tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

    Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki. Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  4. JamiiForums Tanzania Ni zipi hasa sababu za kwanini Tundu Lissu haaminiki ndani ya CHADEMA na katika siasa za Tanzania?

    Ni kwasababu hana misimamo wenye tija kwa wanachadema, hawezi kujitegemea katika kujikimu, hana pesa za kampeni kuelekea uchaguzi, hana sera na wala hana malengo na mipango mikakati ya kisiasa inayowashawishi na kuwavutia wananchi wengi zaidi kumuunga mkono? Halafu my friends, ladies and...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naupenda muungano, lakini mambo yaliyotokea chini ya uongozi wa Rais Samia ndio yamenifanya nione ni muhimu sana Rais wa Tanzania atoke huku bara

    Katika thread zangu, kuna watu wanahisi kwamba labda nawachukia CCM, au labda nina ubaguzi dhidi ya Zanzibar. Majibu yote ni hapana. Kinachofanya nionekane kama niko upande wa Lisu ni suala kwamba nauona uchaguzi ujao kama referendum ya kuwa na Raisi wa Tanzania kutoka bara au Zanzibar. Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kwa wastani kila mwaka wanakufa wabunge wawili

    Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka. Halu ni hiyo hiyo kila bunge Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
  8. JamiiForums Tanzania Yupo wapi James Mbatia ukimya wake unaleta sintofahamu

    Kwa sisi tunaomjua mbatia ni mwanasiasa Nguli na anapenda sana haki, mbona yupo kimya sana na haonekani kwenye media. Tulitarajia hili suala la Bandari na bajeti ya kipumbavu iliyopitishwa bungeni na wasiojitambua angekuwa kawapa vidonge vyao ila no any information about him Je, yu Wapi Mbatia...
  9. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania jifunzeni kustaafu, bongo mziki bado sio biashara ya kudumu

    Salaam! Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Bibi Moza Hamid na Mume wake Professa Saleh Idrisa wakati alipowatembelea kuwajuilia hali nyumbani kwao Maisara Zanzibar tarehe 03 April 2025.
  11. K

    JamiiForums Tanzania 2023 Tanzania iliwapa Blue Carbon ya UAE 8% ya TZ !-Carbon credits

    Carbon credits are sold by governments to businesses, and can be resold on the regulated carbon credit market. Carbon offsets are sold on the voluntary carbon credit market by organizations, projects, or individuals to fund their green projects. Sheikh Ahmed Dalmook al-Maktoum, chairman of...
  12. JamiiForums Tanzania Imefikia hatua ripoti ya CAG inatoka wala hata wananchi hawashtuki. Nchi yetu inaelekea wapi?

    Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali haichukui hatua yoyote zaidi ya kuangalia upande wao. 1. UJENZI WA SGR. wamewekeza siasa sana kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike na sisi Tanzania tuwe na viwanda vingi vya nguo

    Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Apps and Girls na Yas Tanzania Waadhimisha Mahafali ya Wahitimu wa Jovia 2025

    Meneja Mahusiano ya Nje wa Yas, Bi. Rukia Mtingwa (wa tatu kushoto), akikabidhi cheti cha kuhitimu programu ya Jovia kwa Bi. Martha Chomola. Programu hiyo inayoratibiwa na Taasisi ya Apps and Girls kwa udhamini wa Yas, inatoa mafunzo kwa mabinti katika nyanja ya teknolojia. Hafla hiyo imefanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania weaponising the law against critics

    1. In no man's land 2. The sins of the founding fathers 3. A prison's underbelly 4. Condemned by president paranoia 5. Weaponising the law against critics 6. Hungry scheming courtier 7. A scandal that spanned Three reigns 8. Gate way to opportunity 9. Paving the path to jiwe presidency 10. The...
  16. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata CV ya Dr. Sheikh Abubakar Zubeir Sheikh Mkuu wa Tanzania?

    MSAADA wenu Tafadhali. Nahitaji kujua historia yake, malezi na makuzi, elimu, ujuzi na KAZI NA mambo mengi mengineyo. Asante sana
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania uzalendo ni sifuri

    Umewahi kununua Bendera ya Tanzania kuweka ghetto au kwenye gari? Umewahi kufanya maandamani ya amani ya kumbukizi ya uhuru ukiwa na shati hata ya Tanzania? Wimbo wa taifa mara ya mwisho kuuimba ilikua lini? Sherehe za kimkoa za uzalendo, nje ya zile za chama lini umewahi kushiriki? Je...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya hasara Tanzania huku uwajibikaji ukiendelea kuwa ndoto ya mchana

    Ni miaka mitatu ya hasara kwa mashirika makubwa ya umma, ndivyo unavyoweza kueleza. Hasara hizo zimetajwa katika ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22, 2022/23, 2023/24 matawalia zikigusa mashirika ya Reli Tanzania (TRC), Kampuni ya Ndege Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

    Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi. Kaeni karibu na simu zenu. Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Vijana Botswana (Pichani)

    Wafahamu mawaziri Vijana nchini Botswana. Bado tunatafuta mchawi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…