Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Habarii ndugu zangu Watanzania??,
Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,,
UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
Hali hiyo hupelekea CCM madhubuti, kupata ushindi wa kishindo kwenye chaguzi zote huru, za haki na za wazi na kisha kushika dola, kuunda serikali, kuongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana.
CCM hutumia dhamana na fursa hiyo ya uongozi vizuri sana na kwa weledi mkubwa mno, kuwafanyia waTanzania...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Suleiman Kissoki amefariki usiku wa kuamkia leo Novemba 6, 2024 nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia taarifa hiyo, Katibu Mkuu wa Shiwata, Michael Kagondela alisema hadi jana jioni, marehemu alikuwa...
"Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa.
1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
Ijapokuwa Rais Samia atamtumia Rais Trump salamu za pongezi kinafiki, ushindi wa Trump ni mwiba mkali kwa serikali ya Tanzania na CCM.
Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM inapenda misaada na mikopo kutoka Marekani na nchi nyingine tajiri za dunia na kisha kuitumia misaada hiyo kwa manufaa ya...
Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024.
Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
Sasa ni rasmi, Balozi wa Marekani nchini Tanzania anaondoka. Hii ni baada ya ushindi wa kinbunga wa Donald Trump. Kwa taratibu, anaposhinda Rais wa chama tofauti, hubadili mabalozi wote dunia nzima na kuteua wa kwake.
Kwa mfano, chama cha balozi huyu kinaunga mkono ushoga, Trump anaupinga, kwa...
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na mboga. Ni aibu.
Lakini ni tofauti na vijana hawa, huwezi kuona kwenye video zao wakimsifia mtu. Hilo...
Wakuu habari yenu
Kuna jambo ameongea Waziri wa Elimu, Sayansi, na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitahadharisha kuhusu athari ya teknolojia katika tasnia ya habari nchini, akisema inaweza kusababisha kuibuka kwa watu wasio na ujuzi wa kitaaluma "makanjanja" wanaoeneza taarifa za propaganda...
Bukoba
Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Uganda kimeanza mkoani Kagera nchini Tanzania kujadili uiamarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo.
Kikao hicho kinachofanyika katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeanza leo tarehe 5 Novemba 2024 na kutaratarajiwa...
Kwa mtizamo wako, je unaona mfanano wowote kati ya hivyo vyama? Kwa mfano - kwa upande wa USA, Democratics wengi wanaishi mjini na wengi ni graduates wa vyuo.
Lakini pia demo wengi ni wahamiaji na kwa upande mwingine Replicans ni wazungu, na wengi ni wa vijijini na wengi hawana degree. Haya...
Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria,
Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia
misingi kwamba:
(a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai kwenda Dar es Salaam imebadilishwa kutokana na hitilafu ya kiufundi.
Kwa kuzingatia kipaumbele chetu cha...
Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa...
Kwa kusema ule ukweli Tanzania ina mipango mibovu na inakwenda kama mwendo Wa kinyonga
Tulizoea kuona kila wiki kupata taarifa za bwawa la umeme Rufiji lakini Siku hizi hatupati. Wanatusaulisha kusudi ili baadae walitelekeze.
Kuna kodi za mtanzania zimeteketea pale cha ajabu majitu yapo...
Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa.
Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita.
Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri.
Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa Tajiri namba moja Tanzania Kwa watu wa Umri wake Kwa hapa Tanzania, hapa tungeweza kuweka watoto wa...