simu

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa teja wa matumizi ya simu, naachaje?

    Nikiingia kitandani naanza kupiga mizunguko jamiiforums, quora, youtube, fb, ressit, whatsapp, n.k yani kama huko reddit nikiingia subredits kama askreddit, off my chest, today i learned, iama, just start, n.k ndo mda unapepea si mchezo Kuja kustuka saa nane ishagonga hapo na inabidi niamke saa...
  2. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Agiza simu kutoka china kwa bei ya viwandani na kampuni ya AA Tanch Trading na upate offer ya kipindi hiki

    Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company. Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
  3. kilamba lamba

    JamiiForums Tanzania Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

    Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
  4. Mtini

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa TCRA na makampuni ya simu yanashirikiana na matapeli kutuibia wananchi?

    TCRA walituambia baada ya usajiri wa alama za vidole utapeli wa tuma fedha kwenye namba hii utaisha kwani watu hao itakuwa rahisi kuwatambua. Kitu za kushangaza hili suala bado linaendelea, TCRA na makampuni ya simu yanashindwa nini kuzifunga hizi line ikiwa ni pamoja na kuwakamata hawa jamaa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namba za simu za wake wa watuhumiwa wa Ugaidi zinatafutwa, watoto wao wanahitaji msaada kwenda shule

    Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
  6. Area 56

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

    Mitandao ya simu nchini Tanzania hatimaye imepandisha vifurushi vyake kimyakimya bila kutoa taarifa kwa wateja wake. Awali mitandao hiyo ilitangaza kubadilisha vifurushi lakini walighairi baada ya muda. Ila kwasasa wameamua kupandisha kimyakimya! Vifurushi vilivyobadilika hasa ni vile vya...
  7. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Upewe million ukae Mwaka mzima bila kutumia simu, utaweza?

    Millioni ipo mfuko wa shati hakuna kuingia jamiiforum , Facebook , Instagram wala kupiga simu kwa mtu yoyote yaani simu ikae flight mode mwaka mzima utaweza weweeee
  8. Ahmad bin Adam

    JamiiForums Tanzania SoC01 Salum na teknolojia ya simu

    Nawasalimu ndugu pamoja na wadau wote wa JF. Natumai ni wazima. Hili ni andiko langu lililojikita katika nyanja ya teknolojia. Tunatarajia kupatikana mambo yasiyopungua matatu kutoka katika andiko hili. Elimika, burudika, badilika. Tutaanza simulizi yetu inayomzungumzia kijana Salum kama...
  9. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiporwa simu na mpenzi wako baada ya kugundua kuwa unamsaliti, utachukua maamuzi gani?

    Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika barabarani bajaji ikafika akataka kupanda jamaa akaenda kwa nguvu kumzuia. Yule Dada akamsukuma jamaa...
  10. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunalaumu Mtu mwenye simu ya Gharama halafu analia hana kazi/mtaji?

    Mara nyingi tumekuwa tukilaumu au kuwashangaa watu wenye simu za gharama hadi 3m huku hawana kazi au wanalalamika hawawezi kujiajiri kwa kukosa mitaji. Tunawashangaa kwasababu hela hio alionunulia simu au alionunuliwa simu ingeweza kumpa mtaji mdogo ambao akiwa makini anaweza kuukuza ukawa...
  11. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Secretary Wa kupiga na kupokea simu

    Habari wakuu Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi. Piga 0713-039 875
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kushinda michezo ya bahati nasibu ya Mitandao ya simu

    Niaje ni vipi! Kuna hii Michezo ya mitandao mfano voda wao wana Tusua spoti na Tusua mapene, kuna watu huwa wanashinda na wengine hawashindi. Hebu tupeane mbinu za kuongeza chances za kushinda. wataalam wa mambo tusaidiane. Chief-Mkwawa
  13. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Utumiaji wa Simu mashuleni

    Kwanini sheria ya wanafunzi kutumia simu mashuleni haiwekewi vigezo na masharti kuzingatiwa?
  14. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia mbadala ya Tozo ya Miamala ya Simu

    LUCAS MESHACK Hivi karibuni serikali kupitia Bunge lilipitisha sheria ya tozo katika mihamala ya simu kwa njia ya simu. Sheria hiyo ilitokana na mapendekezo ya Bajeti ya Serikali 2021/22 pamoja na sheria ya fedha ilipelekea kuweka tozo katika miamala ya fedha inayofanywa kwa njia ya simu, jambo...
  15. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Huna kazi lakini kwenye simu una 50,000 Tshs tu, ifanyie hiki ninachokushauri...

    Natamani enzi naanza maisha ningeijuaga JamiiiForums au ningepata mawazo na idea ambazo nazitoa mimi kila siku au ninazokuta watu wamezitoa bure humu humu JF. Leo nimekaaa nimewaza sana namna ya kumsaidia mtu aliekata tamaa hana pesa au kama anayo imebaki ya ngama yani ikiisha na hyo tu Ndio...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

    Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii. Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  18. Kumar Singh

    JamiiForums Tanzania Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

    Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari. Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kukaa na line ya simu nje ya nchi kwa zaidi ya mwaka bila kufungiwa

    Wadau, Kwa wenye ufahamu naomba kujua ikiwa nataka kusafiri na line ya simu (sim card), nifanyeje ili niweze kukaa nayo nje ya nchi kwa muda mrefu bila kufungiwa. Natanguliza shukrani
  20. H

    JamiiForums Tanzania Naomba Wenye kujua jinsi ya kuongeza zaidi 'screen timeout' ya simu

    Habari wadau.. simu yangu display inazima zima na inachelewa sana kurudi kwenye hali yake ya kawaida yaani kuwaka tena.Sasa nimeamua kuweka screen timeout ya mwisho kabisa kwenye simu yangu ambayo ni 30 dk ili isizimezime. Sasa nataka kujua kama kuna jinsi ya kuongeza screen timeout zaidi ya...
Back
Top Bottom