tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Masikini? Masaa mawili tunamsubiri Naibu Waziri Mkuu Biteko apite

    Salaam Wakuu, Tangu nizaliwe, nilikuwa nasikia Viongozi wanaleta Foleni. Nipo huku Shinyanga, tumesimamishwa masaa mawili sasa tukisubiri Dotto Biteko apite. Ng'ombe wangu watafika mnadani saa ngapi? Hasara tayari. Mikopo ya Vikoba itanitoa roho. Viongizi wa Tanzania jitafakarini
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  4. JamiiForums Tanzania Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani huwa anafaidika na maelfu ya mamba nchini? Je, huwa wanaliwa?

    Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa. Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani? Je, huwa wanaliwa? Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
  6. JamiiForums Tanzania Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki tuijue

    Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu. Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni. Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi. 1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

    Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Tanzania hazifahamu kwamba mamba mkubwa aliyeuawa ni mali ya Tanzania!

    Habari imesambaa Duniani kwamba kuna mamba mkubwa mwenye umri wa takribani miaka mia moja ameawa Tanzania. Wamehojiwa wamesema wanafanya uchunguzi. Kuna uwezekano mgeni akaingia nchini na kufanya tukio kubwa vile tena akitumia gari za Tanzania bila serikali kufahamu?
  10. JamiiForums Tanzania Matunda aina ya kiwi yanaweza kustawi Tanzania

    Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali. Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje. Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni mwa maeneo yanakolimwa nchini Kenya ni pamoja na Eldoret, Kiambu, Nyandarua, Meru, Nyeri, Nairobi...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania hatuna Wapelelezi Binafsi (Private Investigators)?

    Suala la Ulinzi na Usalama ni agenda muhimu duniani. Mfumo wa Kipolisi peke yake haiwezi kuweka mazingira salama. Nitoe mifano michache nchi kama Marekani, Uingereza, Canada, Urusi, India, China, South Afrika, Misri na hata Israeli. Pamoja na kuwa na vyombo strong vya Ulinzi na Usalama zikiwemo...
  12. JamiiForums Tanzania Matukio yaliyotikisa Tanzania 2023, African Football league inaongoza japo mengine yapo

    Wakuu Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake, 1. Tukio la ufunguzi wa African Football league Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania 2. DP world na issue zake...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi kutoka Roman Catholic (RC) hadi Tanzanian Catholic (TC) kutokana na tamko la papa

    Naona ni muda muafaka kanisa katoliki Tanzania kujitoa kwenye makucha ya Papa chini ya mfumo wake wa Roman Catholic. Haingii akilini, makanisa tumejenga sisi waumini, magari tuwanunulie mapadri na maaskofu halafu hatokee mtu from nowhere kisa ni papa abadilishe asili ya mwanadamu kwa kutaka...
  14. JamiiForums Tanzania IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita. Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi. ======= IMF relieves EA’s indebted...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume Tanzania wamekuwa slow tuwasaidie!

    Hilo sio dongo kwa vijana wetu wa siku hizi 18-35 years wa kiume. Tofauti na vijana wa kike vijana wa kiume wamekuwa wazembe, slow, hawajitumi wala kujielewa. Tukumbuke vijana wetu wa huko nyuma wale waliomaliza form 6 kuanzia 1995-2005 watakubaliana na mimi. Sababu mojawapo kwa mawazo yangu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Technologically Tanzania bado tupo nyuma sana, ni kama vile tupo 1990s

    Mpaka leo 2023 internet ya fibre ni anasa kwa wachache hata wanaoishi kwenye majiji, yani hizo process za kuja kufungiwa tu waweza kata tamaa labda isp awe kampuni binafsi, wenzetu hapo Kenya hizi ishu za Fibre washazizoea tangu 2010s nyumba kibao kuna fibre unlimited internet. Luku za umeme...
  17. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO ndilo shirika linalochukiwa zaidi Tanzania kwa mwaka 2023, hadi wahubiri wawaomba waumini kuwasamehe

    Tatizo la umeme lilianza January Makamba aliitisha kongamano kubwa la matajiri na viongozi mbalimbali kwa fedha nyingi za serikali. Tatizo la TANESCO lilipanuka pale ambapo wanasiasa akiwemo Naibu WAZIRI Mkuu Biteko alipoanza kufanya siasa na kuacha kusema kweli kuhusu undani wa tatizo Tatizo...
  18. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

    Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China. China kanisa katoliki la Vatican halina...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…