tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania 2040: Innovating at the Intersection of Technology and Society

    Tanzania 2040: Innovating at the Intersection of Technology and Society Can a nation leapfrog decades of development by harnessing the power of technology? Tanzania is determined to prove that it can. In the heart of East Africa, this ambitious country stands at the cusp of a technological...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kujenga Tanzania ya Ndoto ya Mtanzania

    Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kuwa tofauti na nchi zingine za Afrika Mashariki na Afrika; kijiografia imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la ardhi kutosha kwa kilimo, vyanzo vya maji na bahari yenye ukanda mrefu wa pwani na vivutio vya utalii vyenye umaarufu mkubwa duniani. Kijamii, imebahatika kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jukumu la serikali kuhakikisha hedhi safi na salama kwa mtoto wa kike na mwanamke wa Tanzania

    Chanzo: onlymyhealth.com Hedhi huanza kutokea kwa wanawake pindi wanapopevuka. Katika kipindi cha hedhi wanawake wanahitaji kujisitiri vizuri ili kuhakikisha wanakua safi na salama wakati wote wakiendelea kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Hedhi sio jambo la hiyari kwa mwanamke, ni jambo...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wasomi na mikakati ya kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira Tanzania

    Tanzania ni miongoni mwa nchi za Kiafrika zinazokabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana wasomi wanaohitimu katika taasisi mbalimbali za elimu ya juu. Utafiti uliofanyika mwaka 2019 na Taasisi ya utafiti wa kupunguza umasikini (REPOA) ilionyesha takribani vijana milioni moja...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nani awezaye kutuhubutu hivi Tanzania?

    haya nisiwe na maneno mengi Mimi niliwekaga video ya mama samia akisema fanyaneni wakubwa kwa wakubwa muwaache watoto Nikapigwa ban karibia ya wiki2 na masiku yakushanto Haya sasa Gen Z hao wanasema Zakayo kashuka na anaenda kumuabdalia yesu mikate
  7. JamiiForums Tanzania Katika nchi za East Africa hakuna nchi inayopitia kipindi kigumu kama Tanzania. Yanayoendelea Kenya ni tabia tu.....

    Ugweee..nimekosa salam ya haraka kuwasabahi ndg zangu. Hawa Z Generation nchini Kenya ni muenendo na miendelezo ya tabia ya wananchi waliosomeshwa na serikali zao za nyuma...hapa namzungumzia Moi na wengine waliofanya vema. Kinachoendelea nchini Kenya ni sahihi na haki kabisa. Hapa Tanzania...
  8. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yetu baada ya miaka 5

    SEKTA YA ELIMU TANZANIA BAADA YA MIAKA KUMI. sekta ya elimu ni sekta muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo katika taifa sababu ndiosekta pekee ambayo inazalisha wataalamu mbalimbali ambao wanategemewa katika sekta zingine kama vile sekta ya afya,viwanda,habari n.k hivyo basi kutokana na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Catchment rainwater harvesting potential in semi-arid areas in Tanzania

    All life depends on water, which is also an essential resource for household, industrial, and agricultural use. The significance of efficient water management in semi-arid areas, where water scarcity is a recurring problem, cannot be emphasized. The mainstays of rural livelihoods, agriculture...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Eight(8) Secrets of Combating poverty among Tanzania youth's toward New Tanzania

    Poverty among youth's in Tanzania is very serious issues thereby inorder to ensure every youth in Tanzania become financially secure the following are 8 Secrets to concentrate as explaned by six points below 1. Education and Continuous Learning Education forms the foundation for personal...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 ijayoTanzania

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunahitaji Gen Z?

    Kwa mtazamo wangu Tanzania hatuhitaji hicho kizazi hata kidogo,,kwa wengine wanaona hiyo generation ni babu kubwa na kutamani nasi tungekuwa nayo Jirani zetu wakenya huenda wanastahili kuwa nayo kutokana na back ground yao,,kwa sababu ukabila ni sehemu ya maisha yao ya kila siku,hata siasa zao...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

    Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mikate bora zaidi Tanzania

    Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi zote za kuitwa mikate, kuanzia ladha, harufu, ujazo sahihi wa unga hadi ulaini.
  16. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Kidemokrasia unaonekana kufeli Tanzania

    Mifumo mitatu ya kiutawala watu wengi hawajui au hujitoa ufahamu kwa sababu tu wana AMRI ya kutiisha majeshi yanayowazunguka. Wakisahau kuwa hao wanajeshi wanao walinda sisi wananchi ni ndugu zao ni kaka zao baba zao na mama zao wajomba na shangazi. Wanajeshi, polisi na idara zote za ulinzi na...
  17. JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya sasa hata Tanzania yalishawahi kutokea, VIJANA 2000 SOMENI HII

    Kinachotokea Kenya sasa baadhi wa Watanzania wanawasifu raia wa Kenya Kuwa wameelimika zaidi kudai haki zao kuliko wa Tanzania. Wanaosema hivyo labda wamezaliwa miaka ya 1999 kuja 2000. Tanzania 🇹🇿 walifanya haya wanayofanya Kenya 🇰🇪 miaka 23 iliyopita . Yaani Mwaka 2001 Chama Cha Wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania What is the meaning of this dream?

    To any spiritual teacher/any person, please can you tell what's the meaning of this dream. I received this dream from Dm in my Twitter (X) account please help a brother "Hello brother G, i hope u doin gudie, can you pls find a person to give the meaning of this dream? I dreamt that i have a...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  20. JamiiForums Tanzania Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…