tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?

    Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea. Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  3. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
  5. I X 01

    JamiiForums Tanzania Ajira za Dangote cement

    Habarini za asubuhi wakuu, mimi niko na swali kuna hizi ajira zinatangazwa na kampuni ya Dangote kila siku tunaomba ila hatupati ata majibu kuna mwanazuoni alishawahi pata hizi ajira au ata kuitwa interview atupe abc za kuomba hizi kazi tufanikiwe wote jamani😄
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ni bora kununua gari yenye kilometa 200,000 kutoka Japan kuliko kununua gari yenye kilometa 50,000 Tanzania

    Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa biashara yoyote ndio maana kwa kulijua hilo, wenzetu wa nje hawarudishi nyuma kilometa ambazo zinasoma...
  7. Mtaalamuwenu

    JamiiForums Tanzania Mikoa mipya Tanzania

    Wataalamu wa kuijua nchi yetu ya Tanzania ni mkoa mpya upi kati ya ifuatayo ambao uko vizuri kimaendeleo au kiuchumi? 1. Simiyu 2. Geita 3. Songwe 4. Manyara 5. Katavi 6. Njombe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kijana ningehama Tanzania kabisa

    Nimekuwa nikifanya biashara kwa miaka sasa , Nina deal tu na mchele nauzia hapo zambia, nadeal na kiazi mviringo kinaenda hapo Kenya , na deal na biashara zangu tu za usifirishaji . Moja ya jambo ambalo na regret ni kutohamisha shughuli zangu za utafutaji kwenda nchi nyingine za Afrika na...
  9. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Mwanajeshi Aliyelelewa na Tanzania, Shujaa wa Ukombozi wa Afrika

    Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika. Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa umoja wa madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) watoa kero zao, waomba mazingira rafiki ya kazi

    Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) Waomba Mazingira Rafiki ya Kazi Viongozi wa Umoja wa Madereva wa Mabasi Tanzania (UWAMATA) wameiomba Serikali kuwawekea mazingira rafiki ya kufanya kazi zao ili kudumisha amani na kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kupitia sekta ya...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano

    Tanzania na Afrika Kusini kukuza wigo wa Ushirikiano Tanzania na Afrika Kusini zinatazamia kukuza wigo wa ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati kwa manufaa wananchi wa pande zote mbili. 
Hayo yanesemwa katika kikao kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  12. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tanzania eVisa website kuna changamoto gani?

    Kuna wageni wanalalamika kuwa zaidi ya wiki sasa kila wakijaribu kuomba e-visa wanakuta website ipo down; wahusika tunaomba mcheki tafadhali Mwingine kaandika hivi "May I please ask for your help on who we can email or call to check on the evisa portal? We are trying to access the website but...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Elimu Tanzania: Adhabu ya viboko iondolewe shuleni

    Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa adhabu ngingine zenye kuongeza stadi za maisha kwa mwanafunzi. Soma: Simiyu: Mwanafunzi adaiwa...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakay

    Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

    Matukio mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Media Council of Tanzania (MCT) - Senior Programme Officer

    Background The Media Council of Tanzania (MCT) is an independent, voluntary and self-regulatory body with the objective of promoting freedom of the media and ensuring the highest professional standards and media accountability in the United Republic of Tanzania. MCT implements its four-year...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na EU kuendelea kushirikiana kuimarisha amani na usalama Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungmzo yao Viongozi...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Ajabu ni ipi Tanzania yenye ziada ya umeme kununua umeme?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila hivi ndivyo alivyoandika baada ya baadhi ya Watanzania kushangaa kauli ya Rais Samia Suluhu kuhusu Tanzània kununua Umeme nje ya nchi, Ethiopia. Mkurugenzi Kafulila anasema pamoja na kwamba...
Back
Top Bottom