tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanadiplomasia namba moja Tanzania

    Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua madaraka, Rais Samia amedhihirisha uwezo wake wa kipekee katika kutatua mizozo na kukuza mahusiano...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa habari wa Tanzania waona maamuzi yanayotolewa katika Bunge la Umma la China yanaleta athari za moja kwa moja duniani

    Wakati Mikutano miwili mikubwa inayofanyika kila mwaka hapa nchini China yaani Bunge la Umma (NPC) na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa, ikiwa imefunguliwa na kuendelea kufanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, nchi mbalimbali duniani zimeanza kufuatilia kwa karibu zaidi mwenendo...
  3. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

    Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea. Ni nyumba yenye watu 7 TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku, Fridge haizimwi, Pasi asubuhi na usiku Kucharge simu kwa sana kwa siku ni kama unit 4
  5. P

    JamiiForums Tanzania Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

    Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
  7. Sijali

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Officer (Funding/Lender Management) at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd March, 2024

    Reference No. 03.24 Position: Finance Officer (Funding/Lender Management) Reporting to: Chief Finance Officer Job Purpose Creating and Maintaining Quality Relationships with Lenders through-out Lender Management Cycle Grant Management Main tasks Create Pipelines and Establishing Contacts...
  9. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Finance Manager at Keda Ceramics Company Ltd March, 2024

    Position: Finance Manager Working Location: Chalinze Tiles Factory We are currently seeking a dedicated and skilled Finance Manager to join our team at Tiles Factory. As the Finance Manager, you will play a crucial role in overseeing financial operations, managing tax relations, and ensuring...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  14. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania India yaruhusu kuuza tani 30,000 za mchele Tanzania

    Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau. India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
  17. Collin Butondo

    JamiiForums Tanzania Exploring the Potential of Bryte Sky Links in Tanzania

    Bryte Sky Links is a well-established and trusted business that prides itself on providing a wide range of essential services to meet the diverse needs of our valued clients. With a commitment to excellence and customer satisfaction, we have become a one-stop destination for a variety of...
  18. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ninampango wa kufungua kampuni ya uongozaji wa watalii ndani ya Tanzania

    Post closed
  19. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 8 wa Tanzania Kushiriki All African Games, Accra Ghana 2024

    Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana. Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga, Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana. Noja ya...
Back
Top Bottom