tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. SoC04 Tanzania Tuitakayo ni ile itakayojengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu

    Tanzania Tuitakayo ni ile ambayo inajengwa juu ya misingi ya elimu, kujiamini, na ubunifu. Ni Tanzania ambapo vijana wanatumia elimu yao kama nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya, wakihoji na kushiriki kikamilifu katika siasa na maendeleo ya jamii. Tanzania yenye vijana waonajiamini na walio...
  2. Nisaidie kutoa pesa kuleta kwenye account yangu tanzania

    Habari nina pesa mahali na njia pekee ya kutoa ni paxum au webmoney WMZ je nitapokeaje kama naweza kupata hizi account then direct to my m-pesq with no verification or someone can help me to withdraw i have $70 i need it to pay some stuffs
  3. SoC04 JamiiForums ijitanue katika utetezi wa watu wenye uhitaji maalum

    Jamii Forums ni jukwaa na chombo cha kupasha habari kilicho nchini Tanzania ambacho kipo ndani ya sera ya habari na mawasiliano nchini. Habari na mawasiliano ni taasisi huru kimazungumzo lakini kuna sheria kandamizi katika chombo cha habari katika utoaji wa taarifa. Jamii Forums miaka sita...
  4. Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo: Maboresho makubwa yafanyike idara ya elimu kwani hii ndio idara mama

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
  6. SoC04 The Vision for Tanzania: Building a Sustainable Future

    Introduction: Tanzania stands at a pivotal moment in its history, poised to shape its future for generations to come. As we embark on this journey, it is imperative to envision a Tanzania that thrives in all aspects of life – education, health, technology, economy, environment, infrastructure...
  7. X

    SoC04 Kufikia ndoto ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, utamaduni mzuri, na watu wenye bidii. Hata hivyo, ili kufikia ndoto yetu ya Tanzania bora zaidi, tunahitaji kufikiria kimkakati na kuchukua hatua za kubuni mbinu mbadala za maendeleo. Hapa, ninapendekeza mawazo yenye ubunifu ambayo yanaweza kuleta...
  8. P

    SoC04 Enhancing quality education in Tanzania coming 10 years

    Introduction: Education is fundamental for the growth and development of any nation. In Tanzania, despite significant progress in increasing access to education, challenges persist in ensuring quality education for all. This proposal aims to address key issues in the education sector and suggest...
  9. Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  10. Kiongozi wa Serikali ya Tanganyika Soma Hii; kwa Nini Viwanda Vidogo Nchini Pakistan ni Vingi?

    Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki, Cherehani, na vifaa vya kilimo, Kila familia ina Kiwanda kidogo na havifanani bidhaa. IPI NI FAIDA YA...
  11. N

    SoC04 Wageni ni Tunu kwa Taifa

    Utangulizi Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
  12. SoC04 Tanzania 2044: Miaka Ishirini ya Kujiimarisha

    Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu katika ustawi wa nchi. Katika makala hii nimeelezea mpango wa maendeleo tunaoweza kuutumia...
  13. C

    Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

    Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
  14. M

    Tanzania kuna vituko!

  15. H

    SoC04 Kufikia Tanzania tuitakayo: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi na Matumizi mazuri ya Rasilimali

    Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo 1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni vizuri wakawa wawajibikaji zaidi na kuwa wabunifu katika kuhakikisha Wanatenda vyema Yale yote...
  16. T

    SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  17. L

    SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  18. G

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: SGR kukuza uchumi wa nchi, kupunguza ajali barabarani iwapo bei za nauli zitazingatia vipato vya wananchi

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
  19. SoC04 Tanzania ya Viwanda tuitakayo

    Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda. 1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali. 2. Kuwa na sera inayosimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha waajiriwa katika viwanda wanapata ujira...
  20. S

    SoC04 Serikali tuitakayo ni ile itakayoweza kutambua kuwa mahitaji muhimu ya wananchi ni afya, elimu, maji, usafiri, na nishati

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itabana mianya ya rushwa, Rushwa ni tishio kubwa kwa uwajibikaji na utawala bora. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kupambana na rushwa kwa kuweka mifumo ya udhibiti, kukuza uwazi, na kuwachukulia hatua wale wanaojihusisha na vitendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…