tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    Top 5 websites za kutafuta kazi Tanzania

    TOP 5 WEBSITES ZA KUTAFUTA KAZI TANZANIA 🇹🇿 Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni website gani nitumie kutuma maombi yangu. Changamoto kubwa ninayoiona kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania ni matangazo mengi sana (too...
  2. C

    Didier Drogba kurudi tena tanzania siku ya October 16

    Wizara ya habari sanaa na utamaduni imetangaza tena kurejea kwa nyota na nguli wa mchezo duniani didier drogba tanzania Katika poster ambayo imechapishwa katika wizara ya habari , sanaa na utamaduni wa wamechapisha kuwa ni maandilizi kuelekea afcon Ikumbukwe kuwa hii si mara ya kwanza kwa...
  3. Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  4. TANZANIA YATANGAZA UTALII NCHINI MAREKANI

    http://www.instagram.com/reels/DehDjiHCUFW/?hl=en
  5. Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  6. Kama jukumu la Jumuia ya Africa mashariki ni kulinda ustawi wa nchi wanachama hakuna haja ya kufichiana waharifu Kenya rudisheni Tanzania hao waharifu

    Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA? ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
  7. Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
  8. Tanzania na Saudi Arabia zasaini Mkataba wa ushirikiano Sekta ya Nishati

    Tanzania na Saudi Arabia zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) inayolenga kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati. Makubaliano hayo yanafungua nafasi zaidi za ushirikiano katika uwekezaji, maendeleo ya miradi ya nishati na kubadilishana uzoefu wa kitaalamu, hatua inayolenga kuimarisha...
  9. Hii Ndio Mikoa 10 Tajiri na Maskini wa kipato Tanzania kwa mwaka 2025

    Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS ,imeonesha wastani wa kipato Cha mtu mmja mmja kitaifa ni Shilingi Milioni 3,544,000 Kwa mwaka sawa na Dola $ 1,390 lakini Kuna Mikoa ambayo Iko juu ya huo wastani wa kitaifa na Mikoa ambayo Iko chini ya wastani wa kitaifa au fukara zaidi. Mikoa yenye watu walio...
  10. Mange Kimambi kuja na Podcast yake ya siasa kacheza kama Pele.

    Huyu dada ana akili kubwa sana ya kuwashughulisha watawala. Huu mpango wake wa kuja na Podcast ya siasa ni mapinduzi makubwa sana ukizingatia hakuna Podcast yoyote ya kisiasa ya Kitanzania mpaka sasa.
  11. Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  12. A

    KERO Mawakala Wakuu wa HALOPESA Tanzania tunanyanyaswa, hatujalipwa kamisheni zetu

    Habari, naitwa Fadhili, ninaishi Dar es Salaam na ni Wakala Mkuu wa HALOPESA, Tawi la Temeke. Mawakala Wakuu wa HALOPESA hadi leo hatujalipwa stahiki zetu za kamisheni za mwezi Septemba. Kuna bosi mpya wa HALOPESA aliyeanza kazi mwaka huu 2026, anaitwa NGHIEM ANH THONG, raia wa Vietnam. Tangu...
  13. Tanzania Yashika Namba 12 Kwa Uchumi Mkubwa Afrika.Itatuchukua Zaidi ya Miaka 20 Ijayo Kuifikia Kenya Endapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Haitabadilika

    Licha ya Tanzania kupiga hatua nzuri ya ukuaji wa Uchumi katika miaka ya karibuni lakini Bado safari ya lengo la kuwa Kiongozi wa Uchumi mkubwa hapa Afrika kama dira 2050 inavyotaka. Mathalani kama tukiendekea na ukuaji wa Uchumi wa Sasa (GDP growth rate) itatuchukua zaidi ya miaka 20 kuifikia...
  14. Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  15. M

    Toyota Rav4 miss Tanzania

    Naomba kujua ABC Kuhusu hii gari hasa mafuta ,spew,na changamoto zake genuine nin zipi?? Na namna ya kuzishulikia magaba og Magari Aina Zote Magari damu
  16. Mhe. Mmuya aongoza ujumbe wa Tanzania katika kongamano la usimamizi wa maafa nchini Msumbiji

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Kaspar Mmuya akimwakilisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Kongamano la Usimamizi wa Maafa kuhusu Kupunguza Hatari za Maafa na...
  17. Kenya’s inflation rate is now 6.6%, while Tanzania continues to thrive at 4.3%

    These two East African nations face similar economic challenges from rising global oil prices, but their financial situations are diverging. In Kenya, transport costs have risen 15.7% and commercial loan rates average 14.39%. Tanzania entered the period with 4.3% inflation, a central bank...
  18. Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
  19. Tanzania Yaeleza Mafanikio Ya Kiuchumi, Ushirikiano Na Taasisi Za Kimataifa

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha. Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…