tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

    Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo. Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu. Haya haters toeni utabiri wenu hapa 😭😭😭😭
  2. JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania jifunzeni kwenda na muda

    Utafiti wangu binafsi. Madaktari wengi Tanzania hawawezi KWENDA na muda wanapoteza muda sana wawapo kazini. Kuna foleni zipo mahospitalini simply because madaktari na lab technician hawazingatii muda. Daktari anapiga soga na mgonjwa ndani ya chumba cha daktari kama wapo kijiweni. Wastani wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

    Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
  4. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  6. JamiiForums Tanzania Data Analyst and Computer Technician (DACT) at HelpAge Tanzania (HAT) January, 2024

    Position: Data Analyst and Computer Technician (DACT) Job purpose The Data Analyst and Computer Technician will provide support on programme data analysis and learnings, IT technical support and proactively leading and implementation of our HAT Data Protection and General Data Protection...
  7. JamiiForums Tanzania UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

    Kutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao. Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama chetu. 👉 Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, katibu Mjanja M1. 👉Katibu mwenezi wa sera za chama ni dronedrake.
  8. JamiiForums Tanzania January Makamba ameonyesha uthabiti kusimamia maslahi ya Tanzania nje ya nchi, mfano mzuri ni suala la ATCL kuzuiwa biashara Kenya

    Upele umepata mkunaji. Hakika kwa sasa diplomasia ya Tanzania iko imara, hakuna mtu atatuchezea abaki salama. Hii yote kazi ya nani? Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba. Tulitaka kuchezewa na wakenya kwa kujifanya wao bora sana na kuwekea vikwazo biashara ya ATCL halafu wao wanataka wapepee...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?

    Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali? Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  11. JamiiForums Tanzania Various Posts at BRAC Maendeleo Tanzania January, 2024

    1 Position (1 ): Officer , Technology (Applications ) Job Location: CHO Employment Type: Contractual BRAC Maendeleo Tanzania is part of a leading development organization that started its operations in 2006 in Tanzania, focusing on thematic areas of Agriculture, Youth and Women Empowerment...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Unapofanya kitu cha umma wa Tanzania unafanya kwa maslahi ya nchi au ya kwako au kikundi fulani?

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SAP wakiri walitoa rushwa Tanzania na nchi nyingine

    Wenzetu US hawana uninga na rushwa. Rushwa zimetolewa sehemu nyingine kabisa lakini kampuni ambayo hata sio ya US kwa kufanya kazi US wanaweza kupigwa fine $220M na kukiri makosa yao sisi tunalea wala rushwa wetu mpaka leo nani kafugwa! === Kampuni ya programu ya Kijerumani, SAP, inachunguzwa...
  14. JamiiForums Tanzania Jumla ya pesa zote Benki ni shilingi ngapi?

    Jamani mimi nataka kujua hivi Tanzania inamiliki pesa jumla kiasi gani?. Nataka nichukue jumla ya pesa zote Tanzania nigawe Kwa idadi ya watu nchini halafu tujue wastani kila mtu anatakiwa na kiasi gani. Hii itasaidia kuweka wazi hata Kwa sheria kwamba kila mtu nchini Tanzania anatakiwa kumliki...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Uchumi jumuishi Tanzania sio rahisi kufikiwa na wananchi wote

    Naionea sana huruma nchi yangu ya Tanzania hasa wananchi wake ambao majority wanazama kwenye lindi la umaskini mkubwa. Sababu kubwa ya umaskini kwenye taifa hili, zipo nyingi ila kubwa kupita zote ambayo nitaielezea hapa ni; WIZI, UFISADI NA RUSHWA.  Yaani nchi itakuwa na rasilimali za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Inadequate time consciousness in determining TAX DISPUTES in Tanzania

    “A CALL FOR REFORM” 1.0 Introduction Time is of the essence, especially in the realm of tax disputes where financial stability and regulatory compliance hang in the balance. In Tanzania, the issue of inadequate time consciousness in determining tax disputes has become a cause for concern...
  17. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Ivory Coast na Tanzania ipi imepiga hatua zaidi kimaendeleo?

    Eti wakuu. Nchi ipi imeendelea zaidi. Ywani kiuchumi, kielimu, umeme, afya, elimu nk.
  20. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…