tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usimamizi wa wanyama pori Tanzania (TAWA) yasema taratibu zote za kisheria zilifuatwa kwa mamba aliyewindwa na kuuawa ziwa Rukwa

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema imekamilisha uchunguzi uliokuwa unafanywa ili kuona kama kuna ukiukwaji wa sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa chini Tanzania na kuleta taharuki, ambapo uchunguzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kesho ya Nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Pili)

    Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza) Nini kifanyike: Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo havijatumika kutatua tatizo la umeme nchini. Wakati mahitaji yakiogezeka maradufu, ni Dhahiri kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania 2024 Uwe ni mwaka wa kuuimarisha muungano wetu zaidi na zaidi

    Kama raia mwema na mzalendo na mpenda taifa hili la Tanzania, ipo haja ya dhati kabisa kuuimarisha muungano wetu ikiwepo kuondoa dosari zote zilizopo au zinazokinza muungano huu ili kila upande wa muungano uweze kufaidi matunda ya muungano huu adhimu. Ipo haja pia serekali zetu kuondosha...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lamtia mbaroni mtuhumiwa anayedaiwa kumuua Beatrice Minja

    Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya Beatrice James Minja ambayo aliyafanya huko Tarekea Wilaya ya Rombo Mkoa wa Kilimanjro Tarehe 12.11.2023 na mtuhumiwa aliyefanya aliyefanya tukio hilo kukimbia. Akitoa taarifa hiyo leo kwa vyombo vya Habari...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

    Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
  9. JamiiForums Tanzania Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)

    Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi. Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
  10. JamiiForums Tanzania From Taidume to the people of Tanzania

    Dear Friends As we stand on to welcome the New Year -2024, I wanted to share a something that echoes the spirit of Tanzania, a nation that symbolizes resilience, unity, and the pursuit of dreams. Join me on a journey through the diverse landscapes from my beautiful country, TANZANIA. My...
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuivusha salama Tanzania mwaka 2023, hakika unaweza, Tanzania ni Mhimili Mkuu wa Afrika Mashariki

    Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu. Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

    Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa SADC. Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao...
  13. JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  14. JamiiForums Tanzania Wanaochukua mafunzo ya siri Israel wanaweza kuwa ndio watu wasiojulikana.Jee ubalozi wa Tanzania Israel haukujua alipo Joshua ?

    Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali. Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu. Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Wapalestina waliisaliti Tanzania na kumuunga mkono nduli Idd Amin kupigana?

    Tanzania ilikuwa moja ya nchi kinara barani Afrika kutetea haki za Wapalestina. Nchi hii ilienda mbali na kuamua hata kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Israel mwaka 1973 baada ya shinikizo la nchi za kiarabu zilizokuwepo ndani ya O.A.U kuwa kubwa. Ikumbukwe Israel walikuwa na mchango...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania fanyeni marekebisho ya ndege zenu

    Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402. Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero...
  17. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania afanikiwa kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kuandika andiko linaloelezea kile alichokifanya

    Mtaalamu wa mafuta na gesi Tanzania, bwana Elia Wilinasi ameitendea haki field yake ya mafuta na gesi baada ya kuzalisha gesi kutoka kwenye kitalu chake mwenyewe na kufanikiwa kuandika andiko zima ya kile alichokifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  19. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  20. JamiiForums Tanzania Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

    Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu. 1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano • Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…