tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jokate: UWT imekagua utekelezaji wa ilani katika mikoa 17, wilaya 185 na kata 883 Tanzania Bara

    UWT CHINI YA MWENYEKITI MAMA MARY CHATANDA IMEKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI KATIKA MIKOA 17, WILAYA 185 NA KATA 883 TANZANIA BARA - KATIBU MKUU JOKATE Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu chini ya Mwenyekiti wetu Mama Mary Chatanda (MCC) wamefanya ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ndani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje? Huoni kwamba, ama tunaongozwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo

    Tanzania ya leo Ni nchi ya amani kusifiwa inastahili. Nilitazama duniani kote kuangalia siasa za kweli, sikuona isipokuwa Tanzania. Kwa misingi ya Ujamaa Tanzania ilijengwa. Mwalimu Nyerere uishi mpaka wakati usio na kipimo. Hakika ulitukuka, kila mtoto anayezaliwa anasikia habari zako. Naamu...
  5. JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania yatoa Taarifa kuhusu Wizi katika Sekta ya Benki, miamala ya simu yaongoza kwa wizi

    Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanadiplomasia namba moja Tanzania

    Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejitokeza kama mwanadiplomasia bora, akisimamia uongozi wa kimataifa kwa ustadi na ufanisi wa hali ya juu. Tangu kuchukua madaraka, Rais Samia amedhihirisha uwezo wake wa kipekee katika kutatua mizozo na kukuza mahusiano...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa habari wa Tanzania waona maamuzi yanayotolewa katika Bunge la Umma la China yanaleta athari za moja kwa moja duniani

    Wakati Mikutano miwili mikubwa inayofanyika kila mwaka hapa nchini China yaani Bunge la Umma (NPC) na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa, ikiwa imefunguliwa na kuendelea kufanyika katika Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, nchi mbalimbali duniani zimeanza kufuatilia kwa karibu zaidi mwenendo...
  8. JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Offgrid forever: Kwa Tanzania unahitaji pesa kiasi gani kuwatolea nje Tanesco ujitegemee umeme wako kwa matumizi ya nyumbani?

    Ni kuhusu kung'oa kabisa nyaya zao za Tanesco, Mita yao iwe toy ya mtoto kuchezea. Ni nyumba yenye watu 7 TV ipo on kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa nne usiku, Fridge haizimwi, Pasi asubuhi na usiku Kucharge simu kwa sana kwa siku ni kama unit 4
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maisha tunayoishi Watanzania na Waafrika ni aibu tupu

    Maisha ambayo raia wa Africa na Tanzania kwa ujumla tunaishi ni aibu, huzuni na mateso matupu. Maji shida, umeme shida, ajira hakuna, huduma za afya mbovu Yani Kila kitu tatizo. Waafrika na Tanzania kwa ujumla tunaishi katika umaskini wa kunuka ndani ya utajiri wa kutupwa. Hakika hii ni laaana...
  11. JamiiForums Tanzania Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

    Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
  12. JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa si aibu

    Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania. Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
  13. JamiiForums Tanzania Finance Officer (Funding/Lender Management) at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd March, 2024

    Reference No. 03.24 Position: Finance Officer (Funding/Lender Management) Reporting to: Chief Finance Officer Job Purpose Creating and Maintaining Quality Relationships with Lenders through-out Lender Management Cycle Grant Management Main tasks Create Pipelines and Establishing Contacts...
  14. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  15. JamiiForums Tanzania GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

  16. JamiiForums Tanzania Siri nzito mikataba gesi asilia Tanzania

    Na Mwandishi Wetu NI ukweli usiopingika kwamba majadiliano ya mikataba, hasa ya mafuta, gesi, madini na maliasilia nyingine za nchi huchukua muda mrefu kukamilika. Hili ni jambo la kawaida hasa kwa Serikali ambayo ni makini na inayobeba jukumu la kulinda utajiri na maliasilia za nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Finance Manager at Keda Ceramics Company Ltd March, 2024

    Position: Finance Manager Working Location: Chalinze Tiles Factory We are currently seeking a dedicated and skilled Finance Manager to join our team at Tiles Factory. As the Finance Manager, you will play a crucial role in overseeing financial operations, managing tax relations, and ensuring...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 06.03.2024

    Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo. Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo. Updates Dakika ya 45+3 Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula. HT Simba 0-1 Tz Prisons. Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko. Mzamiru Out Saido Inn Kibu D Out Chasambi Inn Freddy...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kale katabia kakubariki na kujivunia umasikini naona kanaisha Tanzania

    Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…