Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mtu huyo ni Rais Samia!
Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Suala la kushambulia viongozi wa kidini na kufunga makanisa yao kisa kukemea utekaji na mauwaji linachafua sana taswira ya Tanzania tunaonekana hatuna akili.
Hata kama mfano unataka uraisi Sasa uraisi unakuwa na maana gani kama dunia ikunyooshe vidole wewe, watanzania hawakutaki unajifachafua...
Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi kufikia March 2025, takwimu zinaonesha Watu 1,500,212 kati ya waliopima na kutambua hali zao za maambukizi ya VVU walikuwa wameanza kutumia dawa za kufubaza VVU, sawa na asilimia 98.
Akitoa hotuba kuhusu Makadirio ya...
🚨Shirika la ndege la gharama nafuu kutoka Ireland, Ryanair, limeibuka na wazo jipya la kupunguza zaidi nauli za ndege: kuondoa viti kwenye baadhi ya safari zake.
Mpango huu unalenga kuanzisha safari maalum ambapo abiria watasimama kwa muda wote wa safari, kwa kutumia mikanda ya usalama maalum...
Yani hii Tanzania sio kabisa ukiambiwa miaka mitano nyuma tulikuwa tunateleza tu hutaamini barabara ni mbovu sana.
Watu wamegoma kusafiri bila emergency payment maana wanajua hali ikibadilika, safari ya siku 3 itakuwa ya week.
This is shameful, hatuna highway hata moja nzima, ni potholes...
Huwa nawaonea huruma sana Watanzania wanaopiga kelele kuhusu kwa nini hawapati wawekezaji wakubwa kuwekeza ndani ya nchi yao.
Rostam Aziz alipotusanua kuwa Mahakama zetu zina shida kiasi kuwafanya wawekezaji kuogopa kupeleka mashauri yao, tulimuona anakosea sana
Ila ukiona namna hoja za...
Oooh habari Tanzania !
Pole kwa majukumu Mtanzania ya hapa na pale.
Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu kuwa hapa Tanzania miji inakuwa kwa kasi sana na kupelekea kupata changamoto kubwa hususani kwenye Majiji yetu mfano; Msongamano mkubwa wa vyombo vya...
Note: Nchi yoyote inayoendekeza kesi za uhaini, mwisho wake ni mbaya!! Uhaini siyo jambo la mchezomchezo!! Na kwa nchi zenye viongozi wenye upeo wa mambo, haziwezi ruhusu kesi za uhaini wapewe non-millitary personels ovyo ovyo!
Demokrasia yetu kidogo inaendana na Afrika Kusini. Nginjanginja za...
Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni,
Ukubwa wa eneo ni 2 Acres
Bei 2.5bill tsh
Document: Available
Contact us and Schedule a visit!!
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale
#godowns
Ukiwa kiongozi ukiiba watajua na taarifa watazihifadhi
Ukila rushwa watajua na taarifa watazihifadhi.
Ukianzisha kikundi chako nje ya mfumo wa vyombo vya dola kwa ajili ya kazi zako chafu ikiwemo kuteka na kupoteza watu watajua na taarifa zote watazihifadhi.
Ukiamuru watu watekwe na wauwawe...
Ni wakati mwingine tena tunakukaribisha katika mtanange wa mkubwa hatua ya Nusu final katika Kombe la wimbi la UTEKAJI TANZANIA.
Timu zilizoko uwanjani leo ni kati ya KENGE FC vs PONJORO FC, huku Kocha mkuu wa Ponjoro Fc kutoka Kinondoni akiwahakikikishia ushindi na kutinga final wale mbonga...
Mji wa Florence Italy ndo mji wa kwanza kupiga mji mzima paving mwaka 1339, leo hii ukitembelea nchi zilizoendelea ni nadra sana kukuta miji yao inavumbi,
kama wao wameweza na sisi Tanzania tunaweza
Miji kama seoul, Beijing, Tokyo ni mikubwa sana, inawatu wengi dar cha mtoto ila ukiambiwa...
RETIREEES ASSOCIATION OF TANZANIA (REAT)
1.Umoja wa Wastaafu Tanzania ni Jumuiya ya kiraia iliyosajiliwa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi tarehe 14/3/2022 na kupewa
Na. ya SA 22924
Makao Makuu ya REAT yako Jijini Dar Es Salaam Wilaya ya Ilala .
2.Ni Umoja kwa Mstaafu yeyote anaepokea...
Nchi ya Botswana ni mfano mzuri wa nchi yenye rasilimali moja kuu — almasi — ambayo imeweza kutumia vizuri rasilimali hiyo kuwasaidia wananchi wake kuwa na ajira na kuboresha maisha yao kwa kiwango kikubwa.
Sababu za mafanikio ya Botswana:
1. Usimamizi mzuri wa mapato ya rasilimali...
J.K. NYERERE
Huyu Mzee pamoja na sifa kedekede anazomwagiwa hivi Sasa, safari yake haikuwa rahisi. Alipewa majina ya HAAMBILIKI na MCHONGAMENO. Alichukua hatua kadhaa Ili kukabiliana na upinzani dhidi ya malengo mahususi ya kipindi kile, ya kujenga siasa ya ujamaa pamoja na umoja wa kitaifa...
Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi.
Sasa angalia movie.
Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
Unajua kama ukianza kusave milion moja kila mwezi maisha yako yote yaliyobaki hutapata bilion?
Chatgpt ameshauri hivi
Kupata bilioni moja au zaidi kwa haraka nchini Tanzania si rahisi, lakini inawezekana kwa mbinu sahihi, bidii, na maamuzi ya busara. Hapa kuna mikakati halisi ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.