tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kwa mpira wa jana wa Tanzania sitaki kusikia tena dhihaka kwa Simba na story za papatupapatu

    Jana Tanzania imefuzu kwenda AFCON baada ya kutoka suluhu na Algeria. Imekuwa ni desturi iliyojengeka mitandaoni na vyombo mbalimbali vya redio kuisema vibaya Simba hata pale inapopata matokeo yaliyo katika malengo ya timu. Hili halijaanza msimu huu tu, tukirudi hata msimu uliopita hizi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa ashtukiza ofisi za ardhi Dodoma akuta amna watu

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa leo saa moja asubuhi amefanya ziara ya kushtukuza katika ofisi za kitengo cha Ardhi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya kujionea hali ya utendaji kazi ikiwemo wa Watumishi kuwahi kazini. Waziri Jerry amewahimiza...
  3. Etwege

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

    Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana. Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana...
  4. gstar

    JamiiForums Tanzania Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

    Ni nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video. UPDATE TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uganda ingefuzu AFCON 2024 ingeiwakilisha vyema EAC kuliko Tanzania inayoenda Kutia Aibu tu huko

    Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu. Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Motor Insurance Tanzania

    Ndugu zangu nataka kuweka Insurance kwenye mashine zangu za kilimo i.e Tractors. Ni kampuni gani nzuri kwa biashara kama hiyo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fencorp, David Richard Investment na prince kreative kudhamini Miss Tourism Tanzania 2023

    FENCORP ya Marekani, DAVID RICHARD INVESTMENT NA PRINCE KREATIVE za Tanzani, watadhamini Miss Utalii Tanzania 2023. Kwa kuanzia wanadhamini ushiriki wa Tanzania katika fainali za Miss Tourism Africa 2023, zitakazo fanyika Lagos Nigeria Oktoba 2, 2023
  9. Ambassador David Richard

    JamiiForums Tanzania David Richard aanzisha kampeni ya #CHAGUA-TANZANIA: Kuifanya Tanzania kuwa mahali pa Uwekezaji wa kuvutia

    Tanzania, nchi iliyoko Afrika Mashariki, imekuwa ikitambuliwa kama mojawapo ya maeneo ya uwekezaji yenye fursa nyingi barani Afrika. Hii ni kutokana na rasilimali zake tajiri, mazingira mazuri ya biashara, na ukuaji wa uchumi ulioendelea. Sasa, David Richard, mfanyabiashara mwenye tajriba na...
  10. Jafari Haruna

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kigoma kuibua wachawi ni udhalilishaji, upuuzi na uchonganishi

    Narudia tena ni Udhalilishaji, Upuuzi, Ushenzi, Uchonganishi na Utapeli. Nimefika mkoa wa Kigoma Tokea Majuzi nilicho Kikuta huku Sielewi Huku ninchi Nyingine au ni Tanzania hii hii ! Kuna kitu kinaitwa  KAMCHAPE, hawa wapuuzi nani kawaleta, Hili kweli nani kalipa Baraka kufanyika karibu mkoa...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

    Algeria vinara wa Kundi F katika kufuzu kwajili ya AFCON watawaalika Tanzania (Taifa Stars) katika mchezo utakaofanyika katika dimba la Annaba huko Algeria. Taifa Stars yenye alama 7 inahitaji ushindi au sare ya aina yoyote ili iweze kufuzu huku Algeria ikikamilisha ratiba ikiwa na alama zake...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimepitia Nicknames zote za Nchi za Afrika na Kuvutiwa zaidi na ya Tanzania

    Tanzania inaitwa The Brain of Africa Kiutani. Je, unakubaliana nalo? Kumbe unaweza Kuidharau Tanzania na ukaja kukuta ndiyo Taifa linalotegemewa Kuziinua Kifikra Nchi zingine. Nakupenda tena Tanzania yangu kuanzia leo ( japo nilianza Kukuchukia hasa baada ya hawa Wasumbufu DP World na Mwarabu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini. Tatizo hili litaathiri uchumi wetu na maisha ya wananchi wetu kwa muda mrefu, na naamini pendekezo...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Imefikia hali Tanzania ukiona umeme haujakatika ndani ya siku mbili au tatu unashangaa kulikoni

    Nilikua Morogoro, wanakata asubuhi ya saa moja na kurudishwa saa 12 jioni. Wasipo kata mchana basi tegemea usiku kutakua Giza Toka saa moja hadi saa sita usiku. Hii ndo Tanzania ya CCM
  16. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania iStore Tanzania: Je, hawa ni authorised apple reseller?

    Habari wakuu. Ninataka kuagiza bidhaa ya apple online kutoka hawa jamaa. Je, kuna mtu alishawahi kununua kwao? Ni kweli wao ni wauzaji wa bidhaa za apple waliyoidhinishwa na kampuni ya apple, nisije nikaingia mkenge?
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye uwekezaji mkubwa kutoka nje, Tanzania yashika nafasi ya 8 Afrika

    Uwekezaji wa mitaji ya biashara kutoka Nje kwenye sekta mbalimbali unazidi kukua Afrika ambapo kati ya Nchi 10 zinazoongoza Afrika Tanzania inazidi kufanya kweli Kwa kushika nafasi ya 8. My Take: Kwa Mwendo huu Rais Samia amewaachia mbaaali sana watangulizi wake kwenye swala la uchumi. Hongera...
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kwa gesi asilia tuliyonayo, Tanzania si ya kulalamikia mafuta

    Ukweli tuuseme, kwenye hili la Gas, mwendazake aliturudisha nyuma sana kwenda kuifuta mikataba ya utafutaji na uzalishaji Gas. Ni kama Tumeanza upya kipindi hiki. Tanzania kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kuitumia kuzalisha umeme kwa wingi, tunaweza kuitumia na kuibadilisha ikawa nishayti zingine...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia nne sabini (470) kama...
  20. G

    JamiiForums Tanzania SAFIRISHA NA MO CARGO KUTOKA CHINA,INDIA NA DUBAI KUJA TANZANIA KWA BEI NAFUU

    KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing and Forwarding and considerable overseas experience on Imports/Exports , are able to tailor made our...
Back
Top Bottom