tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanganyika Law Society new Song in Judiciary Tanzania

    On 17-12-2023 will have their extraordinary meeting to discuss their welfare in respect of their member who have been admonished by the judiciary unreasonably. One point TLS is failing without knowing is that, amongst other reason is that, State Attorneys and public advocates are also members...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, leo ni uhuru wa Tanzania Bara au Tanganyika?

    Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA Nchi ambayo Binafsi Siijui ipo wapi inapatikana wapi ina ardhi ya ukubwa gani inapakana na Nchi ipi na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kusajili biashara ya mabasi ya mikoani Tanzania

    Habari, Kwa wanaofahamu, naombeni utaratibu wa kufuata nikitaka kupata kibali cha kufanya biashara ya mabasi Tanzania. Nataka nianze na mabasi 4 route ya Dar-Mwanza.
  4. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa rules za Probate na Admnistraion za Tanzania

    Naomba msaada wa rules za Probate na Admnistraion za Tanzania
  6. JamiiForums Tanzania Benki ya AfDB yaidhinisha Mkopo wa Tsh. Bilioni 165.6 kwaajili ya kusaidia Benki ya Kilimo Tanzania (TADB)

    Mkopo huo umeidhinishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kwaajili ya kuiongezea uwezo Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Kwa mujibu taarifa ya AfDB, Benki ya TADB itapokea nyongeza ya Tsh. Bilioni 3 kwaajili ya kuwezesha awamu ya pili ya Mpango wa Kusaidia...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanaume weusi wa Tanzania wanapenda sana wanawake weupe?

    Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI? Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Waliosambaza taarifa potofu dhidi ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango kukiona cha mtema kuni. Waziri Nape atoa maelekezo

    Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais. Nanukuu "Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
  9. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu

    Uliza chochote kuhusu Tanzania nitakujibu
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  11. JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tulikuwa salama zaidi Mikononi mwa Ujamaa kuliko Tulivyo sasa Mikononi mwa Ubepari/Ubeberu

    Amani iwe nanyi nyote. Kwa wale wazee wenzangu mtakubaliana na mimi kwamba Tanzania ingekuwa mbali zaidi kimaendeleo endapo ingeendelea na mfumo wa Ujamaa chini ya chama kimoja kuliko ilivyo sasa. Uchumi wetu ulianza kuyumba mara tu awamu ya pili chini ya Mzee Ruksa, Alhaji Ali Hassani Mwinyi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili soka la tanzania kwa ajili ya kutoa kipaumbele kuibua vipaji

    WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga. Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha. Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni. Wachezaji kutoka Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Kimwili tuko katika ardhi huru ya Tanzania, kifikra tuko utumwani Ulaya

    KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao pengine baada uhuru hawakujulikana sana. Lakin swali la kujiuliza, Ardhi imekuwa huru sio mali...
  16. JamiiForums Tanzania Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama walivyofanya Malawi na sasa Kenya, nasi kama vijana wa Tanzania, tupo tayari kwenda Israel kuwa vibarua

    Ni ukweli kabisa, mimi nikiwa tayari kabisa kwenda Israel na kuwa kibarua kwenye mashamba ya Wayahudi hao wa mashariki ya kati, Kwa mshahara wa 4M!! Usinitanie bhana! Nawasemea vijana lukuki wa Kitanzania na ambapo wengine wakiwa maofisini na wengine mitaani wakihangaika kutafuta ajira...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inazidi kupepea

    Hii ni orodha ya hifadhi bora barani Africa (9 Best National Parks in Africa) 1. Serengeti National Park - Tanzania 🇹🇿 2.Masai Mara National Reserve - Kenya 🇰🇪 3. Chobe National Park - Botswana 🇧🇼 4. Kruger National Park - South Africa 🇿🇦 6. Etosha National Park - Namibia🇳🇦 South...
  19. JamiiForums Tanzania IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

    Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo...
  20. JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…