tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Huenda mgogoro wa Kidiplomasia ukaanza kati ya Tanzania na Malawi baada ya uboreshaji wa Bandari ya Mbamba Bay kuanza

    Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa. Malawi imeilaumu Tanzania kwa kuanzisha mradi wa kuboresha na kupanua Bandari ya Mbamba Bay kwenye Ziwa Nyasa bila kuomba ridhaa, huku...
  2. Assistant Lecturer at Tanzania institute of Accountancy - TIA

    POST ASSISTANT LECTURER – LAW(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER TIA APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY OK DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To prepare learning resources for practical and tutorial exercises; ii. To conduct research, seminars and case studies; iii. To carry...
  3. R

    Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  4. Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
  5. G

    Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  6. Public Health Specialist (HIV Prevention Branch Chief) (CDC) at U.S. Embassy in Tanzania

    About Announcement Number: DaresSalaam-2024-019 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Public Health Specialist (HIV Prevention Branch Chief) (CDC) (All Interested Candidates) Open Period: 04/16/2024 – 04/30/2024 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0550 12...
  7. Radio/Telephone Technician at U.S. Embassy in Tanzania

    About Announcement Number: DaresSalaam-2024-020 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Radio/Telephone Technician (All Interested Candidates) Open Period: 04/16/2024 – 04/30/2024 Format MM/DD/YYYY Vacancy Time Zone: GMT+3 Series/Grade: LE – 0615 6 Salary: TZS TSh25,503,476 /Per...
  8. Waathirika wa mafuriko Rufiji wapokea msaada kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

    Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa...
  9. Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
  10. Tanzania Ni nchi maskini viongozi baneni matumizi

    Tanzania Ni miongoni mwa nchi maskini huku wananchi wakiishi chini ya Dolla 1 huku kipato Cha wastani kikiwa hakizidi Dola 2.5 kwa siku. Nimuhimu kubana matumizi
  11. Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

    Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania. Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi...
  12. Tanzania haina Polisi wala waandishi wa habari

    Kiukweli nimekereka mpaka basi, kuona waandishi wa habari wanamdhalilisha bila huruma yule dogo wanayesema amebaka kuku. Polisi nao na ukiritimba wao wameenda kituo kizima kumkamata. dogo kama yule ni wakufuatwa nakikosi chote kile? alikua au? Mbona hao polisi wakiitwa kwenye show za kiume...
  13. Madereva wa mabasi ya abiria Tanzania hawana akili ya kuendesha usiku,tutakwisha

    Safari za mabasi za usiku zilikuwepo kitambo,Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani akazifutilia mbali. Alijua akili zetu watanzania,madereva wetu hawana uwezo wa kuendesha usiku,kichwa kimejaa bange,pombe,madeni,michepuko huku unabeba roho za watu. Watatumaliza
  14. Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa Misitu ya Miombo

    Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwa niaba ya...
  15. CCM tuheshimu Amani ya Watanzania

    Nianze kwa kuwapa pole na kuwaombea kwa mwenyezi Mungu ndugu zetu wote waliopata majanga ya mafuriko popote nchini Tanzania, pili nimpe pole Mh. Raisi mama Samia suluhu Hassan kwa kitendo cha kuzalilishwa kwenye mitandao, binafsi naamini ni utamaduni mbaya sana na hasa niliposikia waratibu wa...
  16. B

    Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGULI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  17. Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu.. Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize...
  18. R

    Shaping a progressive judiciary in Tanzania

    “Navigating Challenges and Aspirations” In the ongoing journey towards a robust and progressive judiciary in Tanzania, the foundational principles outlined in Article 107A of the Constitution of the United Republic of Tanzania serve as guiding beacons. These principles underscore the imperative...
  19. Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  20. Importance of Improving Education in Tanzania through good English Teachers

    Abstract and Figures In 2012, the British Council and the Government of Tanzania through the then Ministry of Education and Vocational Training, now Ministry of Education, Science and Technology, implemented a four-year project, known as Education Development and Quality Improvement Project for...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…