tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mteule au aliyechaguliwa na viongozi wengine wa taifa huwa wanaapishwa?

    Kuna mtu anayeweza kuelewa kwa nini viongozi wa kisiasa wa taifa hasa Rais huwa wanakula kiapo/ wanaapishwa baada ya kuteuliwa au kuchaguliwa? Pia msingi wa kutumia vitabu vya dini katika kula kiapo/kuapishwa kwao kwa taifa ambalo ni secular(lisilo la kidini) huwa ni nini?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nchini je, Watanzania tupo salama?

    Taifa la Tanzania ni Taifa la watu waungwana na watu wasio na makuu ni Taifa la wana Hewala kama napata mlo wangu wa siku mambo mengine hayaniusu. Ni taifa kama niliumizwa na wewe unaumizwa basi leo ni zamu yako mimi siwezi kuingilia ni taifa la aina yake. Leo napenda kuja na mada yenye...
  4. SirAlfred006

    JamiiForums Tanzania Nani anayemjua huyu?

    James Baldwin
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Taja kitu au jambo ambalo unaamini linafanyika Tanzania tu

    Kitu au jambo gani ukilisikia tu au kuliona unajua linafanyika Tanzania hakuna sehemu nyingine. Naanza na mimi Kuunga kifurushi cha wiki kikaisha ndani ya siku moja
  6. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Tunaomba watu wastaafu wakiwa 45 years (maisha ya nchi yetu ya Tanzania)

    Habarini wana Jf, Katika Nchi yetu ya Tanzania population inazidi kuwa kubwa hasa na takribani miaka 100 ijayo Tanzania inaweza kuwa kwenye top ten ya Nchi zenye population kubwa duniani kulingana na Takwimu, hivo kutokana na ukuaji wa population wasomi wanazidi kuwa wengi, shule zinakuwa...
  7. chakula cha watoto

    JamiiForums Tanzania Kili Paul ni nani hapa Tanzania mpaka anapata followers wote hawa?

    Huyu Masai Hana muda sana tangu aingie au kujiunga social media kama Instagram na TikTok ila followers wanazid Kwa Kasi ya 5G,na Hana hata miaka 4 . Diamond, Millard, Wema, Shilole na wengine hasipokuwa wabunifu anaenda kuwapita followers Kama upepo Je huyu ni nan? Ana mvuto gani mpaka aongoze...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kanisa jipya la Anglikana laanzishwa Tanzania, Kuzinduliwa Septemba 15

    Kanisa jipya la Anglikana lijulikanalo kama Episcopal Anglican Province Tanzania linatarajiwa kuzinduliwa Septemba 15 jijini Wilaya ya Kongwa jijini Dodoma. Kuzinduliwa kwa kanisa hilo kunatajwa kuwapa chaguo waumini wote wa Anglikana kuamua waabudu kanisa lipi kati ya hili jipya na lililopo...
  9. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania job announcement for the position of Reporting & Geo Market Executive at Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)

    Position Title: Reporting & Geo Market Executive Business Unit / Function: Revenue Planning Location: Dar es Salaam Department: Marketing Administrative Reporting to: Marketing Director Job Purpose: To manage Business Intelligence (BI) at the OPCO level and oversee the site rollout process from...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka za kimataifa haziwezi kuishinikiza serikali ya Tanzania kuwaachilia mateka au kuwapeleka mahakamani

    Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
  11. T

    JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania ya 4 Afrika kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA

    Kwenye repoti ya fedha ya Benki ya Dunia inayoishia June 2024 inaitaja Tanzania kama nchi ya 4 kwa nchi zenye madeni makubwa ya IDA. IDA ni taasisi iliyo chini ya benki ya Dunia ila wao wanajikita kwenye nchi 75 masikini zaidi Duniani ikiwemo Tanzania. Mikopo ya IDA hua ni nafuu sana na inalipwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya China na Tanzania ni kuimarisha reli ya TAZARA iliyopo (MGR) na sio kujenga nyingine kwa viwango vya SGR

    Hizi ndizo taarifa kutoka vyanzo nilivyovipata hadi sasa China signs deal to upgrade decades-old railway between Zambia and Tanzania na China to 'revitalise' ageing railway linking Zambia, Tanzania. The upgrade of the TAZARA railway by China will focus on improving the existing meter-gauge...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia!

    ... 👂 𝗠𝗠𝗘𝗦𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗛𝗨𝗞𝗢 ?😀 "Nayaona mafanikio ya Taifastars siku wachezaji wote wa JKT Tanzania watakapochaguliwa kuitumikia. Rejea ushauri wa Rais wa awamu ya tano" ©️ Masau Bwire. Afisa habari wa klabu ya JKT. Tom Cruz
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanariadha Rebecca Cheptegei aliyechomwa moto na mpenzi wake kutoka Kenya afariki dunia

    Mwanariadha wa Uganda, Rebecca Cheptegei, mwenye umri wa miaka 33, amefariki leo Alhamisi akipatiwa matibabu kutokana na majeraha mabaya baada ya kushambuliwa na mpenzi wake kwa kumwagiwa petroli na kuchomwa moto nyumbani kwake nchini Kenya. Katika tukio hilo la kikatili, Cheptegei aliungua...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  16. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: RwandaAir, Air Tanzania & Uganda Airlines Kuungana

    1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian). 2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania Serikali itumie Teknolojia mpya zinazoweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani nchi Tanzania,kuepuka matrafiki

    Serikali itumie teknolojia mpya ambazo zinaweza kusaidia kupunguza ajali za barabarani: 1. Kamera za Ufuatiliaji: Kamera za kisasa zinaweza kuwekwa kwenye barabara na magari ili kurekodi matukio na kusaidia katika kutambua wahusika wa ajali. 2. Sistimu za Kusaidia Kuendesha (ADAS): Teknolojia...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wazo: Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Tanzania kusini, Tanzania Kaskazini, Tanzania Magharibi na Tanzania Mashariki

    Wazo liko hivi; Tanzania iwe shirikisho la nchi nne. Nchi zigawike kwa kuzingatia kanda kuu 4. Kanda ya Kaskazini, kanda ya kusini, Kanda ya Magharibi na Kanda ya mashariki. Tunaweza kuzipa majina mapya au tukaziita majina kulingana na location zake. Tanzania kama shirikisho itakuwa na...
  19. Tembosa

    JamiiForums Tanzania FT: AFCON 2025 Qualification | Tanzania 0-0 Ethiopia | Benjamin Mkapa Stadium | 04-09-2024

    Kila la Heri Taifa Stars. WAPAPAMBANAJI WETU WA LEO.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ubelgiji zakubaliana maendeleo sekta ya nishati

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko na Waziri wa Nishati wa Ubelgiji, Tinne Van Straeten wamekubaliana kishirikiana katika sekta hiyo hususani matumizi ya nishati safi ya kupikia. Katika kikao cha viongozi hao kilichofanyika Windhoek, Namibia, viongozi hao walikubaliana...
Back
Top Bottom