tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bomba la Tanzania - Zambia mafuta -TAZAMA kupanuliwa

    Hayo yamejiri baada baada ya mamlaka ya kusimamia nishati ya Zambia ERB kukutana na EWURA mamlaka ya Tanzania. Bomba la TAZAMA lina urefu wa kilometa 1710 na lilikamilika ujenzi wake zaidi ya miongo mitano iliyopita yaani mwaka 1968 Pia mamlaka hizo ziimegusia bomba la gesi NGP toka Tanzania...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AfCHPR) yaiamuru Tanzania kufuta Hukumu ya Viboko

    Mahakama ya AfCHPR imeeleza kuwa Tanzania inapaswa kufuata Mabakubaliano ya Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu ulioanzisha Mahakama hiyo kwa kuondoa Adhabu za Utesaji, Ukatili, Unyama na Udhalilishaji. Pia, Jopo la Majaji 11 limeagiza Mamlaka za Tanzania kuwasilisha Ripoti kuhusu...
  4. Girland

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yaiamuru Tanzania kufuta Adhabu ya Viboko

    (Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemus Mwangela Mapema akiwachapa viboko wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Oswe) Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya viboko kwenye sheria zake ili ziendane na Mkataba ulioanzisha mahakama...
  6. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania na Panama yakamatwa Irani kwa magendo ya mafuta

    Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania. Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini. --- Iran has seized two oil tankers...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

    Hii mada inawahusu ma expert na wale wrnzangu na Mimi, Yaani wale ambao hawana elimu au elimu yako sio dili katika soko la ajira ulimwenguni. Tanzania ukilipwa mshahara hata millioni Moja na nusu unainjoi kuliko anayelipwa mamilioni huko nje. South Africa vijana wa kitanzania wanakufa kama...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

    Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku. Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia. Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

    Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%. Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Ateta na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Avetisyan Septamba 14, 2023 Jijini Dar es Salaam. Katika Mazungumzo yao viongozi hao wamekubaliana kushirikiana katika Sekta ya Utamaduni na Michezo...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Msumbiji zakubaliana kuendelea kushirikiana katika masuala ya Ulinzi na Usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax akizungumza baada ya kufunga Mkutano wa ulinzi na Usalama baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, amesema: Tulikuwa na kikao cha tano cha Kamati ya Pamoja ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania China to Tanzania Shipping Agents

    Msaada kwa wenye uzoefu wa kuagiza mizigo China kwa kutumia ndege...ni agent gani mzuri ambaye anapokea mizigo kutoka kwa suplier na kuufukisha Tanzania kwa uaminifu na chargers zake per kg zikoje Msaada tafadhari
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mahakama Tanzania ni kivuli cha tawi la Utawala

    Mara ya kwanza kabisa kuitafakari nguvu ya Mahakama ya Tanzania dhidi ya Tawi la Utawala, ilikuwa kwenye kesi ya Hayati Christopher Mtikila dhidi ya Jamhuri kwenye kesi ya Mgombea Binafsi. Kwenye kesi Ile baada ya Blah blah nyingi, hatimaye mahakama ikasema kuwa suala la Mgombea binafsi ni...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Hivi huko duniani hali ipo kama Tanzania

    Kuna hii Kero ambayo ipo maeneo Mengi nchini sijui wenzangu mliosafiri kwenye nchi za wenzetu kuna hali kama hiyo. Kero hii ni za wamachinga, bodaboda, madereva wa tax, wapiga debe na maajenti wa mabasi. Leo nitaongelea madereva wa boda boda, wapiga debe na machinga kwenye mastendi ya mabasi...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tanzania is led under superficial constitutionality

    Hope we all have a great morning! Tanzanias for all these years have traditionally lived under the umbrella of kingship leadership realistically, though the state has its rubber stamp constitution, barely has it had any ideal manifestation to it's core meaning, the country has all along and...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa angeifikisha Tanzania mbali sana

    Morng Hii nchi kumpata kiongozi mzuri kama Lowassa ni ngumu sana huyu ndiye angeifikisha mbali sana Tanzania, kwaza alijua shida iliopo Tanzania ni elimu na alianza kuweka nguvu nyingi kwenye elimu ili watu wasiwe wajinga. Lakini pia lowassa alikuwa na maono ya mbali sana na Tanzania na hakuna...
  19. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG Tanzania: Fursa, Changamoto na Mwelekeo wake

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi . Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa waliotazama tamthilia ya Jumong wataona Rais Samia ana mtazamo ule ule katika kujenga Tanzania yenye nguvu

    Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata walio karibu yako. Kwenye Jumong tunaona mtu wa karibu sana wa Jumong, Mfalme Geumwa alipoona nchi ya...
Back
Top Bottom