Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Labda hawa watoto wa 2000 ndiyo hawajui ila embu tuwape darsa kidogo kuhusu historia iliyotukuka na isiyoweza kufutwa na yeyote ya kuingiza na kukuza ustaarabu katika mpira wa Tanzania.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa jezi nchi hii.
Simba ndiyo ilikuwa timu ya kwanza kuvaa viatu vya...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo mbioni kuanza mchakato wa kuchora ramani mpya ili kuendana na mabadiliko yaliyojitokeza.
Pia, Soma: Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70
Rais Samia amesema mara ya mwisho ramani ya Tanzania ilichorwa mwaka 1978 huku vitu...
Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo
Uwepo wa gesi asilia
Uwepo wa makaa ya mate
Uwepo wa upepo singida na same
Uwepo wa jua (solar power)
Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
Msomi anapata Fursa ya kwenda kuwa muuguzi Dubai au uingereza lakini kwenye suala la kupata passport na nyaraka nyinginezo inakuwa ni kipengele, ukiritimba na udwanzi umejaa sana kwenye ofisini za uhamiaji, kuliko kumshusha hadhi msomi mwenye shahada serikali ingeweka mazingira rafiki watu...
Kitaalamu serikali huwa Ina njia zake za kukwepa hoja na kujisafisha.
Hivyo kila utawala huwa unakuaga na kiongozi anayetupiwa takataka ili azibebe na kuwaltea wananchi.
Rais alipofariki - hii taarifa alipewa Majariwa.
Vijana kukosa ajira -hii pia kapewa majaliwa.
Korosho za mtwara -hii pia...
Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu.
Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya?
Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana.
Mwanasheria anaonekana kama dalali tu.
Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria.
Marekani pekee kati ya marais 44 waliokuwa nao, 27 waliwahi kuwa wanasheria.
Taifa lenye uchumi mkubwa na...
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Na Elia Wilinasi Sikanyika
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan,
Kwa heshima, taadhima, na unyenyekevu mkubwa, ninakutakia afya njema, hekima, na mafanikio katika kuiongoza nchi yetu...
Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.
Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ?
Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini.
Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
Jana niliongea na rafiki yangu akasema Zanzibar kupo poa sana, vitu bei rahisi na watu huko wana roho safi kuliko wa hapa Dar es salaam.
Sasa tuambizane, je ni kweli Dar kuna fitina sana kuliko kwingine Tanzania? Toa maoni yako humu
Pia soma Kufanyia mtu roho mbaya huumiza hata wasiokuwa na...
Tanzania na Ireland zimeazimia kuimarisha ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo na uchumi ili kukuza uhusiano wa kidiplomasia, biashara, na uwekezaji kati ya Nchi hizo mbili.
Makubaliano hayo yamefikiwa wakati wa mazungumzo rasmi kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo waliokuwa wamezuiwa kuingia nchini Angola wamerejea Tanzania usiku wa Machi 14, 2025, saa 9:40.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Idara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa ACT Wazalendo leo Machi 14, 2025, Mwanaisha Mndeme, viongozi...
Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema.
Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na kutuuzia vyombo vya jikoni?
Mheshimiwa Rais inamaana hakuna raia wako wanaomudu hizi kazi mpaka...
Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Naamini hapa Tanzania kuna Teknolojia zenye uhitaji zinazoweza kuletwa na vijana wabunifu na kutengeneza mabilionea.
Unahisi ni teknolojia aina gani ikiletwa Tanzania mazingira yanaruhusu, miunombinu ipo na uhitaji upo yenye kumfanya kijana awe bilionea ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.