simu

  1. JamiiForums Tanzania Punguzo maalum infinix hot 10 kwa laki na nusu tu, karibu

    Memory gb32 Ram 4 Condition NEW kwenye box lake Zipo nyingi Karibuni Mikoan tunatuma kwa gharama zako Namba zipo hapo
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutopokea simu, nini kifanyike?

    Kumekuwa na wimbi la viongozi wa umma kutopokea simu zao. Simu za mezani nyingi hazipokelewi na kiganjani pia. Je, Ili kuwepo mawasiliano rahisi kati ya Umma na Viongozi hao, nini kifanyike?
  4. JamiiForums Tanzania Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

    Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo...
  5. JamiiForums Tanzania Ukinunua simu online (Mfano Ebay au AliExpress) kuipata ni bahati nasibu

    Kwema wakuu. Siku hizi ukinunua simu/smartphone online mfano kutoka China AliExpress au Ebay n.k aisee kuipata ni kubet. Zoezi zima la kununua litaenda vizuri, itatumwa, utaitrack, tatizo itakavyofika Tanzania. Aisee sijui ni Airport au Posta wanapiga. Tracking inaishia “item has arrived in...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa namna ya kupata haki kuhusu hii simu ya wizi iliyopo polisi

    Habari Wana jukwaa... Kuna rafiki yangu kauziwa simu ya wizi yeye alinunua huko Makumbusho polisi wameitrack wakamkamata ila akawapeleka aliponunua wakamkamata pia aliyemuuzia wakaenda kumweka ndani ili aseme kaipata wapi ndipo akawapa number za aliyemuuzia. Wakamfatilia wakajua yupo Mtwara...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi Nitapata Camera lens za simu? zenye fisheye and wide angle lens?

    Habari zenu wana Jf, Naomba kujua kwa hapa bongo naweza pata wapi hizi Camera lens za simu. Cc Chief-Mkwawa
  8. JamiiForums Tanzania Boksi gani nzuri kuflash simu

    Wakuu nilikuwa naomba msaada boksi gani nzuri kwa software za simu, Bajeti yangu ni Million moja.
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna baranch ya simu ya oppo Arusha mnisaidie location au kaskazini sehemu yoyte

    Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Je, hii simu niliyoinunua Amazon inaweza kusoma line za huku?

    Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma laini za huku?
  11. JamiiForums Tanzania Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Mafundi simu msaada

    Wakuu mimi ni fundi simu katika kuimarisha huduma nazotoa nimeamua kununua ultrasonic cleaner kwa ajili ya kusafisha saketi zilizoingia maji nilikua naombaa msaada wa zile liquid za kusafishia na zinapatikana wap niko dodoma
  13. JamiiForums Tanzania Nimefuta Biblia kwenye simu yangu

    Sasa nimeamini kuwa dini ni kwaajili ya maskini na waoga tu. Mpaka leo hakuna mwanadamu au kitu chochote ikiwemo Mungu alitethibitisha kuwa Mungu yupo. Kila mtu atakuthibitishia kwa maandiko ambayo yameandikwa kwa mkono wa mtu. Ukiondoa maandiko hakuna mtu wa dini kukuthibitishia uwepo halisi...
  14. JamiiForums Tanzania Mtwara: Mwanamke ajeruhiwa kwa kukatwa mapanga kisa simu ya 24,000/=

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Lyowa Mkoani Mtwara, Josephine Boniface (30) amejeruhiwa kwa kukatwa na mapanga kwenye miguu yake yote miwili na mumewe baada ya kupoteza simu ndogo (Kiswaswadu) yenye thamani ya Tsh. 24,000. Josephine anasema wakiwa kwenye sherehe za ngoma za jando na unyago...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri msichana wa kizungu tuliye kutana nae mtandaoni ananipenda na anataka taarifa zangu kama namba lakini naogopa nifanyaje?

    Habari zenu wadau Wadau naomba mnishauri kitu kimoja nina mwanamke ambae tumezoeana sana yeye ni mzungu wa anaishi Marekani baada yakuzoeana kunawakati sasa ananisumbua anataka tubadilishane namba za simu na anataka siku moja aje Tanzania maana anasema nisehemu mzuri ya kitalii. Sasa tatizo...
  16. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi Januari 31, 2022

    Habari Wakuu, Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  18. JamiiForums Tanzania Fundi simu anapatikana

    Hiyo link ni Display na bei zake Hiyo bei ni pamoja na ufundi Share link Epateletech epate ==== SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch zake na upande wa pili ni system charge TECNO ✓Tecno smart bei ya kubadilisha touch ni 17k ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu Samsung S8 Plus

    Baada ya kuona wadau (USAWA) hela imekuwa ngumu, nimeshusha kwa kiwango cha rami mpaka 250K Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Simu yangu inajazwa na meseji za kushawishiwa kubeti

    Kuna kitu ambacho sikielewi... hawa watu wa betting wanapata wapi namba yangu. Sijawahi ata mara moja kubeti lakini ntapata message Zaidi ya kumi kwa siku za kushawishiwa kubeti. Huu usumbufu wa kutojitakia unaratibiwa na nani? Naomba kufahaku jinsi ya kuwashitaki hawa watu wanaonisababishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…