tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la mkataba wa DP World na Tanzania ni hili hapa tu, na ndilo linaloweza kuuvunja mkataba

    Ukweli ni kwamba ,Mkataba ni mzuri japo unayo mapungufu yake mengi tu hii haipingiki. Nimegundua shida zote hizi zinatokana na Ujanja unjanja wa serikali lakini sio mkataba wenyewe. Mkataba upo very technical hivyo sio rahisi kila mwanasheria au mwananchi kuuelewa kwa urahisi, Inahitaji umakini...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  3. JamiiForums Tanzania 20 Percent Nyota kubwa ya Muziki wa Kitanzania inayopotea

    Mwenye taarifa za huyu mwamba yuko wapi, anafanya nini siku hizi tafadhali
  4. JamiiForums Tanzania Haiwezekani mwafrika na mzungu kukaa meza moja kutatua changamoto za Tanzania

    Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ipi tunaitaka?

    Serikali nyingi duniani zinapambana kuwaletea wananchi wake maendeleo. Viongozi wa serikali ya Tanzania nayo hawapo nyuma katika kuhakikisha watanzania wanakuwa na maisha bora. Jitihada hizo zinaonekana. Swali ambalo huwa najiuliza ni Tanzania ya aina gani watanzania wanataka? Katika utafiti...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu hiki kiwanda cha mbolea na kemikali za petroli kiliishia wapi? Tanzania Mbolea and Petrochemical Company

    Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini Ujerumani imeanza maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea, kitakachojengwa katika...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania imejaliwa Madini ya kila aina lakini..

    Nimejaribu kupitia tovuti hii hapa na kuona Tanzania ina kila aina ya madini. Na yanachibwa kweli kweli lakini bado wananchi tunahangaika . https://www.tanzaniainvest.com/minerals Wajameni hii imekaaje? Kuna mwenye jibu anipatie. Mfano Chuma, sema ndio mchina kesha beba. Tanzania Iron Ore...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania 1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla hawajaja kutalii na pesa karibu zote zinabaki kwenye bank za nje 2. EAC tuharakishe kuwa na pesa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tujiunge na BRICS?

    BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine. Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua rasmi Ubalozi wake Jijini Algiers, Algeria

    Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Diaspora wa Algeria, Ahmed Attaf, Balozi wa kwanza wa...
  12. JamiiForums Tanzania Derby ya Azam vs Young African ndio mechi yenye burudani zaidi kwa Tanzania

    Habari wanamichezo, ikiwa siku kadhaa zimesalia kuelekea ufunguzi wa pazia jipya la ligi kuu Tanzania bara. Ikiwa ni mechi ya vigogo wanne waliobora kwa Tanzania hapa nazungumzia Yanga, Simba, Singida na Azam. Hawa ndio waliong'ara katika ligi na katika Azam Federation cup kwa wao kuwa top 4...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nani ni mlinzi wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Habari wanajamvi? Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja ya msingi. Kwa muda sasa KATIBA YA JMT imekuwa ikivunjwa na wana Siasa kadiri wanavyo penda bila kujali viapo vyao. Swali ninalo jiuliza ni kwamba ni nani hasa ni mlizi wa KATIBA yetu? Binafsi nimeshuhudia Rais Magufuli akivunja KATIBA mara...
  14. JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania hatuna amani tuna woga tu

    Kumbe Watanzania tuna woga na siyo amani, hoja ndogo tu tena ya nia njema ya kutukwamua mahali tulipo DP world tunatukanana mpaka mapovu yanatutoka. Hivi katika Dunia hii walioweza kufanikiwa bila kusubutu ni Taifa lipi kwa mfano. kelele ngapi zilizopigwa Chuma aliposema tunahamia Dodoma...
  15. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa Muungano naomba ufafanuzi katika hili

    Maoni yenu wadau, Wajuzi wa muungano mimi hapa sijaelewa naomba ufafanuzi kidogo, Tanzania ni muunganiko wa ( tanganyika na zanzibar ) iweje zanzibar wana .... arafu tanganyika wapo empty, huu muungano ulikuwaje??????? Maana hapa inakuwa Tanzania na zanzibar inainyonya tanganyika katika huu...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini mikataba 19 ya nchi na nchi ambayo haina tija kwa Taifa

    Imeelezwa kuwa Tanzania imesaini mikataba 19 ya uwekezaji wa nchi na nchi (BIT) hadi kufikia mwaka 2022, ambayo baadhi yake bado haijaridhiwa. Akizungumza leo Agosti 02, 2023 katika mjadala wa Twitter space ulioendeshwa na Mwananchi, Mhariri wa Takwimu wa Kampuni ya Mwananchi Communications...
  17. JamiiForums Tanzania Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu. Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
  18. JamiiForums Tanzania Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
  19. JamiiForums Tanzania Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC ndiyo nchi zinazoongoza katika fursa ya kufanya biashara

    Ukiwa medium bussinesa man au small scale bussiness man ukishindwa kufanikisha ujasiliamali wako DRC au Tanzania usipoteze mda kuenda Kenya S.Sudan, Rwanda au Uganda. Kwa uzoefu wangu ni mezuru nchi zote za kanda hi ya Africa mashariki na kati kwenye nyanja ya biashara ila naona bado Tz na DRC...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…