tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Juma Kassim Kiroboto "Nature" na ngoma ya umoja wa Tanzania

    Juma Kassim Kiroboto, maarufu kama "Nature", "Kibla", "Sir Nature", "Msitu wa Vina", na "Jitu Mwitu", ni jina linalobaki mioyoni mwa wengi kama alama ya sanaa yenye ladha ya uswahili halisi. Kipaji chake kilichotiririka kwa ustadi na ubunifu wa kipekee kiliakisi maisha ya mitaani, yakiambatana...
  2. greater than

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafikiria kununua umeme kutoka Ethiopia

    Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji...
  3. smttz

    JamiiForums Tanzania NCHI YANGU TANZANIA

    Kama taifa tunaelekea....!!!! Kila kitu ni hovyo tu...ukisikiliza maneno yao unasema yes! Watu ndio hawa, ili ukweli ni hovyo hovyo
  4. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Je sisi Tanzania tuna Jeshi la Polisi au na sisi tuna GESTAPO kama ile ya Hitler wa Ujerumani?

    Yanayoendelea sasa hivi hapa nchini yamenifikirisha sana na kunikumbusha wakati wa ZCO ACP ya Abdallah Zombe. Baada ya uchunguzi wa Tume ya Jaji ikagundulika kuwa wale waliouwawa na polisi eti ni majambazi walikuwa wafanya biashara na walichukuliwa na Polisi, kufungwa vitambaa machoni kisha...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu Nchi Nzima: Watu Wote Wenye Akili Timamu Tanzania Wanaipenda CCM - Data Ninazo

    CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Pastor Munishi unaotuhumu CCM kupoteza wapinzani, hizi tuhuma hazikumuweka matatani?

    Hizi tuhuma haziwezi kumweka huyu mwimbaji matatani? Nyimbo zake zinaruhusiwa nchini?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni salama sana na tunapaswa kuvipongeza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na matukio machache yaliyojitokeza hapa katikati,lakini haiondoi ukweli kuwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi kubwa sana iliyotukuka ya kuhakikisha kuwa Taifa letu linaendelea kutamalaki kwa amani, Utulivu na usalama wa hali ya juu sana kuanzia...
  10. gammaparticles

    JamiiForums Tanzania Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Selemani Jafo: Naipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
  12. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Je ni kwanini Tanzania hairuhusu mgombea binafsi?

    Habari waungwana! Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe mwanachama kwanza kunamfanya kiongozi kuweka kwanza maslahi ya chama mbele kuliko mahitaji ya wananchi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi Katiba mpya wala Demokrasia

    Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi. Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
  14. conductor

    JamiiForums Tanzania SGR Tanzania

  15. K

    JamiiForums Tanzania Nishati safi ya kupikia: Wengi wanatamani kuanza kutumia gesi lakini hawawezi

    Tanzania inaweka juhudi kubwa kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambayo inalinda mazingira lakini pia afya ya wanawake na watoto ambao wanaathirika zaidi na matumizi ya nishati ambazo sio rafiki kwa mazingira na afya. Hapa naongelea mkaa, na kuni lakini hata hivyo kwa maeneo ya mijini...
  16. trojan92

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais kama Magufuli ona hapa machache yake

    Hayati Magufuli alikuwa anajiamini sana, ona hapa uthubutu wake 1. Kujenga viwanja vya ndege 2. Barabara zilizonyooka 3. Kupinga waziwazi sera za kibapari kama ushoga nk 4. Kujenga fly over ambazo hadi leo zimepunguza kwa kiasi kikubwa msongamano 5. Hospital za wilaya na mikoa aliziboresha...
  17. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Mapendekezo ya Mdahalo kwa Wagombea Urais Tanzania

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, ni muhimu kuimarisha mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania. Moja ya njia bora ya kufanya hivyo ni kwa kuandaa mdahalo wa wagombea urais kutoka vyama vyote vya siasa, ambao utawapa fursa wagombea kujieleza kwa uhuru bila kuwakilishwa na chama chao...
  18. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Hii siyo Tanzania tunayoihitaji

    Ndugu zangu wa Tanzania tumuombe Mungu aturejeshee Tanzania Yetu tuliyokuwa Mayo 1: Tanzania itakayothamini na kuheshimu utu wa watu wote 2: Tanzania itakayothamini na kuheshimu uhai wa watu 3: Tanzania isiyowazuia watu kuongea na kujadili Hali ya nchi Yao bila hofu ya watu kutekwa 4: Tanzania...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

    Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuuawa kwa Mzee Ali Kibao hakutafifisha jitihada za CHADEMA kuikomboa nchi

    Hili liwe angalizo kwa Watekaji na Wauaji na Viongozi wa Nchi ya Tanzania Wanaowatuma kuteka na kuua, Kwamba CHADEMA haitavunjika Moyo kutokana na Mauaji ya Mohamed Kibao, hizi mbinu za vitisho kwenye zama za sasa ni mbinu zilizopitwa na Wakati. Mzee Kibao alipokuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga...
Back
Top Bottom