tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Na lini Mtanzania akawa mkarimu?

    Niambie lini Tanzania ilikuwa kisiwa cha Amani? Tunadanganyana tu awamu zote zilizopita kulikuwa na mjuaji,kuwekwa vizuizini na mauaji tunadanganyana tu ila kwasasa kwasababu vyombo vya habari ni vingi kwahiyo tunapata kwa haraka sana hii ilikuwa au imekuwa kisiwa cha mauaji tokea hapo soma...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye huduma bora za Polisi, Tanzania haipo

    Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Mishahara hii minono kwa Wachezaji hawa wa Kigeni Tanzania, Je, Wanavitendea haki Vilabu vyao?

    Wakuu Hivi viwango vya mishahara kwa hawa wachezaji Wakigeni, wanavitendea haki vilabu vyao? == Kwa mujibu wa TurpaSports, hawa ndio wachezaji wa Kigeni wanaolipwa mishahara mikubwa zaidi Ligi Kuu Tanzania mwaka 2024, na viwango hivi ni kwa mwezi; Jhonier Blanco (Azam FC) – TSh. Milioni...
  7. JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

    Wakuu, Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka. Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo. List hiyo imetolewa na Cornel University...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasili UAE kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya uhusiano kati ya Tanzania na UAE

    WAZIRI KOMBO AWASILI UAE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA UAE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasili katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhusiano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Dr. Ndugulile, kwa sasa Tanzania tusahau kabisa kuupata tena ukuu wa WHO ukanda wa Afrika, haiwezekani!

    Ushabiki, ujinga na uchawa umejaa miongoni mwa watanzania wengi huku tukidhani dunia inakwenda kwa style hiyo. Kelele za watu kuanza kupendekeza majina ya watanzania wanaofaa kwenda kugombea tena huko WHO baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile zimeshika kasi, na serikali nayo ikaja na kauli...
  11. JamiiForums Tanzania Naiomba sana Tanzania Impeleke Dkt. Gwajima D pale WHO -Africa

    Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex . Mimi ni Pro- Qualifications. Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa. Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka lini utekaji, utesaji na mauaji Nchini Tanzania?

    Ndugu zangu Watanzania, kila mmoja wetu ameshuhudia wimbi kubwa la utekaji, utesaji na mauaji hapa Nchini hasa kabla na wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Mimi niwaombe wanaotekeleza mambo haya, waangalie zaidi UBINADAMU na UTANZANIA wetu. Tofauti ya vyama vyetu isiwe sababu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tanzania itakuwa ni moja kati ya Nchi 5 Duniani zenye Reli ya Kisasa ndefu zaidi

    ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli...
  14. JamiiForums Tanzania Thread: Mechi za timu zisizo maarufu Ligi Kuu Tanzania

    Nimeona Kuna umuhimu wa kuwa na bandiko Mahsusi mwa mechi zitakazochezwa na timu zisizo maarufu kwenye Ligi ya Tanzania. Hiyo imetokana na kuwa kama Simba au Yanga hawachezi habari za mechi za timu nyingine haziandikwi humu. Tuanze na leo ambapo kulikuwa na mechi kati ya Coastal Union ya Tanga...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ukatenganishwa na Uchaguzi Mkuu?

    Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama tunavyoshuhudia katika chaguzi mbalimbali. Baada ya mchakato huo, viongozi na vyombo vya dola hujiona wamemaliza...
  16. JamiiForums Tanzania ATCL sasa kutumia Masaa Matatu kutoka Dar hadi Afrika Kusini, ni baada ya kurejesha safari zake

    Shirika la Ndege nchini ATCL, limetangaza kurejesha safari za ndege zake kwenda nchini Afrika ya Kusini baada ya kusimama kwa muda Akizungumza wakati wa uzinduzi wa safari hiyo Leo Novemba 30, Waziri wa Uchukuzi Professa Makame Mbarawa amesema “kuimarika kwa diplomasia ya uchumi umerahisisha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Uingereza ipigwe marufuku kuonyeshwa hapa Tanzania . Ni kwa kusapoti ushoga

    Tuige mfano wa Donald Trump. Amepiga biashara ya ushoga kufundishwa mashuleni kwa kuwapa sapoti Mashoga. Huu ni upuuuzi
  18. P

    JamiiForums Tanzania The beauty of Democracy in Tanzania

    Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa, Kwa jina naitwa ProMagufuli. Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema. Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea yaliyotokea. Umefanyika uporaji mkubwa wa demokrasia. Sasa kama wanajamii forum ni nini kifanyike ili kuweza...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mipango ya majiji Tanzania

    Habari wakuu, Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama tuko katika banda la wanyama. Hakuna mpangilio wala hakuna kiongozi yeyote anaezungumzia hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…