tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuzielewa hospital za Tanzania

    Hii imekaaje wakuu. Niko hapa hospital moja ubungo, makuburi kuna jamaa alikuja kupata huduma. Nilifanya kumsindikiza. Ila ninachokiona hapa halinivutii wala kunipa picha nzuri. Reception tu huyu daktari/mhudumu amekaa na wenzake wawili yaani sio watu wa hospital ni wauza chakula/ mama ntilie...
  2. E

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yataka Jumuiya Afrika Mashariki kuwajibika unyanyasaji wanaharakati

    Chama cha ACT Wazalendo kimelaani matukio ya uvunjifu wa haki za binadamu, unyanyasaji wa kijinsia, na ukiukwaji wa mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, unaodaiwa kufanywa na mamlaka za Serikali ya Tanzania. Matukio hayo ni pampoja na kuzuiliwa na hatimaye kurejeshwa nchini Kenya kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Beach Plot for sale, located at Kigamboni Dege, Price $3M, Negotiable

    Wonderfully Sand Beach Plot for Sale at Kigamboni Dege ●Area ize 9.6 Acres ●Price 3m usd ●Document: Title deed Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  4. JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania: PLO Lumumba weighs in!

    https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
  5. JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa miaka 13 alierudishwa Tanzania kutoka South Africa, nina maswali kadhaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, haswa inayohusu habari za nje ya Tanzania. Kuna tukio fulani limetokea hapa Kaburu ambalo linamhusu dogo fulan kwa jina anaitwa Joel au Juma mwenye umri wa miaka 13, ambae imeonekana kuwa kiasili mzazi wake mmoja (baba)...
  6. JamiiForums Tanzania Jarida la World Visualized Limetoa Takwimu Za Nchi 10 zenye kuongoza kwa Uchumi Haramu (Shadow Economy), Tanzania yashika nafasi ya 7 Duniani

    Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi. Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  8. JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kesi ya Mbatia dhidi ya NCCR imeonesha tuna Msajili wa Vyama vya Siasa ambaye ni Jaji wa ovyo kuwahi kutokea!

    Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika. Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA. Sasa hapa ni...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  10. JamiiForums Tanzania Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  12. JamiiForums Tanzania Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  14. JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  15. JamiiForums Tanzania Je? TANZANIA inalindwa na majeshi mipakani kote?

    Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo. Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado maadui wanapenya na kuingia na kufanya uhalifu wa kigaidi. Mungu bado anatupenda tusimkufuru na...
  16. JamiiForums Tanzania Dr . Ayub Rioba na Hoja 20 za Uzalendo kwa Bara Letu, Africa na kwa Nchi Yetu Tanzania!. Msimamo wa Rais Samia "Tanzania Kutoingiliwa" Uuungwe na Wote

    Wanabodi, Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii. Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara yetu ya uhamiaji, ikawarudishia uwanja wa ndege, kurejea walikotoka, na waliofanikiwa kupenya...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ombi: Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania hela mnazotoa kwa Serikali ku support Demokrasia zipelekeni kwa Chadema baada ya Msajili kusitisha ruzuku

    Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani. Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia ambazo ntazipiga marufuku nikiwa Rais wa Tanzania

    Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku Vigoma Baikoko Vigodoro Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya Malaya kujianika barabarani Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
  20. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum

    Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…