tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uzi wa maalum magari mazuri yasiyopewa promo hapa Tanzania

    Kumekuwa na trends ya magari ya aina fulani kutamba katika kipindi fulani cha muda, ambalo kimsingi si jambo baya. Lakini hii inaweza kusababisha watu wengine kununua gari kwa kufuata mkumbo tu. Hivyo lengo la uzi huu ni kuorodhesha aina nyingine za magari mazuri ya yanayofaa katika mazingira ya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora, leo tarehe 18, Oktoba, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18, Oktoba, 2023. https://www.youtube.com/live/PLLdAPmreBQ?si=Je1yaQd5Nk5_cf-o
  4. B

    JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefeli?

    Matukio wa wawekezaji wa sekta ya usafiri na kugavi, malori yao kukwama DR Congo yatamalizwa lini? Au diplomasia yetu ya kiuchumi ni kwa ajili ya nchi za mbali kama China, India, Mashariki ya kati na wala siyo na majirani zetu. 17 October 2023 MALORI ZAIDI YA 200 YAKWAMA NCHINI CONGO DRC KWA...
  5. JamiiForums Tanzania Palestine-Israel struggles: A typical case of settler colonialism that Tanzania should strategically avoid from today

    Victims of the blast at Gaza Hospital that killed more than 500, as settler colonial Israelites try to eliminate Palestinians The Palestine-Israel struggle, which is now at its peak, as the above picture shows, is the product of settler colonial ideology, that Tanzania should avoid at any...
  6. JamiiForums Tanzania What Tanzania needs in its next President from 2025

    Tanzania's journey to becoming an economic powerhouse in the East African region, starting from 2025, hinges on the choice of the country's next president. To achieve this ambitious goal, the nation needs a leader with a clear vision and the ability to implement a comprehensive and strategic...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ruhusu msukumo wa kushindwa ili kuwa huru zaidi! Tanzania bila Udikiteta, haiwezekani

    Inafahamika kabisa kwamba, kiongozi mkuu akiwa strong, hata walio chini wanafuata mle mle, na akiwa vinginevyo, na wa chini nao hivyo hivyo Kama ni gari, imetumika sana na kwa muda mrefu bila kubadirishiwa oil na vifaa vilivyoharibika, na sasa gari limechoka, mwendo wake ni wa sjui tunakwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania kwa jitihada za kuimarisha upatikanaji wa umeme

    Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa kuchaguliwa na kuwa miongoni mwa nchi nne barani Afrika zilizoingizwa katika mradi wa Benki ya Dunia wa ‘ASCENT’ ambao unalenga kuimarisha upatikanaji wa umeme kwa wananchi. Amesema hayo Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  10. JamiiForums Tanzania Ninapoisema Media za Tanzania na Wanahabari waache ujuha na kujipendekeza muwe mnanielewa

    Tafadhali GENTAMYCINE nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha isome hii taarifa ninayoiweka hapa chini mara mbili mbili na ukiimaliza nitashukuru nikipata mrejesho wako juu ya kile Kisichokuwa cha Kawaida ulichokigundua na Kilichoshusha pia Credibility ya hii Media ya Bamaga Dar es Salaam ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Waislamu waligoma Tanzania isipate uhuru kwa sababu hawakupata elimu?

    Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini Taifa Stars (Tanzania) haichezi mechi nyingi za kirafiki kama mataifa mengine?

    Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani. Taifa hili lina tatizo gani...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania imeuzwa watuambie basi

    Salamu ya nini? Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje? Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka. Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko. Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) itukamilishie malipo yetu ya ‘refund’

    Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB). Ipo hivi, tukiwa Mwaka wa tatu zaidi ya Wanafunzi 1,000 tulilazimika kulipa fedha zetu binafsi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hali inatisha

    Hali inatisha
  19. F

    JamiiForums Tanzania Wabantu tumehamia Tanzania. Ikitokea watu fulani wakija wakasema tuwapishe Tanzania ni ardhi ya babu zao tutakubali?

    Habari wadau. Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti. Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…