tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mateka wa Tanzania kutoachiwa mapema kuna kosa tumefanya

    Kama inavyojulikana kuwa mateka wa nchi za nje huwa wanaachiwa tu kwa kushtukiz kwani Hamas hawakuwaingiza kwenye mashari yao ya kusitishwa vita, Siku mbili za mwanzo wameachiwa waisrael wengi wao wakiwa ni akinamama na watoto.Pamoja nao walitolewa mateka kikundi kutoka Thailand.Katika orodha ya...
  2. Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

  3. Uwekezaji toka Nje wakua kwa zaidi ya mara mbili. China yaongoza

    Uwekezaji wa Moja kwa Moja wa Nchi za Nje (FDI) nchini Tanzania umeongezeka karibu mara mbili kwa mwaka mmoja hadi kufikia dola bilioni 1.05 kati ya Julai na Septemba ikilinganishwa na dola milioni 524.4 katika kipindi kama hicho mwaka jana. China ilikuwa chanzo kikubwa cha FDI, ikiwekeza dola...
  4. I

    Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  5. Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  6. Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  7. R

    Je, Jeshi la Polisi Tanzania linaruhusiwa kumchunguza Waziri au Naibu Waziri akitenda jinai? Au hadi wapewe ruhusa yakufanya hivyo?

    Mfumo wetu wa siasa unakataza indirectly Kiongoz wa kisiasa au chama tawala kuhojiwa anapotenda jinai . Vinginevyo lazima wapokee maelekezo kutoka kwa viongozi wa kisiasa wasipofanya hivyo . Incase akajitokeza askari akataka kumhoji mwanasiasa basi mfumo unaweza kuelekeza ahojiwe yeye au...
  8. Mada ya kuulizia walipo watu mashuhuri ndani na nje ya Tanzania

    Kuna wakati tunashindwa kujua walipo watu maarufu. Pengine kwa sababu ya shughuli nyingi za Kitaifa tunashishwa kuwasikiliza kwenye vyombo vya habari pindi wanapokuwa wanazungumza. Binafsi, kuna watu kama John Mnyika: Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Zamani mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi 2015...
  9. B

    Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  10. T

    CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  11. Tanzania inaibiwa maliasili,fedha na kupelekwa Ulaya.

    Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji...
  12. Tanzania Black Friday ya nini?

    Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani. Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga. Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka...
  13. Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?

    Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani? Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hazijabadilishwa. Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣 Je, Tanzania...
  14. M

    Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

    Masa 24 unalala kwenye sakafu. Dhamana za polisi ni ngumu kupata. Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria. Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu. Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.
  15. Rais Samia: Sasa Tanzania inazalisha mbegu zake yenyewe

    "Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
  16. Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  17. Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

    Huu ni utafiti binafsi ambao nomeufanya katika maeneo nineyoishi. Utafiti umeangalia ulinganifu kipindi Cha miaka 10 mpaka 20 Nyuma na kipindi hiki Cha kiaka ya hivi katibuni. Je, Huko iliko wewe mdau Kuna MIMEA au wa WANYAMA ambao wamepotea tofauti na zamani? 1. Mti aina ya STAFELI 2. POPO...
  18. Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  19. L

    Madaktari wa China waendelea kuwa sehemu muhimu ya mkakati wa Afya wa Tanzania

    Mwezi Oktoba mwaka huu timu ya madaktari bingwa 11 kutoka China iliwasili mkoani Kigoma, ambako ilitoa huduma za matibabu kwa wenyeji wa huko kwa muda wa siku tano, ikiwa ni pamoja na huduma za ushauri wa kimatibabu na upasuaji. Balozi wa China nchini Tanzania Bibi Chen Mingjian aliyehudhuria...
  20. Tanzania yaihakikishia UAE mazingira salama ya Biashara, Uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…