tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I feel good

    JamiiForums Tanzania Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    Habari za wakati huu wakuu, Bila kupoteza muda, na kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kujua kuhusu sheria za Tanzania zinazokataza mahusiano ya kimapenzi au kuzaliana kati ya ndugu (Incest).
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TANROADS imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara-Bonyokwa-Kinyerezi kwa kiwango cha lami

    Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imemkabidhi Mkandarasi kazi ya ujenzi wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa – Kinyerezi kwa kiwango cha lami; Sehemu ya kwanza yenye urefu wa kilomita 6 pamoja na ujenzi wa daraja la Kinyerezi lenye urefu wa mita 25. Akizungumza kwa niaba ya...
  3. Blender

    JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Wakuu. Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika namba 4. Bado Subaru Forester, tako la Nyani na IST wako mbele yake ila inaonesha jinsi gari mwaka...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tanzania wambeba miss world 2024

    Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech ameshinda taji la Miss World 2024 katika fainali ya mashindano hayo tarehe 9 Machi 2024 jijini Mumbai- India. Krystyna Pyszkova kutoka Jamhuri ya Czech amejinyakulia taji la Miss World 2024 katika sherehe kubwa iliyofanyika kwenye Jio World Cinema huko...
  6. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Ijue hifadhi ndogo kuliko zote Tanzania

    Hifadhi ya kisiwa cha Saanane ndiyo hifadhi ndogo kuliko zote Africa mashariki inayopatikana mkoa wa Mwanza na ndiyo hifadhi pekee iliyopo katikati ya mji. Ni mwendo wa kilomita mbili tu kutoka mjini na kuifikia iliopo. Inapatikana kwenye kingo za ziwa Victoria. Ni hifadhi inayokupa nafasi ya...
  7. Adharusi

    JamiiForums Tanzania Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka madarakani haimaanishi nchi itabadilika

    Ni muda sasa wakuambiana ukweli. Na ukweli ni kwamba sikweli kuwa changamoto na matatizo ya Watanzania yatatamatika pale CCM itakapo toka madarakani. Mtanzania ana matatizo na changamoto za aina mbili zinazo mkabili Moja changamoto ya yeye kuwa Mtanzania pale tu utakapo kuwa Mtanzania kuna...
  10. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana. Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Umaskini Tanzania hiki Hapa. Deep State kazi kwenu

    Japo hatujawahi kufundishwa kwa kina kuhusu kitu kinaitwa Deep State lakini tunaeleweshwa mahali mbali mbali kwamba Deep State ni Kundi la Siri la Wazalendo ambao ndio hasa Husukuma Gurudumu la Ustawi na Uhaif Wa Taifa ktk Nchi fulani. Kutokana na maelezo ya kina ya weledi ya Mh Tundu Lissu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ili kupaa kisiasa Tanzania inabidi umuongelee Hayati Magufuli tu

    Asalaam Aleikum, Kama kichwa kinavyojieleza. In Tanzania currently, sio ruling party wala watu wa opposition parties, wote hao wanatafuta political mileages kupitia kumuongelea MZ. Ni kwamba sera za kuongelea na hoja za kisiasa zimeisha au ndo mvuto wa kisiasa wa hao wagombea wenu hakuna...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje? Huoni kwamba, ama tunaongozwa na...
  16. ONJO

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo

    Tanzania ya leo Ni nchi ya amani kusifiwa inastahili. Nilitazama duniani kote kuangalia siasa za kweli, sikuona isipokuwa Tanzania. Kwa misingi ya Ujamaa Tanzania ilijengwa. Mwalimu Nyerere uishi mpaka wakati usio na kipimo. Hakika ulitukuka, kila mtoto anayezaliwa anasikia habari zako. Naamu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanadiplomasia namba moja Tanzania

    Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua madaraka, Rais Samia amedhihirisha uwezo wake wa kipekee katika kutatua mizozo na kukuza mahusiano...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa habari wa Tanzania waona maamuzi yanayotolewa katika Bunge la Umma la China yanaleta athari za moja kwa moja duniani

    Wakati Mikutano miwili mikubwa inayofanyika kila mwaka hapa nchini China yaani Bunge la Umma (NPC) na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa, ikiwa imefunguliwa na kuendelea kufanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, nchi mbalimbali duniani zimeanza kufuatilia kwa karibu zaidi mwenendo...
  20. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
Back
Top Bottom