya kazi katika baadhi ya mikahawa bora zaidi duniani, ikiwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya mtandao Tanzania: Kukabiliana na mmomonyoko wa maadili kwa jamii hasa watoto kupitia mtandao

    Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida. Hata hivyo, Pamoja na furs ana faida zinazotokana na mtandao, pia kumejitokeza changamoto...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
  5. JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja: Kwa nini Dubai wanalazimisha mfumo wa mikataba unaojumuisha IGA na HGA wakati miradi yote itatekelezwa nchini Tanzania?

    Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni kitako cha piramidi; (2) Host Governmental Agreement(HGA) ; (3) Project-level Lease Agreement (PLA)...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora kuinua ajira kwa wahitimu wa elimu Tanzania

    Sekta ya elimu nchini Tanzania ni msingi muhimu wa maendeleo na ustawi wa jamii yetu. Hata hivyo, kumekuwa na changamoto za kimfumo katika sekta hii, ambazo zimekuwa zikichangia tatizo la ajira kwa wahitimu. Andiko hili linalenga kuchambua umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuboresha...
  7. JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  8. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania

    Utawala wa Uadilifu na Uwajibikaji: Kujifunza kutoka Methali ya ‘Kiti Kikubwa Hakimfanyi Mfalme’ Tanzania Mwandishi: MwlRCT UTANGULIZI a) Muktadha wa mada na umuhimu wake: Tanzania ni nchi inayojitahidi kufikia maendeleo endelevu kwa wananchi wake. Ili kufanikisha hilo, ni muhimu kuwa na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Unajua nini kinaweza kutokea ikiwa mtu ana alama yako ya dole gumba au utambulisho wa mboni ya jicho lako?

    Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani. Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi

    Uwajibikaji na Utawala Bora katika Kilimo ni Nyenzo ya Kuinua Uchumi Utangulizi Tanzania, kama nchi inayojivunia utajiri wa rasilimali za ardhi na kilimo, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wake kupitia sekta ya kilimo. Hata hivyo, ili kufikia mafanikio haya, uwajibikaji na utawala bora katika...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho shirika la ndege Tanzania ATCL

    MABORESHO SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) Shirika la ndege tanzania (ATCL) Ni shirika la kiserikali linalojihusisha na usafirishaji kwa wa mizigo na watu kwa njia ya anga lililopo chini ya mmiliki wa Ndege za serikali TGFA Toka shirika hili lifufuliwe chini ya uongozi wa hayati John...
  14. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa kukutanisha wawekezaji na wabunifu kupitia kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC)

    Bila shaka unawafahamu marafiki zako wengi wenye mawazo makubwa ambayo hawajafanikiwa kuyafanyia kazi kutokana na sababu mbalimbali. Hebu fikiri tena jinsi mawazo yao yalivyo mazuri na muhimu lakini yamelala, wala hayatambuliki duniani, na unaweza kudhani hayapo kabisa. Sababu zinazopelekea...
  16. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kuleta tija kwenye Sekta ya Michezo na Sanaa kwa Maslahi ya Umma nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA Utangulizi Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Msingi wa Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania kwa Maslahi ya Umma

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania, Kitovu cha Hifadhi ya Historia ya Afrika na Utalii

    Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kumaliza mgogoro wa mkataba wa bandari nchini Tanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUMALIZA MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI NCHINI TANZANIA Utangulizi Katika juhudi za kukuza maendeleo ya kiuchumi na kijamii, serikali na taasisi za umma hufanya mikataba na wawekezaji ili kuvutia uwekezaji na kuleta maendeleo katika nchi. Hata hivyo, mikataba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…