tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  3. JamiiForums Tanzania Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

    Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku. Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia. Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

    Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%. Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Ateta na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan Septamba 14, 2023 Jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni na Michezo...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania, Msumbiji zakubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema: Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
  8. G

    JamiiForums Tanzania China to Tanzania Shipping Agents

    Msaada kwa wenye uzoefu wa kuagiza mizigo China kwa kutumia ndege...ni agent gani mzuri ambaye anapokea mizigo kutoka kwa suplier na kuufukisha Tanzania kwa uaminifu na chargers zake per kg zikoje Msaada tafadhari
  9. JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  10. JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania ni kivuli cha tawi la Utawala

    Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi. Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hivi huko duniani hali ipo kama Tanzania

    Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo. Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania is led under superficial constitutionality

    Hope we all have a great morning! Tanzanias for all these years have traditionally lived under the umbrella of kingship leadership realistically, though the state has its rubber stamp constitution, barely has it had any ideal manifestation to it's core meaning, the country has all along and...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

    Morng Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga. Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG Tanzania: Fursa, Changamoto na Mwelekeo wake

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotazama tamthilia ya Jumong wataona Rais Samia ana mtazamo ule ule katika kujenga Tanzania yenye nguvu

    Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata walio karibu yako. Kwenye Jumong tunaona mtu wa karibu sana wa Jumong, Mfalme Geumwa alipoona nchi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania tunawanyonya sana IT experts. Tuwape thamani sawa na kazi zao

    Jana nikiwa kwenye mwendokasi nikitokea morocco,nikapokea simu ya client mmoja anamiliki duka la simu na computer hapo posta. Anazo pesa kwelikweli. Simu ilikuwa ya wito wa kazi ya kudesign na kudevelop web kwa ajili ya biashara yake. Nilishuka kisutu nikaprint kwa mguu kwenda ofisini kwake...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Kushirikiana na Morocco Katika Michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco hapa nchini Mhe. Zakaria El Goumiri kuhusu ushirikiano baina ya Tanzania na Morocco katika Sekta ya Michezo. Kikao hicho kimefanyika Septemba 13, 2023 katika ofisi ndogo za Wizara...
  18. JamiiForums Tanzania Marketing Officer Vacancy - ECOACT Tanzania Ltd

    MARKETING OFFICER JOB VACANCY About EcoAct Tanzania Limited ECOACT Tanzania Limited is a social enterprise established to address the challenges of post consumer plastic pollution, waste management, deforestation, and climate change. We recycle and transform plastic wastes and packaging...
  19. JamiiForums Tanzania Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  20. JamiiForums Tanzania Leo nimemeshangaa sana kwamba Dada poa Marekani ni shilingi laki 7, Tanzania tukae kwa kutulia

    Nimeshangaa sana hii ishu na huenda ndio maana wamarekani huwa wanalia sana ukiendekeza wanawake unafilisika. Yaani kununua dada poa ni dola 300 (Tshs laki 7 na nusu), ukiomba upunguziwe na kakuelewa labda 250 (Tshs laki 6 na 20), ukilia sana basi iwe walau short time basi 200 (Tshs laki 5 )...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…