Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano.
Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji.
Tunajua ni hisia pamoja...
Salaam wana jukwaa,Kuna hii tabia ya kuzima simu usiku mwa kuepuka usumbufu wa calls na sms.
Je, ulishawahi kuzima simu usiku then ukajutia? Tujitahidi kuacha simu zetu on kila wakati.
Mimi Kuna siku nilizima simu usiku then nikalala,kumbe usiku wa Kama saa sita Kuna gari ilikuja ikapaki...
Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana.
Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20
Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani
Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja.
Wito huo umetolewa hivi...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu.
NAWASILISHA.
Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli?
Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani
Unaruhu simu...
Kama bango linavyosema
Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google?
Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji.
Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu.
Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam.
Mnara una kila kitu chake. Machine zote.
0783985530
Habari wapendwa,
Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime
Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh.
Bado mpya kabisa
Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake
Kama unahitaji piga simu namba 0676258343.
Najaribu ku enable RCS via google sms kwa ku switch on chat features lakini kila mara inabaki kusema inaverify number.
Kuna mtu yeyote amefanikiwa kutumia hii feature?
Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone.
Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
Mawakili wa Lengai ole Sabaya wameweka pingamizi kwa mshtakiwa wa tatu kutumia simu yake Kwenye kutoa ushahidi. Mawakili wa Sabaya wanadai simu hiyo ya mtuhumiwa haijaorodheshwa Kama sehemu ya ushahidi wa utetezi lakini pia hiyo simu haipo Takukuru, hivyo hawajui mtuhumiwa ataitolea wapi...
Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo
Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa
Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao
Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti.
Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi.
Kwa mfano:
Airtel unakuta 1500 unapata 1gb
Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb...
Habari zenu? Kunakipindi nilileta uzi huu, Ndugu zangu nashindwa kuwaelewa
Baada ya kuvuta jiko niliishi na mke wangu, mwezi wa 11/2021 tulibahatika kupata mtoto na mke wangu, sikuwa na hiyana niliona japo ndugu zangu walinikosea kiasi fulani acha niwataarifu japo mke wangu alipata PPH...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.