Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani.
Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote.
Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
Ukianzia Elimu
Kilimo
Afya
Sekta ya usafirishaji
Katiba na sheria
Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k
Inamfanya asifanye mtihani
Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani
Kilimo
Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa
Afya
Bima kwa...
Kuna watu wakishaona Tanzania imeanza kujijenga kiuchumi basi nao wanaanzisha program za kula ili mradi watu wasipate ajira, MIRADI ya maendeleo isiwepo, watumishi wasiongezewe mishahara, ili wapate hoja ya kulalamikia.
Nadhani kwa mtu anayejua athari za wale panyaroad wa chadema hawezi...
Katika kipindi kisichozidi wiki mbili, Tanzania imeshuhudia ongezeko la watu wanaofikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Miongoni mwao ni mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), viongozi wa CHADEMA Students' Organization (CHASO), pamoja na makundi ya watuhumiwa zaidi ya 20...
Naona serikali ina hamu ya ugaidi
Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya
Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi
Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi
Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi
Hii sio nzuri polisi tendeni haki
Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga...
Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa.
Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic.
Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya out politics kuwa tuna vilaza kuanzia sheria,wataalamu wa serikali idara zote.
Kuna jambo...
Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana.
Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa...
July 23, 2026
A deeply concerning and historically familiar pattern of legal weaponization is currently unfolding in Tanzania. Newly filed court documents from the Resident Magistrate Court of Mwanza reveal that the state is once again utilizing the Prevention of Terrorism Act and the Economic...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea.
Katika kuonesha...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama, maendeleo na uchumi endelevu wa mataifa hayo.
Dkt. Nyansaho amesema hayo tarehe 21 Julai, 2026...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana.
Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
Kuna filosofia kayika mahusiano ya wanadamu inayosema "ikibidi ua ili uokoe". Hii ni filosofia ambayo katika mazingira fulani inaonekana ni muhimu ili kulinda haki za mwanadamu, lakini pia inatumika sana na watu katika matakwa yao binafsi. Filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika mara...
Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa tusitegemee kupata misaada ya maana kutoka Uingereza na Jumuiya ya madola. Hata wao kumbe wanajua kuwa...
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu.
Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta.
Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...
Anonymous
Thread
bei
harufu
mafuta
tanzania
uagizaji
upendeleo
upigaji
Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao.
Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.