Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Shughuli za magendo na zisizotozwa kodi sasa zinachangia asilimia 11.8 ya Pato la Taifa Duniani (GDP), ikiwa ni punguzo kutoka asilimia 17.7 mwaka 2000, lakini bado zinawakilisha thamani ya kiuchumi ya matrillion ya Shilingi.
Uchumi wa kivuli (Shadow Economy) unajumuisha aina mbalimbali za...
Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni.
Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
Nguvu nyingi zimeamishiwa kwa CHAUMA na CHADEMA, matokeo yake Project-Pindua 'Mama Tanzania' ikasahaulika.
Na JAJI naye (sijui kwakuwa aliona Mama Tanzania hana athari kwa sasa, Sijui hawakumpa Presha, Sijui kafanya kwa kuzingatia Misingi ya Taaluma yake), kampa Mshindi MBATIA.
Sasa hapa ni...
https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB
Sikiza hiyo:
Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao.
Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo.
Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country
In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6%
Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha."
==
President William Ruto...
Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu.
Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli?
Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
Jibu ni hapana ni Mungu tu ndo anatulinda mpaka wakati huu ila anaenda kutuchoka karibuni kama hatutarudi kwenye misingi yetu ya upendo.
Kuna nchi zina ulinzi wa kutosha mpaka kuta lakini bado maadui wanapenya na kuingia na kufanya uhalifu wa kigaidi.
Mungu bado anatupenda tusimkufuru na...
Wanabodi,
Makala yangu, Gazeti la Nipashe, wiki hii.
Hali ya siasa za ndani za nchi yetu, na jirani zetu wa Kenya na Uganda, kuingilia mambo yetu ya ndani, vibaraka wao walipojipenyeza, idara yetu ya uhamiaji, ikawarudishia uwanja wa ndege, kurejea walikotoka, na waliofanikiwa kupenya...
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
Maombi haya nayaelekeza rasmi kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania na Serikali ya Marekani.
Tunajua katika ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani aliyepita Bi. Kamala Harris, Serikali ya Marekani iliahidi kutoa fedha zaidi ya Bil 800 kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya masuala ya Demokrasia...
Hizo tabia ni kama zifuatazo ambazo zitapigwa marufuku
Vigoma
Baikoko
Vigodoro
Hashtag za ajabu ajabu mfano tunaendeleza tabia mbaya
Malaya kujianika barabarani
Gesti na bar kujengwa bila utaratibu
Maria Sarungi atangazia dunia madhaifu ya Tanzania kupitia Oslo Freedom Forum
Ref: No Retreat, No Surrender! Maria Sarungi Speaks Out on Tanzania’s Repression at the Oslo Freedom Forum - Mwanzo TV
https://youtu.be/EiV1P-sOvHU?si=0xNqnamQJihTXFnh
Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi.
Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano.
Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema!
Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA.
Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...
Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.
Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.
Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.
Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani...
1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA
Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.