Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
Khatib ni kijana mwenye umri wa miaka 27 aliyeweza kusoma na kuhitimu katika chuo kimoja jijini dar es salaan na kutunukiwa shahada ya uhandisi. Katika safari ya kuanza ajira yake na hapo aliweza kutumika katika kampuni isiyo ya kiserikali. Baada ya muda kadhaa Khatib alianza kuonyesha dalili...
UTANGULIZI
Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba.
Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
Utangulizi
Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya teknolojia ikiwa itazingatia na kuwekeza katika maeneo haya makuu yafuatayo.
Miundombinu ya...
Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi
1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki:
-Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani.
Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji.
Kwa mujibu wa...
Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa.
Hata samia ajifunze mbinu za jpm ili hawa chadema wanaoshawishi maandamano wakimbie nchi tena watarudi baadae. Kama jpm...
Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini;
Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa
Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako.
Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia
Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar)
2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu.
3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio.
Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki...
Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa kwa ajili ya kuondoka nchini kwenda Nigeria kushiriki mafunzo ya askari wa kike Ukanda wa Afrika yanatarajiwa kufanyika Abuja Nchini humo kuanzia Julai...
Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia.
Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja.
Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania
10. GB 64
Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake.
9.Aggy Simba
Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
Kutatua matatizo yanayokumba Tanzania ni changamoto kubwa ambayo inahitaji jitihada za pamoja kutoka kwa serikali, jamii, sekta binafsi, na wadau wengine. Hapa kuna njia kadhaa ambazo zinaweza kusaidia katika kutatua matatizo yanayokumba Tanzania:
1. Kuelimisha jamii: Elimu ni ufunguo wa...
Wanajukwaa habari,
Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya
Tukiangazia dar
Leo siku ya pili
Huku mwanza nao wakianza leo
Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao
Vipi hari ya mtaani kwako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.