tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwa kutizamia mafanikio, changamoto za sekta mbalimbali; Haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayoendelea kukua kwa kasi kiuchumi. Hii ni kutokana na umahiri wa awamu mbalimbali za uwongozi wa serikali zenye ustadi na umahiri mkubwa wa kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Zifuatazo ni tathmini juu ya...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

    Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi. Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  4. JamiiForums Tanzania Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yaweka rekodi kuwa na sikukuu nyingi Duniani!

    New Year Mapinduzi Karume Day Muungano Day Mei Mosi Saba Saba Nane Nane Day Nyerere Day Christmas Day Boxing Day Good Friday Easter Monday Eid El Fitr[Shehe atavyoamua kutangaza] Mauli day id El Hajji[siku mbili] Mapinduzi Uhuru ZIJAZO 1. Magufuli Day. 2. Mama Day SIKUKUU ZA WANAOTUKOPESHA...
  6. JamiiForums Tanzania Pikipiki za angani zingalipo Tanzania?

    Zinaitwa HANG GLIDERS. Miaka ya nyuma nilikuwa nikiziona zikikatiza anga la Arusha. Inasemekana zilikuwa za Mzungu, nafikiri, wa Gomba Estate. Tokea nihamie mikoani, sijafanikiwa kuziona tena. 1. Bado zipo Tanzania? 2. Utaratibu ukoje kwa mtu anayetaka kuwa nayo? 3. Gharama ya kununulia na...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ifanye hivi kuboresha sekta za Madini, Utalii na Viwanda

    Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa miongo kadhaa, madini yamekuwa sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, na jitihada za hivi karibuni...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutaja Itifaki ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya

    Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini vyuo vya Tanzania havina endowment funds?

    Endowment fund ni nini? Kwa kifupi, ni mfuko ambao fedha za za michango na misaada kwa chuo huwekwa na kuwekezwa sehemu mbali mbali ili zizalishe faida. Hiyo faida inatumika kutunza thamani ya huo mfuko na kufadhili shughuli za chuo kama tafiti na ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye vipaji au...
  10. JamiiForums Tanzania China ilikuwa sawa na Tanzania, leo wao sawa na Marekani

    Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje? Na hizo njia walizotumia kujikwamua ni siri kiasi kwamba sisi hatuwezi kufuata?, ikanibidi nitafute...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

    Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania. Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaipita Kenya kwa Huduma ya Maji Safi na Salama

    👇🏿
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi

    SIASA; 1. Mfumo wa upigaji kura wa elektroniki, Kuwe na mfumo wa kupiga kura na kuzihesabu kwa njia ya kielektroniki badala ya kutegemea vituo na karatasi za kupigia kura, Wananchi wanaweza kupiga kura kwa njia ya simu zao za mkononi au kompyuta ili kuongeza ufanisi na ni vyema mfumo huu...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania upinzani uliasisiwa ili kudanganya mataifa mengine kuwa kuna demokrasia

    Inchi yetu Wananchi wake waliingizwa kwenye Vyama vingi Kwa utashi wa MATAIFA ya nje na Viongozi walio na hila Ili waonekane wanaenda na matakwa ya wakati katika Siasa. Waliotaka Vyama vingi hawakuzidi asilimia 22, wakapewa Kwa hila huku mifumo ilibakia ileile ya chama kimoja, katiba, tume ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  16. JamiiForums Tanzania Branch Manager at DP World Tanzania April 2024

    Branch Manager Branch Manager at DP World Tanzania April 2024 Job Function The Branch Manager for a Freight Forwarding branch office is responsible for overseeing and managing all operational and administrative aspects of the branch. This position requires strong leadership skills, excellent...
  17. JamiiForums Tanzania Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba. Mwezi ulioisha...
  18. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Yaliyotokea Uchaguzi wa 2019 na 2020 yakitokea tena Uchaguzi wa 2025 itakuwa ni mwanzo wa Vurugu

    Kongamano la Wadau kuhusu Wajibu wa Vyombo vya Habari katika Kuhakikisha Uchaguzi wa Kuaminika (Agenda for Stakeholders’ Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections), linafanyika kwenye Ukumbi wa New Dodoma Hoteli, leo Aprili 30, 2024 Baadhi ya Washiriki na ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kutatua matatizo yote ya Tanzania na Afrika kwa ujumla

    Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hivi maslahi ya Tanganyika kwenye Muungano na Zanzibar yanatetewaga na nani?

    Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano. Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…