tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa 'Bambo' ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania 🇹🇿

    Mwamba huyu apa Bambo ni muigizaji mkongwe sana nchini Tanzania na hajawai kupoteza ubora kwenye kazi yake huyu mwamba achia msemo wake mmoja hapo ♥️🌺🍀
  2. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kangaroo Cort, Hakuna kesi ambayo Serikali ina masilahi nayo unaweza shinda kwa Mahakama za Tanzania

    Kesi ambazo tunaweza shinda kwenye Mahakama yoyote ile Tanzania ni zile Individual ambazo Serikali haina masilahi nazo na wala hazina impact yoyote kkwa Serikali. Kesi yoyote ambayo ina negative impact kubwa kwa Serikali hii ni kujisumbua nayo kwenye mahakama za Tanzania make ni ile Rostam...
  3. Powder

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi kwenu Tigo Tanzania

    Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile! Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao. Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kongamano la kibiashara Urusi na Tanzania jijini Dar es Salaam 2024

    Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0 DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania zina uwezo wa kuongeza maradufu biashara zao. Na wafanyabiashara wa Urusi waonyesha nia ya kuwekeza...
  5. mngony

    JamiiForums Tanzania Ni nani Salma Madai, Mtaalamu wa IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

    Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae. Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMA

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe. Balozi Yakubu alimueleza Mtendaji Mkuu Bwana Ahamada kuhusu hatua kubwa ambazo Tanzania imepiga katika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Vituo vya Kuvuna Maji ya Bahari ya Hindi na Ziwa Victoria Kama Njia ya Kutatua Tatizo la Maji Tanzania

    Na N'yadikwa - Safarini Rwanda Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu. Tatizo hili linahitaji mbinu bunifu na za kisasa ili kulitatua kwa ufanisi. Mojawapo ya mbinu zinazoweza kusaidia ni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  10. Don Dacxh

    JamiiForums Tanzania Ushindani Mdogo, Faida Kubwa: Mwongozo wa Biashara kwa Wenye Mtaji Tanzania!

    Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma. Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini hilo linahusu sekta zote. Swali muhimu ni, umejiandaa vipi kushindana na wale walioanza mapema? Ni...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumelipa awamu ya pili ya tuzo ya International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID)

  12. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafumbia macho suala ushoga, mwisho wake hautokua mzuri

    Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram. Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baraza la Uuguzi na Ukunga halijatoa matokeo ya Uandikishaji na Leseni zaidi ya miezi miwili

    Baraza Liliendesha mthiani ya uandikishaji na leseni ya UUGUZI NA UKUNGA kwa NGAZI ya Cheti, Diploma na Degree ya kwanza tarehe 23 august/2024 lakini mpaka muda huu ni zaidi ya MIEZI miwili na wiki moja. Baraza halijatoa matokeo na taarifa lini yatakuwa tayari au kubainisha ni nini changamoto...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC dhidi ya JKT Tanzania yaahirisha

    Bodi ya Ligi imeahirisha mechi kati ya Simba SC na JKT Tanzania kufuatia ajali iliyolikumba kikosi cha JKT Tanzania. Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa 1:00 asubuhi baada ya basi lililowabeba wachezaji na wafanyakazi wa JKT Tanzania kuacha njia na kuanguka mtaroni, na kusababisha majeraha...
  15. Trekta Bora

    JamiiForums Tanzania Trekta ya aina gani ni bora kwa mazingira ya Tanzania?

    Ndugu mwana JF! Kwa wenye uzoefu na matrekta, unahisi trekta gani limeonesha usanifu shambani(ulaji mzuri wa mafuta>upatikanaji wa vipuli>kudumu kwa chombo husika) katika ardhi ya Tanzania!?
  16. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Law school of Tanzania imekua ya ovyo au imeingiliwa na siasa

    Law school of tanzania imeingiliwa na siasa , Nme sikitishwa na sheria mpya walizo pitisha hawa watu ●kwamba mtu alie kaa kazini kwa zaidi ya miaka 10 akiwa kama legal officer au ana LLB basi anaweza kuomba exemption kwa chief justice na kutunukiwa uwakili bila kupita law school, hili hali...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la Mafuta la Tanzania na Uganda wakumbwa na changamoto za Kifedha

    Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa ushirikiano na kampuni za kimataifa TotalEnergies na China National Offshore Oil Corporation (CNOOC)...
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Tanzania, nchi yenye utajiri wa rasilimali na tamaduni mbalimbali, inazidi kujiandaa kwa mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii. Moja ya malengo makuu ni kuwezesha wanawake kushika nafasi za juu katika uongozi, hususan katika nafasi ya Sheheh Mkuu. Hili ni jambo ambalo limekuwa likijadiliwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Miriam Mauki: Hakuna mwimbaji wa Injili anaye lipwa kama Rose Muhando

    Mwanamuziki na mratibu wa matamasha, Miriam Mauki amesema hakuna mwimbaji anayelipwa kama Rose Muhando katika tasnia ya muziki wa injili Tanzania lipokuja suala la kufanya matamasha. Soma Pia: Show ya Mtoko wa pasaka ya WASAFI MEDIA Roze Muhando simsikii kwenye promo Video: Wasafi Sunday Worship
  20. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kuruta 131 wafukuzwa shule ya polisi Tanzania kwa utovu wa nidhamu

    Vijana 131 kati ya vijana 3,698 waliokuwa kwenye mafunzo ya awali ya askari polisi kwenye shule ya polisi Tanzania zamani ikiitwa CCP ,wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kufukuzwa shuleni hapo kutokana na makosa mbalimbali ikiwamo ya utovu wa nidhamu. Hayo yamo kwenye Taarifa ya mkuu wa...
Back
Top Bottom