tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Harufu ya upendeleo, upigaji uagizaji wa mafuta Tanzania, bei zikipanda

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta. Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania HOJA Kuna haja ya kuwa na vituo vya kulea wazee mikoa yote Tanzania

    Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao. Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ghorofa inauzwa, bei Tsh. Bilioni 1.3, ipo Mtoni Kijichi

    GHOROFA INAUZWA LOCATION MTONI KIJICHI BEACH ⛱️ DOCUMENTS HATI TITLE DEED VYUMBA 5 VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM BEI NI TSH 1.3b/- MAONGEZI YAPO UKUBWA WA ENEO NI SQM 2700 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  5. JamiiForums Tanzania Nchi hizi raia wake wanaruhusiwa kuingia Tanzania bila Visa, Majirani wote wa EAC wapo. Je, na sisi tunaweza ingia nchi zao bila Visa?

    Tanzania’s🇹🇿 Immigration Services Department has released a list of African countries whose citizens can enter the country without applying for a visa. The move is expected to boost tourism, trade, regional cooperation, and easier movement across Africa. The African countries benefiting from...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ucheleweshaji wa malipo kwa Mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wa Yas Tanzania

    Ndugu wanajamii, Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki ya kila mfanyakazi, kulipwa kwa wakati kwa kazi na juhudi alizozitoa. 1. Hali ya Tatizo Kwa mujibu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania: Trader Namaro Energy corners fuel imports

    The government's reorganisation of petroleum supplies has seen this company emerge as one of the most influential players in the sector. Owned by the powerful Nahdi family, which has close ties to the government, the group has won the majority of recent tenders. MY TAKE Namaro Energy...
  9. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: COSOTA na Baraza la Sanaa Tanzania, Wajibu wao kwa Wasanii na Kinga yao kwa Wasanii.

    Wajibu mkuu wa Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) kwa wasanii ni kusimamia, kulinda, na kutetea haki miliki zao za kazi za ubunifu. Majukumu haya yanajumuisha ukusanyaji na ugawaji wa mirabaha, utoaji wa elimu ya hakimiliki, na kupambana na uharamia au kwa ufafanuzi zaidi niseme: Wajibu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nyama choma ipi Nzuri Tanzania ,Kwa mromboo Arusha Vs Msalato Dodoma?

    Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma. Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio yanayotembelewa na maelfu ya watu kutoka maeneo mbalimbali Tanzani afrika na Duniani. Maeneo hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Note: Wajibu wa Jeshi la Uhamiaji na Jeshi la Zima moto na Uokoaji kwa raia wa Tanzania.

    Wajibu wa idara ya Huduma za Uhamiaji Tanzania kwa wananchi ni pamoja na kutoa hati za kusafiria (pasi za kusafiri), kudhibiti uingiaji na ukaazi wa wageni, na kuchakata maombi ya uraia. Chombo hiki kinafanya kazi chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kulinda usalama wa nchi kwa maana...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Demokrasia Tanzania ipo kwa vitendo au ipo kwenye maandishi tu?

    Mara nyingi tunasikia baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania zikijinasibu kuwa zinafuata mfumo wa demokrasia Lakini swali langu ni hili: Je, demokrasia inaonekana kwa vitendo, au ipo kwenye maandishi tu? Kwa uelewa wangu, demokrasia ya kweli ni pamoja na: Wananchi kuwa huru kutoa maoni yao bila...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

    Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high. Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati linakuwa tu na mwonekano mzuri lakini still unaweza kunotice kuwa ni refu ukifananisha na nyumba...
  14. JamiiForums Tanzania 3 days Tanzania budget sharing safari package

    Looking for an affordable way to experience an authentic African safari? Our 3 Days Tanzania Budget Sharing Safari Package is perfect for solo travelers, couples, friends, and adventure seekers who want to discover Tanzania's spectacular national parks while sharing the experience with other...
  15. JamiiForums Tanzania 2 days Tanzania sharing group joining safari package by Widerange African Safaris

    The 2-day Tanzania sharing group joining safari by Widerange African Safaris is a budget-friendly way to explore the Northern Circuit. Priced at roughly $400 to $850 per person, the package usually departs from Moshi or Arusha and includes shared 4x4 transport, park fees, daily meals, and lodge...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kupoteza Scholarships, za UK, Canada na Australia, endapo itatimuliwa Common wealth

    MO29 ilikuwa game changer kwenye siasa za nchi hii. Sioni Tanzania ikitulia tena na kuwa na uchaguzi wa amani kama hakutokuwa na reforms za uchaguzi. Baada ya kilichotokea kwenye MO29, Common wealth wametoa masharti ambayo yana time frame, moja kubwa ni Lissu kuachiwa within 30 days. Kwa kiburi...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Hela ya Tanzania haina thamani tena, naanza kuiona Zimbabwe Bongo

    Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Misri Zakubaliana Kupanua Ushirikiano wa Kimkakati

    Tanzania, Misri Zakubaliana Kupanua Ushirikiano wa Kimkakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mhe. Abdel Fattah El-Sisi, wamekubaliana kupanua ushirikiano wa kiuchumi kwa kuongeza biashara na uwekezaji katika sekta...
  19. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona watu wanaweka matumbo mbele na kuiacha Tanzania nyuma

    Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani. Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa. Kumtumikia kiongozi wa juu ni utumwa tumikiwa wananchi.
  20. JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania na Misri pekee wanaruhusiwa kuingia Sudan Kusini bila visa

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa sera mpya iliyosasishwa kuhusu visa, ikibainisha nchi za Afrika ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila kuhitaji visa au kulipa ada yoyote ya visa. Mwongozo huo mpya unaeleza masharti ya kuingia nchini kwa wasafiri kutoka Afrika na maeneo mengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…