tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CP Awadhi awakabidhi Askari wa Kike bendera kwenda Abuja Nigeria

    Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa kwa ajili ya kuondoka nchini kwenda Nigeria kushiriki mafunzo ya askari wa kike Ukanda wa Afrika yanatarajiwa kufanyika Abuja Nchini humo kuanzia Julai...
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbona hatuoni hata uchambuzi wa muswada wa fedha Tanzania achilia mbali kuugomea kama Kenya. Au tunasubiri kulia tukikutana na bei mpya

    Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja. Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kumi (10) Bora ya Mashabiki Maarufu, Vichaa na wenye mapenzi zaidi na timu zao Tanzania.

    Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania 10. GB 64 Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake. 9.Aggy Simba Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
  5. Tranquilizer

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuikomboa Tanzania katika matatizo yanayoikumba

    Kutatua matatizo yanayokumba Tanzania ni changamoto kubwa ambayo inahitaji jitihada za pamoja kutoka kwa serikali, jamii, sekta binafsi, na wadau wengine. Hapa kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kusaidia katika kutatua matatizo yanayokumba Tanzania: 1. Kuelimisha jamii: Elimu ni ufunguo wa...
  6. sitagliptin

    JamiiForums Tanzania Update yanayojiri mgomo wa wafanyabiashara tanzania

    Wanajukwaa habari, Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya Tukiangazia dar Leo siku ya pili Huku mwanza nao wakianza leo Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao Vipi hari ya mtaani kwako?
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania nimefatilia maandamano ya kenya nataka niwaambie ni swala la muda tu hiki kinachotokea Kenya kitaambukizwa Tanzania, Uganda, na nchi nyingine jirani

    ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo...
  8. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utambulisho wa sekta za kiuchumi ndio utakaoing’arisha Tanzania yetu

    Tangu tupate uhuru yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na viongozi wa taifa letu, mambo hayo yalifanywa ili kuliwezesha taifa letu kuimarika kiuchumi na hatimaye kuweza kuendesha shughuli mbalimbali ndani ya taifa letu bila kuteteleka. Kwa kuwa na malengo kama hayo viongozi wa taifa letu...
  9. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ili kupata msaada wa bure wa kisheria nchini Tanzania.

    Msaada wa kisheria ni jambo muhimu katika kuhakikisha upatikanaji sawa wa haki kwa wananchi wote wa jamii. Nchini Tanzania, Sheria ya Msaada wa Kisheria inatambua dhana ya “watu maskini,” ikirejelea wale ambao hawana uwezo wa kifedha wa kuajiri wakili binafsi. Watu hawa wanaweza kukabili...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mwarobaini wa changamoto ya mafuta Tanzania

    Mafuta ni nishati muhimu sana duniani, pamoja na kuwa nishati muhimu sana duniani bado nchi zinazozalisha mafuta asilia ni nchi chache sana duniani, kiasi kwamba hata pale zinapokumbwa na changamoto kama vile vita, majanga ya asili na magonjwa ya miripuko sisi kama Watanzania na nchi nyingi za...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10

    Tanzania na Teknolojia ya Blockchain: Njia ya Kukuza Ustawi wa Masoko Ndani ya Miaka 10 Utangulizi Teknolojia ya blockchain ni mojawapo ya uvumbuzi muhimu unaobadili sekta mbalimbali za uchumi duniani. Tanzania, kama nchi inayotaka kujenga uchumi wa kidijitali na endelevu, inaweza kunufaika...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Utatuaji wa Mgogoro katika Sekta ya Utumishi wa Umma nchini Tanzania: Uchambuzi wa Sheria na Utaratibu

    Muhtasari Moja ya lengo muhimu la kutunga Sheria ya Utumishi wa Ummaya Mwaka 2002 ni kutoa mpango kazi wa kutatua migogoro na kutoa kazi na majukumu pamoja na kuanzisha tume ya utumishiwa umma na mambo yanayoendana na hayo. Hii inamaanishakwamba Sheria ya Utumishi wa Umma ya 2002 ilikuja...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kesi za Maslahi ya Umma Nchini Tanzania: Uchambuzi na Maoni

    Muhtasari Kesi za maslahi ya umma ni moja ya silaha ya kupambana na malalamiko kama vile uvunjifu wa haki za Binadamu unaofanywana serikali au taasisi zisizo kuwa za kiserikali. Mashauri hayayamekuwa yakitumika kushinikiza upatikanaji wa haki pamoja na Ulinzi wa haki za watu masikini na nakundi...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC04 The City of the Future: Designing Inclusive and Resilient Urban Spaces in Tanzania - A Vision for 2050

    The City of the Future: Designing Inclusive and Resilient Urban Spaces in Tanzania - A Vision for 2050 Tanzania stands at a pivotal moment in its urban development journey. Our vibrant cities, brimming with culture and commerce, are grappling with significant challenges that demand innovative...
  15. black_handsome34

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: rasilimali watu kwenye ulimwengu wa sayansi na teknolojia

    Tanzania ni nchi iliyojaliwa kudumisha amani ya muungano wa nchi ya Tanganyika na Zanzibar tangu tarehe 26 Aprili, 1964 barani Afrika na kubarikiwa rasilimali za kipekee kutoka kwa mwenyezi Mungu zenye tija ya maendeleo. Mfano: madini ya tanzanite. TANZANIA TUITAKAYO miaka 5-25 ijayo. Si rahisi...
  16. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Tanzania yapeperushwa vyema nchini Rwanda

    Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki “FTX Ushirikiano Imara 2024” lililofanyika...
  17. DANIEL W LAIZER

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwekezaji katika tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza nchini Tanzania

    UTANGULIZI Miaka 15 iliyopita tulikumbana na wimbi kubwa la kushuka kwa tasnia ya filamu na michezo ya kuigiza hapa nchini Tanzania,sababu kubwa hasa ilikuwa  Ni mabadiliko ya kiteknolojia ya namna ya uwasilishaji wa filamu na michezo ya kuigiza kwa jamii na hivyo kunifanya kupoteza mwelekeona...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC04 From Waste to Wealth: Revolutionizing Mine Closure in Tanzania

    From Waste to Wealth: Revolutionizing Mine Closure in Tanzania As global mining activities intensify, the challenge of responsible mine closure has become increasingly urgent. Tanzania, with its rich mineral resources and growing environmental concerns, stands at a critical juncture. This...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa miaka 25 wa kuondoa tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Bwana yesu asifiwe...... Nianze Kwa kushukuru MUNGU muumba mbingu na nchi na vyote viijazavyo Kwa, kutujalia amani, upendo na mshikamano. SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA -Ukosefu wa ajira ni janga linaloitafuna nchi yetu ya Tanzania, hivyo ili Kuondoa au kupunguza tatizo hili yafuatayo lazima...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu Tanzania na athari zake kwa vijana

    Mfumo wa Elimu Tanzania umejengwa Kwa namna ambayo inahitaji mwanafunzi kupitia ngazi mbalimbali Kwa muda mrefu kabla ya kuhitim na kuanza maisha ya kikazi.tukiangalia Kwa undani tunaweza kuelewa kwanini inachukua muda mrefu sana. Elimu ya darasa la 1-7 inachukua miaka 7 mwanafunzi huanza akiwah...
Back
Top Bottom