tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Diagnosing Early and Minimizing the increase of Non-Communicable Diseases in Tanzania as a means of Ensuring a healthy workforce and reduction of heal

    The WHO reports that non-communicable diseases (NCDs), including heart disease, stroke, cancer, diabetes and chronic lung disease, are collectively responsible for 74% of all deaths worldwide. In Tanzania DHIS-2 data indicates a 9.4% increase in heart disease and blood pressure cases from...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Nchi yenye Kilimo cha Kisasa chenye Tija kinachovutia Ushiriki Wa Vijana

    Utangulizi Kilimo ni sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Sekta hii huchangia takribani 27.6% ya pato la Taifa (GDP) la Tanzania, ikithibitisha umuhimu wake mkubwa kiuchumi (Benki ya Dunia, 2020). Kilimo pia huajiri takribani 65% ya nguvu kazi ya nchi, hasa katika maeneo ya vijijini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe na jicho la tatu katika biashara ya uingizaji wa bidhaa toka nje ya Tanzania

    Nashukuru sana kupata nafasi ya kushiriki kwenye Stories of change. Nimekuwa nikitoa maoni yangu kwenye mtandao wa X kwamba Serikali inaonaje kama ingeshusha ushuru wa kuagiza bidhaa toka nje ya Tanzania. Hapa namaanisha bidhaa kama magari, mashine na vifaa vyote vya kielectronic; bidhaa hizi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kusaidia kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania

    Kuleta maendeleo endelevu nchini Tanzania kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali, sekta binafsi, asasi za kiraia, taasisi za elimu, na wananchi wenyewe. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kusaidia kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania: Kuwekeza katika...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuikayao: Mbinu zinazoweza kusaidia kuboresha hali ya Tanzania

    Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inaendelea kufanya kazi kuboresha maendeleo ya wananchi wake

    Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
  7. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Akili bora, Tanzania bora!

    Khatib ni kijana mwenye umri wa miaka 27 aliyeweza kusoma na kuhitimu katika chuo kimoja jijini dar es salaan na kutunukiwa shahada ya uhandisi. Katika safari ya kuanza ajira yake na hapo aliweza kutumika katika kampuni isiyo ya kiserikali. Baada ya muda kadhaa Khatib alianza kuonyesha dalili...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua Muhimu za Kuchochea Maendeleo ya Kiteknolojia Tanzania kwa miaka 10 hadi 20 ijayo

    Utangulizi Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya teknolojia ikiwa itazingatia na kuwekeza katika maeneo haya makuu yafuatayo. Miundombinu ya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za Ukusanyaji mapato na uandaaji wa bajeti bora katika Tanzania TUITAKAYO

    Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi 1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki: -Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dunia inapoeleka na matumizi ya mitandao Tanzania ichukue hatua ni muda sasa kuwa na tume ya kudhibiti uhalifu mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani. Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji. Kwa mujibu wa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto aje ajifunze tanzania penye peace and tranquility.

    Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa. Hata samia ajifunze mbinu za jpm ili hawa chadema wanaoshawishi maandamano wakimbie nchi tena watarudi baadae. Kama jpm...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Biashara

    Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini; Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tutajifunza mengi Kenya lkn siyo maandamano na kuharibu mali

    Uvumilivu hata katika kipindi kigumu Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika. Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
  16. JamiiForums Tanzania TEARS VIDEO: Hii Inaweza Kukupa Taswira kwa Nini Watanzania Mnanyimwa Elimu

    Naona kabisa kwa nini Elimu inakupa nguvu na uelewa katika maisha yako. Hawa kina mama wapewe ulinzi popote walipo na natamani waje wafanye indoor conference na seminars kwa wamama wa tizii!.
  17. JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yanayoifanya Tanzania iwe nyuma kwenye Teknolojia

    Natanguliza shukulani kwa WanaJF maana mmekua mchango mkubwa sana kwa watanzania wengi kupata maarifa ya mambo mbalimbali hasa kuhusu Teknolojia Kama title inavyojieleza hapo juu na haya ni maoni yangu kuhusu nchi yangu pendwa Tanzania inavyo litazama jambo hili na jinsi ambavyo inashindwa...
  18. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya mna mengi ya kujifunza Tanzania

    1. Mnahadaika na majina tofauti ya Vyama kumbe watu kutoka familia zile zile wanakula na kusaza bora hata CCM wanabadilishana (Tanganyika Vs Zanzibar) 2. Rushwa na ukabila unafunika mazuri wa Katiba yenu. 3. Maandamano pekee hayajawahi kuwapa matokeo chanya, bali mazungumzo, Mila na desturi na...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

    Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio. Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki...
  20. JamiiForums Tanzania CP Awadhi awakabidhi Askari wa Kike bendera kwenda Abuja Nigeria

    Kamishna wa Operesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi Nchini CP Awadhi Juma Haji amewakabidhi askari wa kike wa Jeshi la Polisi Bendera ya Taifa kwa ajili ya kuondoka nchini kwenda Nigeria kushiriki mafunzo ya askari wa kike Ukanda wa Afrika yanatarajiwa kufanyika Abuja Nchini humo kuanzia Julai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…