tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
  2. S

    Tetesi: Tanzania ikichukua mkopo, asilimia fulani lazima iende Zanzibar kama serikali inayojitegemea; lakini katika kulipa deni la Taifa, Zanzibar haihusiki?

    Kuna kitu hapa nimeelezwa kama ujanja fulani unaofanyika ambao kama ni kweli basi Tanzania bara tuna kila sababu ya kupiga kelele. Nimeambiwa hii mikopo mingi tunayomshangilia mama, kimsingi ni kwa ajili ya kuwainua Zanzibar. Inasemwa kila mkopo unaochukuliwa na Tanzania, Zanzibar lazima...
  3. M

    MUFTI umeongea sana kuhusu Amani nchini lakini Bila kuzungumzia Haki usia wako unapwelea

    Ndugu Mufti Zubeir Kwa muda mrefu umezungumzia sana suala la amani nchini lakini huwa huzungumzii Haki, Pamoja na ujumbe wako wa amani hata hivyo kutokuzungumzia haki kunaufanya ujumbe wako upwelee. Dini ya Kiislamu inataka amani lakini inakataza dhulma. Mafundisho ya kiislamu yanasema kuwa...
  4. Vita ya Kibiashara kati ya Marekani na Uchina na Athari Zake kwa Tanzania na Afrika

    SOMA: Markets mixed as investors brace for Trump tariffs Vita ya kibiashara kati ya Marekani na Uchina imekuwa gumzo kubwa kwenye anga za uchumi wa kimataifa tangu mwaka 2018. Rais wa wakati huo wa Marekani, Donald Trump, alianza kuweka ushuru mkubwa kwa bidhaa zinazotoka Uchina, hatua...
  5. UMATI - Tanzania, msipojipanga ,kubana matumizi, mradi wa afya ya uzazi, unakufa asubuhi na mapema, kufuatia kujiondoa kwa Marekani WHO!

    Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi. Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
  6. K

    Tanzania hata wabunge na viongozi walalamishi! Sasa tunaenda wapi?

    Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
  7. Deni la Taifa ni deni la Tanzania sio Zanzibar!.

    .. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania, Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
  8. Sheria ya uvutaji sigara hadharani Tanzania kwanini imepuuzwa?

    Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu Tuende kwenye mada Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi. Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani...
  9. Y

    David Kafulila: Deni la Tanzania ukilinganisha na Mataifa mengine ya bara la Africa ni nafuu

    == Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi. Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
  10. Sijui ni tabia Ya Kiafrika Sijui ni Tanzania pekee?

    Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu.. Watu wanaweza. Wakupe mchango wa Harusi Birthday party Rambi Rambi Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoje🤣
  11. M

    Hazina za Mjerumani zinazopatikana nchini

    Habari zenu, Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu. Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza, lakini inarepotiwa kuwa wageni wazungu kwa nyakati tofauti wamekuwa wakija na kuchukua hizo hazina na...
  12. M

    Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  13. Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme

    Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
  14. Muimba Qaswida Tanzania aalikwa tamashani Idd Mosi Burundi

    MUIMBAJI Qaswida Afrika Mashariki na Kati, Abdulhamid Fannan amealikwa kushiriki tamasha kubwa la nyimbo linalotarajia kufanyika Idd Mosi kwenye ukumbi wa Markaz uliopo Bujumbura, Burundi. Akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, Fannan alisema amealikwa kushiriki tamasha hilo ambalo ni la aina...
  15. T

    Wachumi wa Tanzania: Inakuwaje awamu za nyuma zimekopa 60Tril, ila ya sita 30Tril?

    Jamani povu sitaki ila naomba msaada wenu wachumi hivi ni kweli awamo ya sita serikali imelamba mkopo wa 30 Trilioni while other awamu walikopa 60 Trilioni wastan wa 12 Trilioni kwa kila awamu yaani kila awamu ilikopa 12 Trilioni Sasa inakuwaje awamu ya sita wapige 30 Trilion na hakuna wakuhoji...
  16. Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali...
  17. Inakuwaje wageni wanaipenda Tanzania kuliko wazawa?

    Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa. Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka. Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka...
  18. Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP

    Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
  19. Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  20. Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri Kombo akutana na Waziri wa Ulinzi Dkt Tax

    Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…