tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  2. JamiiForums Tanzania Vitu vingi na mapango Tanzania vijawahi kuwa ya miaka vizazi na vizazi

    Baada ya kusaidia reli wanazidi kuimariza maana waliopo madarakani ni wamiliki wa mabasi.
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshinda mbele ya vigingi vya wanaharakati wasiotutakia mema 🇹🇿🔥Jihan❤️

  4. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati na wanasiasa wa upinzani Tanzania wanatumika bila kujua kupanga bei ya "kuiuza" nchi yetu

    Nchi yetu Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye rasilimali nyingi na adimu sana Tanzania bado kuna ardhi kubwa yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, kuna mbuga za wanyama, madini mbalimbali kama dhahabu, chuma, almasi na madini mengine hupatikana nchini kwetu tu dunia nzima Uwepo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania acheni kulima mahindi na mihogo, limeni karoti mpige pesa

    Dar es Salaam na sehemu nyingine za miji sasa hivi karoti moja inauzwa shillingi mia tatu, wakulima wenye akili wangeachana na kulima mahindi na mihogo badala yake walime karoti wapige pesa za haraka haraka za maana.
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mahali karoti moja inauzwa shillingi mia tatu Tanzania hii!

    Nimeshangaa Tanzania hii inayosemwa imejaa chakula kuna mahali kibanda cha mtaani tu, sio hata supermarket, wanauza karoti moja shillingi mia tatu! Lini karoti zimekuwa anasa tena Tanzania hii?! Karoti kuuzwa zaidi ya shillingi mia Tanzania ni wendawazimu.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili.

    Ingefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda. Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile...
  8. JamiiForums Tanzania Kusema tabia za makabira ila kuskazini mwa tanzania ni kweli kuhusu tabia zao.

    Tumeona kwa mbowe na CHADEMA. Wengine tutaki kabisa mazoea na mikoa ya kaskazini swala la biashara na mali. Jambo lengine katika watu ambao wana kesi za kuua kwa ajili ya mali au kukumaliza silent ni watu wa visiwani znz. Hawa wa znz wana uwezo wa kukufanya chochote ndio maana hata raisi na...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tupitie upya syndrome hawa watu ni wazuri sana kwenye kufanya kazi ndogo ndogo hata biashara kubwa zako.

    Syndrome kwa tanzania ni kama bado wajapewa nafasi ila ni watu wazuri sana. Kazi zao sio hatari wala mbaya na unaweza kuwapenda sana. Watu wenye syndrome ni zaidi ya hawa tuliopo. wakipata mafunzo tokea wadogo na walipo ni watendaji wakazi ambazo walio timamu ni kazi. Kuna kazi ukiwapa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Uhuru wa Kiuchumi (Sankara), Mifumo ya Sheria (MLK), na Utu wa Raia (Malcolm X); Je, Ni Wapi Tanzania Tunafeli Zaidi?

    Baada ya kuona mijadala mbalimbali inayohusu orodha ya "machawa" katika siasa zetu, sasa ni wakati wa kurudi kwenye mada muhimu na yenye muktadha wa kina kwa taifa letu. Leo tunautazama mustakabali wa nchi yetu kupitia miwani ya magwiji watatu wa haki duniani: Thomas Sankara, Martin Luther...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kumrudisha mzungu Tanzania na nchi za Africa ni kutatuta wawekezaji

    Haiwezekani mtu aje kuwekeza Matrilioni ya shilingi asiwe interested na Siasa!
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa Mfano katika utoaji huduma za Afya ya Mama na Mtoto

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazopiga hatua katika utekelezaji wa malengo ya afya ya mama na mtoto, huku juhudi zinazofanyika zikitoa masomo muhimu kwa nchi nyingine za Afrika.
  13. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Je, kweli nchi yetu imeshindwa kujenga barabara za njia nne katika barabara kuu?

    Naomba nitoe kero yangu. Tumeona ajali iliyotokea Morogoro iliyosababisha vifo vya ndugu zetu. Hii ni mojawapo tu ya ajali nyingi zinazotokea mara kwa mara katika maeneo mbalimbali nchini, lakini hali hii inaendelea kujirudia bila mabadiliko makubwa. Kero yangu kubwa ni hii: Je, kweli nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Kagera yaongoza kilimo cha kahawa Tanzania,aslimia 50 ya Kahawa yote inazalishwa kagera

    Mkoa wa Kagera unatajwa kuwa kinara wa kilimo cha kahawa Nchini Tanzania ikizalisha aslimia 50 ya Kahawa yote inayolimwa Nchini humo. Kagera pia inatajwa kama mkoa ambao kwa Sasa wakulima wake wanuza kahawa kwa mfumo wa kidijitali mfumo unaotaiwa kuwa Bora na usiokuwa na ujanjaujanja kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania RAIS MPYA WA IPU APATIKANA: HONGERA TANZANIA KWA KUFANIKISHA MKUTANO HUU MKUBWA WA KIMATAIFA!

    Na. Mwl Udadis, Sekei-Arusha Uchaguzi wa Milton Dick kutoka Australia kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unahitimisha kipindi muhimu cha shughuli za kimataifa zilizowakutanisha wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka zaidi ya nchi 150. Ni muhimu kutambua kuwa wajumbe hawa si watu wa kawaida tu...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania Asimulia Ugumu wa Maisha wa Kenya.Atamani Arudi Haraka Nyumbani Tanzania

    My Take Harafu utasikia mtu anakwambia maisha magumu Bongo wakati Kwa elfu 5 anakula mlo kamili kuanzia asubuhi,mchana na jioni 😂😂😂👇👇
  18. R

    JamiiForums Tanzania Uandishi wa habari wa waandishi wa Tanzania, hasa viji Tv vya mitandaoni ni aibu ya taaluma ya uandishi wa habari. A Nobel profession!

    Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika. 1. Msiba mkubwa watokea 2. Kimeumana Mabibo 3.Heche amaliza kazi 4. Kimenuka 5...and much more of this type! Uandishi wa so called waandishi wa habari Kanjanja Najua anakuwa ana solicit uende kwenye main article, lkn sidhani kama mnafundishwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania hii John ni Mmoja tu

    Anaandika John Heche. Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka .. Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua mtu wanemtaka. Huyu bwana Mtungi kinyume chake ni kushambulia chama chetu kila siku...
  20. JamiiForums Tanzania Kwasasa Tanzania imezikamata vizuri sana na kuziteka kabisa siasa za kimataifa.

    Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…