simu

  1. emmarki

    JamiiForums Tanzania nina kifurushi cha data (MBs) na dakika nyingi kwenye simu yangu, jinsi ya kuvitumia kuniingizia pesa

    wadau mimi ni hybrid customer wa mtandao fulani hapa nchini, kila mwezi napokea Gb 5 na 900 min. matumizi yangu mtandaoni na kupiga ni machache hivyo kila mwezi zinajikusanya, naomba mawazo namna gani ninaweza kuzitumia kuingiza pesa.
  2. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania DROP YOUR FARITE PICS, Ulizopiga kwa kutumia camera ya simu yako...!!

    Habari wana JF! Hizo ni baadhi ya picha nilizopiga mimi mwenyewe katika mikoa mbali mbali hapa Tanzania na ninazozipenda wakati wote na zinafaa kwa wallpepar nasuburi uzi wenu wana JF Thank you🙏 photography17
  3. R

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna haki! Nimeibiwa simu na pesa na kupigwa chupa ila bado nikashitakiwa

    Habar wadau najua humu kuna watu BIGGER THINKER mtanishauri vyema jana ndo nimeamini dunian hakuna haki dunia hii ione hvhv tambala bovu duh !!!! namshukuru mungu sikuumia sana japo nilipata uvimbe sehemu ya taya kwa nje kwenye shavu hii ni baada ya kupigwa na chupa nne za kichwa duh haya maisha...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatuibia mia mia zetu tunaotumia simu banking.

    Ukiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa. Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo...
  5. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Tunao penda simu za windows tukutane.

    mimi binafsi nazipenda na niinayo ila ndo ivyoo hazina ishu kwasasa nimenunua android tu ila daaah microsoft watufikirie tu
  6. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Je niko sahihi? simu yangu haina Security Lock yoyote.

    Habari za muda huu Tech Gurus? natumia simu aina ya Camon 16. Hii simu kwa kuhofia kwamba siku ikipotea nije niipate kirahisi, nimeacha kuweka Security lock, zile za Pattern, number, password ama Fingerprint. Ina SWIPE tu. Je, niko sahihi kiusalama? Je, siku ikipotea naweza kuipata?
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotaka Simu za 'Madili' na za Bei 'Nafuu' subirini baada ya haya 'Matamasha' ya leo ya EFM na Clouds FM mtazipata kwa Wingi tu

    Nimepishana na 'Coasters' mbili za 'Masela' na Wazee wa 'Ndole' tupu zikielekea Tanganyika Packers Kawe walipo EFM na Tamasha lao na nyingine ikielekea Leaders Club Kinondoni waliko Clouds FM na Tamasha lao, na kwa zile 'Sura' au 'Nyago' nilizoziona nina uhakika kuanzia Kesho Asubuhi huenda...
  8. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu 2 zinauzwa Brand Samsung: A10s na A30

    zote ziko vyema sana. A10s hii hapa ram 2 rom 32 bei 170,00 at kigamboni, Dar es Salaam
  9. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu naona sasa hali tete yaani hadi SMS sasa zinafuatiliwa

    You have used approximate 75% of your 20 SMS. Your SMS balance is 5 SMS. Halafu hapo awali kifurushi cha buku ulikuwa anapata sms za kumwaga sasa leo hali iko ivo unapata sms mbau. Kifurushi chenyewe iko hapo. Una Dak 150 kupiga simu mitandao yote, SMS20 na GB1 kutumika hadi.
  10. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu? Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua hii simu kama ni Original, Fake au copy?

    Wakuu, Nilinunua simu Redmi Note 10 pro ila sidhani nasema sidhani kama hii ndio simu yenyewe. Kama vile sijapenda Camera, battery ni 5,000Mah lakini haikai saana, camera ni 108px ila na yenyewe kama vile siielewi. Sijawahi kutumia hii product na hii ndio mara ya kwanza. Nawezaje kuitumbua...
  12. Faana

    JamiiForums Tanzania Wakina Mama kuweni makini na kuchangia simu zenu na Binti zenu, akina Baba kuweni na utu

    Nilikuwa sehemu kwa mafundi umeme wa magari Kinondoni, nimesikitika kumsikia baba mmoja akimsimulia rafiki yake kuwa anatembea na mama mmoja wa binti waliyeshindana kimahusiano in other words amechanganya mama na mwana kimapenzi. Kisa ni kwamba siku moja binti alimpigia simu mwanaume wake kwa...
  13. Vedasto Leopold

    JamiiForums Tanzania Kupata mkopo online kwa kutumia simu

    Habari zenu wadau. Kama kuna watu wamewahi chukua mkopo online kwa kutumia simu watujuze maana siku hizi matapeli wengi. Kama kuna taasisi za kuaminika kwa njia hiyo mtupe ujuzi.
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simu yangu moja tu ikasababisha nyumba nzima tuwekwe kizuizini

    Mnamo tarehe Machi,15, msafiri mmoja aliiingia Tanzania majira ya saa kumi jioni. Msafiri huyo ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda. Baadaye ikathibitishwa kuwa msafiri huyo alikuwa ni mgonjwa wa kwanza wa corona Covid-19...
  15. Moment of silent

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu mawasiliano yangu ya simu

    Habari za mda huu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani. Watu tofauti walipokuwa wakinipigia walikuwa wakipewa ujumbe huu.''Namba unayopiga haipatikani kwa sasa" Cha kushangaza Mnara unasoma...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu

    Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu. Naanza ya kwangu.
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a

    Muonekano mpya wa simu ya Google Pixel 6a umetoka, na inaonekana Google imeamua kuweka design mpya kama Google Pixel 6. Itakuwa ni style moja katika simu zake zote. Simu hii mpya ya gharama ya wastani (mid-ranger), itakuwa na design mpya, kamera zitakuwa katika style ya mstari mmoja (style ya...
  18. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Ulichukua maamuzi gani ulipokuta SMS za miadi za ex wa mpenzi wako kwenye simu yake

    Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio wakaaji wa nyumbani ile unatoka hom leo kurudi pengine wiki kazaa mbele Basi bwana baada ya wiki kazaa...
  19. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Simu Samsung Brand inahitajika

    Ohy wadau nahitaji simu(Samsung) yenye good condition tufanye biasharaa , Pia isiwe chini ya 64 GB internal itakuwa poa sana. Kama uko Dar au Moro town na una mzigo njoo tuongee
  20. ngotho

    JamiiForums Tanzania Simu yangu inadownload vitu automatically

    Wanajukwaa, simu yangu inatabia ya ku-download vitu kama vile apps, na hii inatokea automatically. Naisaidieje hili tatizo? Msaada wenu tafadhali.
Back
Top Bottom