Habari wana JF
Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu?
Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki.
Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
Habari wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu.
👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth.
👉...
Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga
Taarifa hizi zimechapishwa...
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano Tanzania iliyotolewa na TCRA mwezi Septemba, imeonesha Mkoa wa Rukwa umekuwa Kinara wa Majaribio ya Utapeli kupitia simu ikiwa na Majaribio 8,450 kwa kipindi cha Julai hadi Septemba
Hata hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Rukwa inashika nafasi ya 25 kwenye orodha...
Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka.
Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim.
Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema kupitia Operesheni iliyofanyika hivi karibuni Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu (3) wote wakazi wa Dar-es- Salaam wakiwa na jumla ya simu 79 ambazo waliziiba katika Tamasha la Wasafi Festival lilifonyika Songea...
Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie.
Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya.
Huu unaweza kuwa upungufu wa kwanza wa kidiplomasia kwa teknolojia mpya.
Moussa Faki ambaye ni Mwenyekiti wa...
Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi;
"...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka .....,
jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la.
Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu.
Nape amehusisha utapeli huo na...
Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu?
Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo.
Mnakosa fedha
Wakuu habari za muda huu natumai mko poa na weekend ilienda vizuri na kwa wale ambao weekend imeenda ndivyo sivyo tuendelee kupambana na kuzidi kumwomba Mungu katika changamoto tunazopitia
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, naombeni msaada ni nini suluhisho la simu kuwa very overheated...
Nimeona katazo la Tcra kuzuia matumizi ya Vpn nakusema kuwa kuna faini ya mil 5. Sasa kwa sababu karibu kila Mtanzania mwenye smart foni amedownload VPN na anaitumia kuangalia mambo yake binafsi ya kifaragha .
Je, TCRA itawag'amua vipi watu wakiwa na simu zao mkononi.
Msaada wa kitalaamu
Aina mbili za ndoto ni :-
i. Symbolic dream (yenye fumbo)
ii. Reality dream (isiyo na fumbo)
Tangu nilipoanza kufatilia na kuandika ndoto zote ninazozipata ndoto hii ya simu kupasuka kioo ilikua ndio ndoto ya kwanza yenye fumbo mimi kung'amua kuwa napewa ujumbe gani.
Kuna mambo mengi ambayo si...
Sikuhizi waweza kununua hata simu ya laki na nusu ila ina kamera nzur inaeleweka, ukipiga picha inaridhisha, mfano wa simu bei chee kama sony xperia xz1 dukani ni shilingi 175,000 kamera ni nzuri, ukiwa na maradufu ya bajeti unaweza kupata simu kama google pixel 4a 5g ina kamera nzuri ila ni...