simu

  1. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii. Najikuta nachukia tu kuona house girl anapoongea na mabwana zake kwenye simu

    Sijui Mimi ndo nina shida au vipi! Mtoto wa watu (house girl) anahaki ya kuwasiliana na watu wake! Lakini pale anapopigiwa simu na mabwana zake au kuchat na kitochi pachapacha mbele yangu huwa nachukia sana, huwa natamani nifurushe kabisa! Siyo bek3 tu, hata wadogo zake na mke wangu wa kike...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ni simu gani yenye sifa hizi?

    Habari, ningependa kujua model ya simu ambayo inaweza ku-record video zenye quality nzuri. - preferably those with video stabilizer (stabilization) Brands: Xiaomi, Oppo, One Plus, etc. Sorry, iphone is not my preferred brand. Your help pls.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ifikirie kuleta vifurushi vya kushare

    Ni wakati mwafaka sasa kwa mitandao ya simu kuleta vifurushi ambavyo mteja atapewa option ya kulist namba za watu anaotaka watumie kifurushi alichonunua kwa pamoja. Yani kama nina mama yangu kule kijijini, mke au rafiki nikinunua kifurushi niwawezeshe kukitumia. Hii itaondoa uhitaji wa Hotspot...
  5. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania PSSSF Mfuko wa pensheni kwanini hampokei simu na hamjibu email

    Sio busara hata kidogo, leo imetulazimu watu kama wa 3 hivi kwenda ofisini kwao baada ya simu za meneja kutopokelewa juzi tuliandika sms na pamoja na kuwapa check namba watuangalizie pensheni na mafao yatakuwa tayari lini, tulipofika ofisini hawana majibu. Leo waziri Mkuu ametangaza bungeni...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
  7. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Hivi, Naweza Kutumia Laptop kupita simu?

    Wakuu. Heshima kwenu. Kama mada inavyojieleza wakuu nahitaji kutumia Laptop kutokea kwenye simu wakuu. Vitu gani vinawezekana na vipi haviwezekani...? Naweza kuona interface ya laptop kwa bluetooth nikafanya ninachoweza kufanya kwenye laptop kwa kutumia simu yangu...? Kama ipo hiyo app...
  8. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Wadada: Kuweni makini na teknolojia

    Juzi kati kuna mfanyakazi mwenzangu mdada aliniletea "external" yake baada ya mimi kua nimemuomba movies na yeye kudai ana ma series ya kufa mtu. Huyu binti ni mtu na heshima zake, hatuna urafiki kivile zaidi ya kuonana tu kazini mara kwa mara. Sasa baada ya ku connect ile external nikamuuliza...
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe ni nyepesi kuliko mtu aliyeiba simu Kariakoo

    Hayo si maneno yangu,ni maneno ya Wakili Msomi ingawa lipo katazo la Mh wa mjengoni kwamba tusitumie maneno wakili Msomi. Ikiwa kesi ya Mh Mbowe ni nyepesi kuliko ya kibaka aliyekwapua simu Kariakoo kwanini Serekali kupitia ofisi ya DPP isiiondoe kukwepa kuaibika siku za usoni ?. Nimemsikiliza...
  10. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania ONYO: Usinunue simu kwa mtu

    Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu. Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji unayeweza kuthibitisha kwa risiti kwamba alikuuzia Simu hiyo. Usishawishike na bei ndogo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kazi na simu ni sawa na nyama ya nguruwe hujikaanga yenyewe

    Leo naomba niwamegee story fupi! Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata! Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata! Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Kuunganisha Smart Tv (Hisense) na Simu (Samsung)

    Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or smart view kwahiyo nashindwa ku Connect. Ila nasikia unaweza kutumia njia ya Wi-Fi so kwa anayefahamu...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30% Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa...
  15. Mtalebani Mweupe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy S8 Edge Ina 4GB Ram 64GB Storage Battery health 100% Inakuja na Original Fast Charger na Kava lake. Haina crack wala mchubuko wowote. Imetumika miezi 2. Bei 390,000 maelewano yapo. Contact 0623464795
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna kazi hawakutafuti kwenye simu

    Ndugu, marafiki na majamaa wakijua tu umepata kazi simu zinaanza kuwa nyingi shida zinaanza kuwa nyingi Mara huyu akuombe 10000 huyu Mara ajifanye anakusalimia wakati kipindi huna kazi walikuwa hawakuoni. Ila Ni kawaida kwa wale wenye ujasiri wa kuomba mtu hela binafsi. Mimi nina ndugu zangu ni...
  17. Candela

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wezi wa simu

    Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana uwezo kutokana na developer aim, hapa ntaelezea baadhi ya sifa za hizo app; 1. charger unplugged. Kama...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu; Ni afadhali utoe namba yako ya siri ya benki au simu kwa ndugu kuliko kuificha kama tunavyoambiwa na benki, faida hupata wao zaidi ukifa

    Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana! Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui! Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale, kwanza usumbufu...
  19. steve emile

    JamiiForums Tanzania Jinsi Data(mb)za simu zitumike kwenye pc laptop

    Msaada nataka kujua jinsi ya kutumia mb za cmu..zitumike kwe.ye laptop
  20. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa kubadilisha namba ya simu baada ya harusi?

    Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
Back
Top Bottom