tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Muuza Madafu: Mimi siyo Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda ninayefananishwa naye

    Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani. Kijana muuza madafu ameujulisha umma kuwa yupo tayari kukutana na afisa usalama ambaye...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

    Wanabodi, Karibuni,
  3. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Kijiolojia na Kisayansi: Upekee wa Muundo wa Ardhi ya Iringa, Tanzania

    Iringa ni mkoa ulioko katika sehemu ya kusini mwa Tanzania, na ni sehemu muhimu sana kijiolojia katika kuelewa muundo wa bara la Afrika. Kijiolojia, eneo hili limeathiriwa na michakato mingi ya kijiolojia ambayo imeunda miamba ya kale na muundo wa ardhi unaopatikana huko. Miamba ya kale...
  4. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Rangi: Kinyonga wa Madini Tanzania

    Tanzania ni nchi tajiri katika rasilimali asili, ikiwa na madini mengi ambayo yanaweza kuleta utajiri mkubwa kwa taifa na wananchi wake. Hata hivyo, hadithi ya utajiri wa madini nchini imekuwa na kivuli cha giza kinachofahamika kama "tajiri wa rangi," ambaye mara nyingi huwa kama kinyonga kwenye...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Good Samaritan (msamalia mwema) ni muhimu ili kuwaokoa majeruhi

    TANZANIA TUNAHITAJI SHERIA YA MSAMARIA MWEMA ILI KUWAOKOA MAJERUHI Ndugu Viongozi wetu Imefika wakati sasa Tanzania tunahitaji sheria ya Msamaria mwema au kwa kiingereza Good Samaritan Law. Sheria hii itawezesha kuokoa maisha ya watu wengi waliojeruhiwa, hasa na ajali za barabarani tofauti na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni jamii ya watu wenye self esteem ya kujithaminisha kwa vitu vya kijinga, vya muhimu hupewa kisogo

    Self esteem ni vile jinsi unavyojikubali kwa mtazamo wako, watu wengi hujikubali kwa maarifa waliyonayo, elimu, vipato, n.k. Kwa wenzetu nchi zilizoendelea mtu anajikubali zaidi na kuona kinachompa heshima na kukubalika ni Maarifa mfano kujisifu kila mwaka anasoma vitabu 30, Kipaji...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania KWELI Watu 155 wafariki kwa Mafuriko Tanzania

    Salaam, Wakuu nimepata wenge baada ya kuona taarifa inaeleza watu 155 wamefafiki kwa Mafuriko Tanzania. Sijakutana na hii habari. Na hata Mtandao wa X (Twitter) wengine wanapata mashaka kama Mimi tu. Je, kuna ukweli kwenye jambo hili? Tunaombeni ufafanuzi
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Watu 155 wamepoteza maisha na wengine 236 wamejeruhiwa kutokana na Mvua za El nino

    https://www.youtube.com/watch?v=xjMIFw1DUyg Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza Bungeli, leo Aprili 25, 2024 ametoa taarifa ya kuhusu mwendendo wa Matuko ya hali ya hewa, athari zake na hatua zilizochukuliwa na Serikali. Amesema mabadiliko ya hali ya hewa...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina Jeshi la Zimamoto na Uokoaji! Kuna mtu kaliona wakati huu wa mafuriko?

    Mimi ningeteuliwa kuwa kamanda wa kikosi cha zimamoto na uokoaji, jambo la kwanza ningeomba kibali cha kuunda vikosi maalum hata vinne, kwa ajili ya zimamoto na uokoaji wakati nchi inasubiri kuwa na kikosi nchi nzima, Rufiji haupo, Kilosa haupo. Ndio maana hata kwenye gwaride hamkuwepo leo siku...
  13. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Currency swap kati ya Tanzania na China, India, Turkey kukabiliana na uhaba wa Dola

    Kuna biashara kubwa sana (inayohusisha mabilioni ya fedha) baina ya nchi yetu na China, India, Uturuki, Afrika Kusini n.k. Taifa letu bado ni tegemezi katika kuagiza vitu, vifaa, chakula, nguo na mengine toka katika nchi mbalimbali. Hili linafanya wafanyabiashara wanaoagiza kuhitaji na kutafuta...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku Leonard yeye ana bachelor ya water resources engineering. Kwenye interview zao utagundua wako smart...
  15. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Matumizi na uhifadhi sahihi wa silaha kwa wamiliki Tanzania

    Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia. Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Makaburi wa Tanzania ni wale wanaojiita wazawa.

    Maana maneno haya ya wazawa yalisikika wakati DP weldi walipokuwa wanapingwa kuendesha Bandari , zikatoka hadithi kwamba , Kwanza Bandari wenyewe ni , wachomvi . Neno makaburi wa Tanzania ni wazawa yapo kwenye Hotuba ya Mwl Nyerere kuhusu Raisi tunayemtaka, na matatizo ya Muungano. Na Ubaguzi...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania?

    Ni mikoa gani ambayo mvua hizi hazinyeshi kwa hapa Tanzania? Tujuzane!
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo Muundo wa Muungano Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
  20. III II II II II

    JamiiForums Tanzania Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
Back
Top Bottom