tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ateuliwa kuongoza Baraza la Habari Tanzania (MCT)

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia juzi Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa miaka 15. Kutokana na uamuzi huo, Bodi ya wakurugenzi wa MCT imemteua Ernest Sungura, kushika wadhifa...
  2. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  3. Stroke

    JamiiForums Tanzania Suala la umeme naaamini Tanzania tunahujumiwa

    Naamini tunafanyiwa hujuma kwa sababu nishati ya umeme ni muhimu sana kwa ukuaji wa uchumi. Tanzania ina kila kitu cha kulifanya Taifa hili kuwa moja ya Mataifa makubwa kiuchumi baada ya Misri,South Africa na Nigeria lakini bado tupo nyuma. Hapa tulipo kiuchumi sio sehemu yetu tunapaswa kuwa...
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna nyakati nchi za Kiafrika zitaongozwa na Viongozi Manyani

    Ni ishu ya muda tu ila hali ngumu ya maisha wanayoipitia binadamu wa mataifa ya Africa ipo siku nyani watapenya huko juu, Manyani yana uwezo wa kukwea kila aina zote za miti. Sasa nyani watafanya nini wakiwa na dhamana kwenye nchi zao, hilo mtajua kazi ya nyani ni ipi. Naomba tushirikiane...
  5. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna kanisa hujiungi hadi usome mwaka mzima na ufaulu mitihani

    Hili kanisa lenye makabila 12 ya Israel Wapya wa Kiroho, Kanisa la Mlima Sayuni ni kanisa pekee duniani ambalo hujungi mpaka usome mwaka mzima na kufaulu mitihani mitatu kwa ufaulu wa zaidi ya alama 95%. Maelfu wakifanya mtihani
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yaongoza kwa Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa Tanzania

    ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma, Morogoro na Arusha. Jumla ya dozi 180,000 za chanjo ya kichaa cha mbwa zimesambazwa katika halmashauri 26 nchini kuanzia...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Press Release ya TANESCO ya jana ilivyo na Pumba nyingi nimeamini Tanzania ina Wasomi wengi ila wasio na Akili

    GENTAMYCINE namuomba huyo Mtu wao wa PR / Communication aachie Ngazi kwa Taarifa ile ya Kipuuzi yenye Pumba nyingi na iliyotuachia Maswali mengi Sisi Great Thinkers wa Kutukuka.
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Assistant Program Accountant at HJFMRI September, 2023

    Position: Assistant Program Accountant Report to: Program Accountant and HJFMRI Contracts and Partnership Officer Terms of Employment: One-year contract Salary: TGS C Major function of the position Under the supervision of the Program Accountant and guidance from the HJFMRI Contracts and...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu, je naweza kupata nafasi ya kusoma Bachelor Degree in Civil Engineering hapa Tanzania?

    Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1. Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho? Maana siku za dirisha...
  14. T

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TIZAMA: Namna ya kuwapigia kura RAMADHANI BROTHERS ukiwa Tanzania kwenye mashindano ya America Got Talent

    Habarini ndugu zangu naomba tuwapigie ndugu zetu RAMADHANI BROTHERS wanaoiwakilisha TANZANIA 🇹🇿 kwenye mashindano ya America Got Talent. Tufanye hili jambo haraka iwezekanavyo ili waweze kushinda, ikumbukwe vijana hawa wameingia kwenye Fainali ya mashindano haya. Upigaji kura inafungwa saa...
  16. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

    1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania. 2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700. 3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. 4. Zesco ama Zambia...
  18. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  19. GodfreyTara

    JamiiForums Tanzania Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa baadaye

    .Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na waandishi wa Sheria Tanzania (Draftsmen)

    Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
Back
Top Bottom