tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Janma

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya baadae: Kuelekea Mfumo Bora wa Elimu ya Ufundi Tanzania

    kama nchi nyingine nyingi, Tanzania inakabiliwa na changamoto za kimfumo katika mfumo wake wa elimu. Kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na teknolojia, kuna haja ya kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye ya taifa hili. Moja ya njia ambazo Tanzania inaweza kutumia ni...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbwa ana akili kuzidi punda au punda wa Tanzania ana huruma kuzidi mbwa?

    Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito iumizayo au vyote kwa pamoja. Asipokuwa na hizo alama, ujue huyo punda anamilikiwa na msomi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Tanzania vs Marekani

    A Professor in Wisconsin was BRUTALLY ARRESTED for OPPOSING GENOCIDE!
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Unavyotafuta gari ya kununua, RANGI huwa unaipa kipaumbele au kanyaga twende?

    Wakuu, kwema. Kwa wale ambao wamewahi kununua gari, kwa kuagiza, kwa mtu au showroom, hivi rangi ya gari uwa unaiweka katika options zako za muhimu au? Kwa upande wangu, rangi ya gari nilikua naichukulia poa. Nikakutana na Runx nyeusi, nikanunua fresh. Shida ikaja, AC kuna kipindi ilizingua...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: TMDA endelevu dhidi ya Vita ya Dawa Feki

    TFDA ilibadilishwa kisheria na kuwa TMDA tarehe 1 Julai, 2019 baada ya marekebisho ya Sheria ya Chakula, Dawa na Vipodozi, Sura ya 219 na Sheria ya Fedha Na. 8 ya 2019. ya bidhaa za chakula. Hivyo kuwepo kwa TMDA ambayo majukumu yake makuu ni kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa dawa, vifaa...
  6. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Serikali na wananchi wake tumejipanga vipi kwendana na dunia ya leo na kesho?

    Tanzania, kama nchi nyingine, inakabiliwa na changamoto na fursa za kuendana na mabadiliko ya dunia. Kujipanga kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali na wananchi ili kuhakikisha maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Tumeona nchi nyingi ambazo zilizopo afrika na zengine zikikabiliwa na...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: NHC katika Kujenga Mustakabali Endelevu

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) la Tanzania, lililoanzishwa kwa lengo mapana la kuboresha upatikanaji wa makazi, pamoja na malengo ya kuhakikisha kila Mtanzania anapata nyumba tena ya bei nafuu. Lakini ni ukweli mchungu kubwa NHC ni shirika ambalo limeshindwa kufikia uwezo wake. Ingawa...
  8. Hassan Amin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko

    Tanzania Tuitakayo: Mawazo ya Kibunifu kwa Mabadiliko Tanzania ni nchi tajiri yenye rasilimali nyingi na watu wenye jitihada na uwezo mkubwa. Hata hivyo, ili tuweze kufikia Tanzania Tuitakayo tunahitaji kuwa na mabadiliko halisi na ya kudumu katika nyanja mbalimbali. Kuna mambo kadhaa ambayo...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya mageuzi ya katiba mpya ya wananchi

    UTANGULIZI Katika nchi yeyote duniani ili kuendelea ni lazima iwe na katiba nzuri na yenye kujali maslahi makubwa ya wananchi , bila hivyo tutajidanganya wote tunafahamu kuwa katiba nzuri ndo mwongozo na dira ya nchi yoyote . Ili kuwa na mabadiliko chanya na maendeleo katika taifa letu ni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye haya kupunguza mfumuko wa bei nchini

    Mambo matano ya kuyafanya 1. Kuweka mkazo katika sera zake za uendeshaji wa mashirika binafsi kuzalisha malighafi za viwandani kama alizeti, miwa pamoja na mazao ya chakula. 2. Kupunguza ushuru katika vifaa vya kilimo kama uagizaji wa trekta za kulimia ili kuweka usawa na watu binafsi waweze...
  11. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: New position

    In the heart of East Africa, Tanzania stood poised at a crossroads, facing the dawn of a new era—Tanzania Tuitakayo, the Tanzania we desire. With a vision set on the horizon of the next five years and beyond, the nation embarked on a transformative journey, fueled by innovation and propelled by...
  12. dallen

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuendeleze rasilimali zetu na uvumbuzi ili kukuza uchumi

    "Tanzania, njia ya mafanikio, tunakumbatia fikra mpya, tukiendeleza rasilimali zetu na uvumbuzi. Kwa miaka ishirini na tano ijayo, tunajiwekea malengo ya kubadilisha uchumi wetu kupitia viwanda vya hali ya juu, kilimo cha kisasa, na utalii endelevu. Tufanye maamuzi ya busara kuhusu matumizi ya...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni nzuri, lakini ya Kenya ni bora zaidi kuliko ya Tanzania

    Inasemekana, Naibu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Kenya, Jenerali Ogolla, alitumwa kuzuia Ruto asitangazwe kuwa mshindi wa kiti cha Urais Kenya, lakini azma hiyo haikufanikiwa. Viongozi wa Tume ya uchaguzi hawakuuogoopa Ujenerali wake. Waliiheshimu na kuisimamia Katiba yao kikamilifu...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mwandishi gani wa habari Tanzania ni wa kariba ya Mohammed Ali wa Jicho Pevu Kenya Rd?

    Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya. Kwa...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Imetembelewa na Mwalimu wa Historia ya Tanzania

    MAKTABA IMETEMBELEWA NA MWALIMU WA HISTORIA YA TANZANIA Maktaba imepata bahati kubwa sana na heshima ya pekee kwa kutembelewa na mwalimu anaesomesha somo la historia kiwango cha shule za sekondari. Kwa mara ya kwanza nimebahatika kusikia na nimejifunza mengi kwanza changamoto zilizomo katika...
  16. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
  17. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa kutizamia mafanikio, changamoto za sekta mbalimbali; Haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayoendelea kukua kwa kasi kiuchumi. Hii ni kutokana na umahiri wa awamu mbalimbali za uwongozi wa serikali zenye ustadi na umahiri mkubwa wa kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Zifuatazo ni tathmini juu ya...
  19. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

    Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
Back
Top Bottom