tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi mkuu wa Tanzania hauwezi kuahirishwa wala kuzuiwa na na kelele au mayowe ya vibaka na matapeli wa kisiasa nchini

    Uchaguzi wa Tanzania, ni uchaguzi unaofanyika kikatiba kila baada ya miaka mitano. Ni uchaguzi ambao haufanyiki kutokana na maoni au mapendekezo ya serikali, chama cha siasa, asasi ya kiraia, taasisi ya dini, kabila wala shinikizo la kundi lolote la watu kutoka ndani au nje ya nchi, bali ni...
  2. vnn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sote tunapenda mabadiliko, lakini twende mbele turudu nyuma, Kwa Tanzania Kuzuia uchaguzi Haiwezekani

    Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki! Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje? Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
  3. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kama una kitambulisho cha NIDA na huna Passport ya Tanzania jua wewe ni mkaazi (Resident) wa Tanzania ila sio raia (Nationalist) wa Tanzania

    Wakati naahangaikia Passport ndio nimejua kuwa ukiwa na NIDA tu haitoshi kuwa raia wa Tanzania mpaka uwe na Passport ya Tanzania. Tafuteni passport aisee tunakosa mambo mengi sana yenye fursa.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mama Tanzania! Nduguzo wa wapi?

    Wewe ni nani? Ni Nini Mama Tanzania We ni wapi ni yupi Maji na bahari,maji baridi Kwenu ni wapi asili ni ipi Iwe karibu nyumbani Kilimanjaro,Dunia juu zaidi Watoto wako ni wapi Wavivu? Walegevu? Wenye fikra?wasubirivu? Mbaya wako ni yupi? Kwa Baba mtoto hukua? Wanaume.ni wapi? Ushajaa ni upi...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Iliyokuwa Tanzania ya Kuheshimika na Mfano bora kwa Nchi nyingi za Afrika ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere leo ndiyo imefikia hapa?

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mtwara Chini ya Mwenyekiti Ndugu Abuu Athumani Yusuphu Katika mwendelezo wa kampeni yao ya “AMKA TWENDE NA SAMIA 2025" wamefanya tambiko maalum kwa kushirikiana na wazee wa kimila wa mkoa huo, kumuombea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

    Yafuatayo ni majibu kwanini chargi za simu za aina tofauti-tofauti hazitengenezwi Tanzania majibu yapo kwenye video
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  9. chaja2

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu aina hii ya baiskeli hapa tanzania

    Habari za muda huu watu wangu wa nguvu kabisa Hili ni jukwaa ambalo kwakweli nikitafuta maelezo kuhusu kitu flani lazima nipate. Naomba msaada wa mwenye kujua aina hii ya baiskeli Gharama yake used na mpya, Upatikanaji wake wa spare, Specification zake. Maana nina taka ninunue baiskeli ya...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Lissu Shikilia hapo hapo! Toka 1995 Tanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa

    Toka TLP, CUF, ACT, UDP NA CHADEMA ya Mbowe ni maigizo Miaka 30 Watanzania tunafanyiwa maigizo ya siasa uku watu wakizidi kutajirika tu!! Angalia ukwasi wa Mbowe, Cheyo, lipumba yaani ni ujasiliamali!! Sasa Tundu Lissu kawaumbua ndani ya miezi 2 tu Miaka 30 ya maigizo na kuuza utu Uzuri...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya: Rais Samia na Emanuel Nchimbi wanaleta Tanzania yenye kasi ya maendeleo

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel...
  12. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia mkataba na DRC kujenga bandari kavu

    Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) wameingia mkataba wa kujenga bandari za nchi kavu katika nchi zote mbili. Taarifa kutoka Tanzania zinasema DRC ndiye mtumiaji mkubwa wa Bandari ya Dar kuliko nchi zote majirani Pia kumekuwa na ongezeko la mizigo inayokwenda Kongo inayopitia...
  13. MENGISINA

    JamiiForums Tanzania NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tupeane ABCs za Aptitude test Tanzania Commercial Bank post ya RELATIONSHIP OFFICER.

    Nimekuta nimetumiwa email hii. Post ilipostiwa humu; https://www.jamiiforums.com/threads/relationship-officer-ii-4-posts-at-tanzania-commercial-bank-february-2025.2307478/
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania (BoT): Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya 6.1% na 6.5% mtawalia

    BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kuwa uchumi wa Tanzania Bara na Zanzibar unatarajiwa kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha katika robo ya pili ya mwaka 2025, kwa asilimia 6.1 na 6.5 mtawalia, huku mfumuko wa bei ukitarajiwa kubaki tulivu kwa asilimia 3.2. Akizungumza jijini Dar es...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nimeandaa popcorn zangu nasubiri Waraka wa Pasaka kutoka TEC. Mungu Ibariki Tanzania

    Duniani kote, Kanisa linalofahamika kuwakabili Waziwazi watawala dhalimu ni Kanisa Katoliki. Kutokana na kuijua vizuri dunia, Wakatoliki hawajawahi kuwa sawa na uongo, hawajawahi kuwa sawa na udhalimu, hawajawahi kuwa sawa na Uzandiki. Baada ya CHADEMA kuanzisha No Reform No Election, sasa ni...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Hatutasusia Uchaguzi, tutazuia uchaguzi kwa nguvu ya Umma, sio bila mabadiliko hatutashiriki uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyika siku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
Back
Top Bottom