tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

    Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia. Wanazuoni na wananchi wa kawaida. Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi. Bado...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  3. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  4. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

    President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo. Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
  5. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Rwanda na Tanzania

    kwa waliotembelea Kigali (though not the whole Rwanda), kuna kitu kikubwa sana nimejifunza toka kwao, ambacho muda unavyoendelea wanaweza kufikia level zile za nchi za ulaya kabisa kwenye suala la usafi. 1. Tanzania usafi wa mazingira tupo nyuma sana, wenzetu wameweka misingi iliyokwisha ingia...
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ali Seif mmiliki wa Kagera Sugar na mmiliki mpya wa Tongaat South Africa amelipa kodi Tanzania?

    Mjomba mtata wa Oman,Mmiliki wa Superdoll anaacha kulipa kodi Tanzania anaenda kuwekeza Afrika kusini, je, huu ni Uzalendo? NBC mliipiga mkapata mtaji,lakini hamlipi fadhila kwa Taifa letu. Kila siku danadana ila kwenye majarida ya kimataifa anaandikwa kwa wino mweusi "billionaire" sasa...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na Dar 5 tu, wasingehaika na Zanzibar!

    Wanaohangaika na kanchi kadogo ka Zanzibar ni kwa sababu kwenye nchi ya watu milioni 60 kuna mji 1 tu ambao > 85% ya economic activities zinafanyika ndio maana wengi wanakuwa obsessed na Zanzibar. Kama kungekuwa angalau hata na Dar kama 5 Tanzania nzima imetawanyika Kusini, Kaskazini Magharibi...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  10. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  11. Mr Lukwaro

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la mkataba wa DP World na Tanzania ni hili hapa tu, na ndilo linaloweza kuuvunja mkataba

    Ukweli ni kwamba ,Mkataba ni mzuri japo unayo mapungufu yake mengi tu hii haipingiki. Nimegundua shida zote hizi zinatokana na Ujanja unjanja wa serikali lakini sio mkataba wenyewe. Mkataba upo very technical hivyo sio rahisi kila mwanasheria au mwananchi kuuelewa kwa urahisi, Inahitaji umakini...
  12. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani

    Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...
  13. mama D

    JamiiForums Tanzania 20 Percent Nyota kubwa ya Muziki wa Kitanzania inayopotea

    Mwenye taarifa za huyu mwamba yuko wapi, anafanya nini siku hizi tafadhali
  14. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani mwafrika na mzungu kukaa meza moja kutatua changamoto za Tanzania

    Haitakaa hata siku Moja wazungu wakakaa na Watanzania kumsaidia uchumi wa nchi bali watakaa watanzania na wazungu kuua uchumi wa nchi. Kwasababu kama wangekuwa na nia ya kuisaidia Tanzania wangeisaidia siku nyingi sana. Tanzania haiwezi kuwa na uchumi imara kwasababu wananufaika na umasikini na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ipi tunaitaka?

    Serikali nyingi duniani zinapambana kuwaletea wananchi wake maendeleo. Viongozi wa serikali ya Tanzania nayo hawapo nyuma katika kuhakikisha watanzania wanakuwa na maisha bora. Jitihada hizo zinaonekana. Swali ambalo huwa najiuliza ni Tanzania ya aina gani watanzania wanataka? Katika utafiti...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu hiki kiwanda cha mbolea na kemikali za petroli kiliishia wapi? Tanzania Mbolea and Petrochemical Company

    Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini Ujerumani imeanza maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea, kitakachojengwa katika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania imejaliwa Madini ya kila aina lakini..

    Nimejaribu kupitia tovuti hii hapa na kuona Tanzania ina kila aina ya madini. Na yanachibwa kweli kweli lakini bado wananchi tunahangaika . https://www.tanzaniainvest.com/minerals Wajameni hii imekaaje? Kuna mwenye jibu anipatie. Mfano Chuma, sema ndio mchina kesha beba. Tanzania Iron Ore...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    Mawazo yangu ya jinsi ya kutatua tatizo la dollar Tanzania 1. Serikali iongee na kampuni za utalii na kuwaomba walete pesa hapa utaratibu wa sasa watalii wanalipia hotel na karibu kila kitu kabla hawajaja kutalii na pesa karibu zote zinabaki kwenye bank za nje 2. EAC tuharakishe kuwa na pesa...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanzania tujiunge na BRICS?

    BRICS ni umoja mpya wa kiulimwengu ulioanzishwa na nchi 5 za awali za Brazil, Russia, India, China na South Afrika wenye lengo la kukwepa vikwazo vya kiuchumi, kisiasa, kijeshi na kijamii kutoka nchi za magharibi kwa nchi nyingine. Umoja huu unataka kupambana na maamuzi ya upande mmoja...
Back
Top Bottom